Habari zenyuuuuuuu kwa ujumla niliwamisije???
Leo nimekuja na hii mada hapa nimeinyaka mahali fulani (Aina ya Wanaume)
1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake
2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda mbele
3. Slave Husband - Huyu anataka umnyenyekee kama mfalme yaana ni kama Mungu mtu
4. General Husband - Huyu ni kiwembe aka anawanawake wengi kupita maelezo
5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo akitoa pesa ya matumizi anataka kujua hadi shilingi moja imetumikaje
6. Asprin Husband - Huyu anataka shida zake zote mkewe ndo azitatue hata kama yeye mwenyewe ana uwezo
7. Parasite Husband - Huyu ni tegemezi aka Marioo
8. Baby Husband - Huyu hana maamuzi binafsi uamuzi wake hupewa na wazazi ndo aje afanye maamuzi kwa mkewe
9. Visiting Husband - Huyu hataki kujua familia imeshindaje, inaishije, wanakulaje kulala nje kama kawa hata siku tatu
10. Caring Husband - Huyu ni mwenye kujali familia na kuitunza kwa kila jambo
Kwa wanawake wa kwako yuko namba ngapi?
Kwa wanaume uko namba ngapi?
Monday, 20 May 2013
WAFWASI WAZIDI KUONGEZEKA KWA JIDE NA TEAM YAKE YA ANACONDA MASTAA WAINGIA.
Wanafunzi CBE, VETA, UDSM wauza miili yao bei rahisi
Washitakiwa hao waliokamatwa katika eneo la kona Baa Ambiance Sinza wilayani kinondoni ambao ni miongoni mwa wanawake 35 wanaodaiwa kufanya biashara hiyo na wote walifikishwa mahakamani hapo.
Kesi hiyo ilikuwa chini ya hakimu Willian Mtaki ambapo muendesha mashitaka,bwana John Kijumbe,alisema wasichana hao walikamatwa katika mazingira tofautitofauti.
Wanafunzi hao ni Yasinta Kilimo mwenye miaka 21 CBE mkazi wa upanga,Morin Masatu miaka 19 UDSM,mkazi wa kinondoni na mwanafunzi wa VETA aliyefahamika kwa jina moja la Khadija.
“Nilikwenda pale baa kuchukua simu yangu ambayo ilipotea hivyo waliniita nikaichukue ndipo askari wa jiji wakanikamata,”Alisema Khadija akijitetea.
Kwa mujibu wa bw. Kijumbe washitakiwa hao wamekosa dhamana baada ya kushindwa kutimiza masharti ya kila mmoja kuwa na wadhamini wawili au kulipa faini ya kulipa sh. 200,000.
Kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa tena mei 28 mwaka huu,ambapo washitakiwa wote walipelekwa Segerea.
Wakati huohuo, jeshi la Polisi mkoa wa kinondoni , limewakamata watuhumiwa 716 waliokuwa wakijihusisha na biashara ya kuuza miili kati yao wanaume 38 na wanawake 678.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni Charles Kenyela, alisema watu hao walikamatwa kwenye msako uliodumu kwa miezi sita kwenye maeneo mbalimbali ya Kinondoni.
Maeneo hayo ni baa, kumbi za starehe, madanguro, sehemu za wazi katika ufukwe wa Bahari ya Hindi, na makaburini ambapo kati ya wanaume waliokamatwa wengine ni mashoga pamoja na wateja wa machagudoa.
“Msako huo ulifanyika Maisha Club, Coco Beach, Barabara ya Tunisia , Travertine Hotel, Tandale Uwanja wa Fisi, Ambiance Club, Shekilango pamoja na Mwinanyamala” Alisema
Kamanda Kenyela aliongeza kuwa , jeshi hilo pia limewakamata raia 12 kutoka nchini Ethiopia walioingia nchini bila kibali kati ya Mei 2 na 6, mwaka huu katika eneo la Kimara Mwisho na Tegeta Kibaoni.
Alisema kukamatwa kwao kulitokana na taarifa walizozipata kutoka kwa raia wema waliowaona maeneo.
Chanzo Majira.....
RUGE SUGU PEACE AND LOVE
Picha maarufu kwa wiki hii(na wiki zijazo) na bila shaka inayopendeza kwa wengi na vile vile kutopendeza kwa wengine ni hiyo hapo juu inayowaonyesha Mbunge wa Mbeya Mjini, Mh.Joseph Mbilinyi aka Sugu akipeana mkono na Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba huku kitendo hicho kikishuhudiwa na Waziri wa Vijana,Habari,Michezo na Utamaduni,Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi na Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu jijini Dar-es-salaam hivi leo. Mkono huo au mikono hiyo ni ishara kutoka kwa wawili hao kwamba wameamua kuweka tofauti zao zilizodumu kwa takribani miaka miwili pembeni na kufungua ukurasa mpya.
Nimeanza kwa kusema picha inayondeza kwa wengi na vile vile kutopendeza kwa wengine kwa sababu ninapoandika hapa tayari gumzo kubwa lishaanza hususani katika mitandao jamii (Facebook na Twitter ikiongoza)ambapo kuna uhuru wa aina yake wa kujielezea.Kuna ambao wanahisi kusalitiwa huku wengine wakihisi kuwa na nguvu mpya na ari mpya kama ile aliyoingiaga nayo Kiongozi Mkuu wa nchi hii.
Sisi hapa BC, tumeipenda picha hiyo. Tunaamini kwamba mwisho wa siku,sisi wengine tunaombea zaidi amani na upendo.Hilo ni la msingi sana wakati huu na hata wakati ujao.Kuna umuhimu wa kufanya kazi kwa kushirikiana.Hata kama hampatani,basi kuwa na nia ya kutafuta jinsi ya kufanya kazi na kufanikisha jambo fulani.
YANGA YAICHAPA SIMBA 2-0/ MASHABIKI BARANI AFRIKA WAFURAHIA MECHI KUPITIA SuperSport EAST 9
Yanga wakifurahia mojawapo ya magoli kutoka katika mechi hiyo. Picha kwa hisani ya Bin Zubeiry Blog
Timu ya soka ya Yanga, jioni hii imewadhihirishia mashabiki wao na
wapenzi wa soka barani Afrika kwamba msimu huu ulikuwa wao baada ya
kuwachapa wapinzani wao wa jadi,Simba kwa jumla ya magoli 2-0 katika
mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara mchezo ambao
ulionyeshwa kote barani Afrika kupitia SuperSport East 9 ndani ya DStv.
Mashabiki wa soka nchini Tanzania na
barani Afrika waliweza kuona mpambano huu wa watani wa jadi Live kupitia
kwenye luninga zao kwenye SuperSport 9 East ambao walirusha matangazo
hayo moja kwa moja kutokea Uwanja wa Taifa.
Katika mchezo huo magoli ya Yanga yalifungwa na Didier Kavumbagu
kunako dakika ya 5 ya kipindi cha kwanza na Hamis “Diego” Kiiza kunako
dakika ya 63 ya kipindi cha pili.Kwa matokeo hayo, Yanga inamaliza msimu wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 60, ikifuatiwa na Azam FC yenye 52 na Simba 45.Hii ni mara ya 24 kwa Yanga kutwaa taji la Ubingwa wa Soka Tanzania Bara. Hongera kwa Yanga!
Wapenzi Washitakiwa Kwa Kukaa Uchi Ufukweni
Jasmine Kim Walton, miaka 21, na Kyle Martin Schnoebelen, miaka 22, wote kutoka Virginia walikamatwa muda mfupi kabla ya kufikia Saa 9 alfajiri ya Jumapili.
Waliwaeleza polisi kwamba walikuwa wamekwenda kuogelea kwa kupiga mbizi na waliporejea wakakuta nguo
Rais Obama kutua Tanzania tarehe 1 mwezi wa 6
![]() |
| President Barack Obama |
Kutoka Gazeti la Mwananchi
Rais wa Marekani Barack Obama ambaye anatarajiwa kudhuru Tanzania siku za hivi karibuni
Kwa ufupi;
Akizungumza na Mwananchi Jumapili Profesa Ibrahim
Lipumba ambaye ni mchumi kitaaluma, amesema kuwa ujio wa Rais Obama
unaweza kuleta neema hasa kama atakuwa ameambatana na wataalamu wa
masuala ya maendeleo.
Hii itakuwa ziara ya pili ya Rais Obama katika Bara la Afrika.
Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa ujio wa Rais
Barack Obama wa Marekani nchini, ni fursa nyingine kwa Tanzania kukuza
uchumi na kuimarisha uwekezaji.
Akizungumza na Mwananchi Jumapili
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mchumi kitaaluma, amesema kuwa ujio wa
Rais Obama unaweza kuleta neema hasa kama atakuwa ameambatana na
wataalamu wa masuala ya maendeleo.
Hii itakuwa ziara ya pili ya Rais Obama katika Bara la Afrika.
Ziara
yake ya kwanza aliifanya wakati wa awamu yake ya kwanza madarakani,
wakati ziara ya safari hii ni kipindi chake cha lala salama.
Rais
Obama alianza rasmi awamu yake ya kwanza kama Rais wa Taifa kubwa,
Januari 20, 2009, wakati ng’we yake ya mwisho ilianza Januari 21, 2013.
Rais
Obama anatarajiwa kufanya ziara hiyo mwishoni mwa Juni mwaka huu,
ambapo Tanzania itakuwa miongoni mwa nchi za mwanzo za Afrika Mashariki
kutembelewa na kiongozi huyo.
Ziara ya Rais Obama inafanyika baada
ya ziara ya Rais Xi Jiping wa China aliyeitembelea Tanzania Machi 28,
mwaka huu, ambapo Tanzania ilikuwa nchi yake ya kwanza kuitembelea kwa
Afrika tangu achaguliwe kuwa rais, Machi 14, 2013.
Akizungumzia
ziara hiyo tarajiwa, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi (Cuf),
Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni mchumi, alisema amani, utulivu na
uimara wa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi kwa kulinganisha na nchi
nyingine za jirani, vimechangia kuwapo kwa ziara hiyo.
Profesa
Lipumba alisema pia ugunduzi wa rasilimali za asili kama vile gesi,
mafuta na madini ya urani ni sababu nyingine iliyomfanya Rais huyo kuja
nchini.
Hivyo aliwashauri viongozi wa Serikali kujipanga kwa ajili ya kufungua mlango huo mwingine wa uchumi na uwekezaji.
Alisema
pamoja na hali hiyo pia kuna mambo ambayo yanaweza kuchafua taswira ya
nchi kama vile ubovu wa miundombinu ya barabara, msongamano wa magari
barabarani na msongamano wa meli bandarini wakati zikisubiri kushusha
mizigo.
Jumatano ya wiki hii, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani,
John Kerry alitangaza mbele ya wajumbe wa Kamati ya Ushirikiano kati ya
Marekani na Afrika, kwamba Rais Obama hivi karibuni atafanya ziara
Afrika.
Ingawa Kerry hakutoa maelezo zaidi ya nchi gani za Afrika
ambazo Rais Obama atazitembelea, lakini baadhi ya vyombo vya habari vya
Nigeria vilieleza kiongozi huyo atafanya ziara Tanzania, Rwanda na
Nigeria.
Kiongozi wa kwanza wa Afrika kukutana na Rais Obama tangu
awe Rais wa Marekani, alikuwa Rais Jakaya Kikwete aliyekutana naye Mei
2009, Washington, Marekani.
MSANII WA ZE COMEDY AFANYA UCHAFU ‘BICHI’
MSANII memba wa Kundi la Ze Comedy linaloruka kupitia Runinga ya East Africa, Master Face amenaswa akifanya uchafu wa kushikana ‘kimalovee’ na msanii mwenzake aitwaye Happy ambaye alikuwa ametinga kivazi cha nusu utupu.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wasanii hao walikuwa wakirekodi filamu katika ‘bichi’ ya Chadibwa iliyopo maeneo ya Kigamboni, jijini Dar ndipo walipopitiliza na kuanza kufanya…
MSANII memba wa Kundi la Ze Comedy linaloruka kupitia Runinga ya East Africa, Master Face amenaswa akifanya uchafu wa kushikana ‘kimalovee’ na msanii mwenzake aitwaye Happy ambaye alikuwa ametinga kivazi cha nusu utupu.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wasanii hao walikuwa wakirekodi filamu katika ‘bichi’ ya Chadibwa iliyopo maeneo ya Kigamboni, jijini Dar ndipo walipopitiliza na kuanza kufanya madudu hayo ambayo hayakuwepo kwenye muswada wa filamu hiyo.
Baada ya picha hizo kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii, paparazi wetu alifanya jitihada za kuwatafuta wawili hao lakini kwa bahati mbaya simu zao ziliita bila kupokelewa.
WEMA AZIDI KULA SHAVU
Wema Sepetu Apata Mkataba Mkubwa Awa Staa Mwenye Thamani Kubwa kuliko Wote Tanzania
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo
wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.
Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.
LINNAH AJIBU MAPIGO YA WEMA KUCHORA TATOO
Msanii Linah sanga ameonekana kujibu mapgo ya msanii wa bongo movie wema sepetu baada ya ya kujichora tatoo kwenye mwili wake nyma chini kidogo ya beaga lake la kulia msanii huyo alipo ojiwa alisema ni maamuzi aliamua kuchora hio tatoo na kunyoa kipara kwani ndio muonekano wake wa sasa, aliongezea na kusema amechoka kukaa na nywele ndio maana aliamua kunyoa kipara.
Saturday, 18 May 2013
PICHA ZA MODEL WAKIGERMANY ALIYEENDA KAZINI UCHI
A STUNNING model gives fellow commuters a wake-up call to remember by riding the train completely starkers.
The brunette wore only glasses and shoes for her nude ride to work.
And in place of clothes, she daubed herself with words describing what they might have expected her to have been wearing.
Model rides without clothes
Skin full view ... model rides without clothes
TNI Press
The woman carried out the stunt in Dusseldorf, Germany. After boarding a train without blushing, the lady ensured she purchased a ticket before taking her seat as normal. THE model showed her flawless figure to fellow commuters on the train in Germany as part of an art project Stunned passengers gawked open-mouthed as the woman showed off her flawless figure.
Naked model on a train in Germany Wake-up call ... but some passengers on the train still managed to stay asleep TNI Press But remarkably, some of them gave barely a sideways glance as she walked through the carriage in the buff. The model’s naked journey was part of a project put together by Swiss artist Milo Moire. Entitled The Script System, the stunt was intended as a way of "shaking up the ordinary". Swiss artist dreamed up scheme to have naked model take a train ride in Germany Stunt ...
Swiss artist dreamed up scheme TNI Press Milo Moire said the model walking around the train without clothes was meant to make people think outside the box on their commute. He wrote on his website: “Radical nudity becomes the defence shield against the stereotypes and makes the artist invisble.” And he went on to say that the timing of the early morning stunt meant ordinary performance art was out of the question.
The woman carried out the stunt in Dusseldorf, Germany. After boarding a train without blushing, the lady ensured she purchased a ticket before taking her seat as normal. THE model showed her flawless figure to fellow commuters on the train in Germany as part of an art project Stunned passengers gawked open-mouthed as the woman showed off her flawless figure.
Naked model on a train in Germany Wake-up call ... but some passengers on the train still managed to stay asleep TNI Press But remarkably, some of them gave barely a sideways glance as she walked through the carriage in the buff. The model’s naked journey was part of a project put together by Swiss artist Milo Moire. Entitled The Script System, the stunt was intended as a way of "shaking up the ordinary". Swiss artist dreamed up scheme to have naked model take a train ride in Germany Stunt ...
Swiss artist dreamed up scheme TNI Press Milo Moire said the model walking around the train without clothes was meant to make people think outside the box on their commute. He wrote on his website: “Radical nudity becomes the defence shield against the stereotypes and makes the artist invisble.” And he went on to say that the timing of the early morning stunt meant ordinary performance art was out of the question.
MAJIBU ALIYOTOA YA HALIMA MDEE KUHUSU STORY ZA YEYE AKUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA
Posted in Halima Mdee
Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh
Halima Mdee jana amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story
zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja.
aah
unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu
wanasema nini, lakini ukitaka kumjua Halima unaweza ukamchunguza
kirahisi sana, kwa kumuangalia alipotoka, historia yake na mahusiano
yake, ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa wanayajua,watu wanapenda ku speculate pale ambapo wanaona kitu ambacho hawati kuona, sasa hilo swala lilishaandikwa sana, nadhani walioandika baadae wakaja kuomba radhi kwasababu waligundua wameandika kitu kisicho sahihi, probably kutokana na sauti yangu you know, probably kutokana na tembea yangu, kwasababu mimi nimekulia kwenye familia ya wanaume watupu umeona eeh, mimi nimekuwa ni mpambanaji tokea utotoni, kwasababu nimezungukwa na jeshi la kibabe, thats who iam, lakini mtu anaetaka kumjua Halima na ana uhuru tu, hata akitaka niwatajie list ya watu wangu i can do that, lakini sidhani kama is their damn business, cause ma life is personal, na wakitaka kuchunguza wachunguze kwa mpango wao na watapata taarifa, kwa uhuru tu, na wanaweza wakatoa tangazo kwamba jamani watu waliowahi kuwa na uhusiano na huyu if any wajitokeze, watajitokeza kama wapo upande huo, watajitokeza kwasababu sasa hivi si dunia huru bana ......
You might also like:
Friday, 17 May 2013
MAITI YAFUFUKA ZIMBABWE WAOMBOLEZAJI WATIMKA
Waombolezaji
katika msiba nchini Zimbabwe walipigwa na butwaa pale mtu aliyekufa
alipoamka wakati wakipita kando ya jeneza lake kutoa heshima za mwisho,
shirika la habari za nchi hiyo limeripoti jana.
Brighton Dama Zanthe, mwenye miaka 34, aliingizwa ndani ya jeneza Jumatatu baada ya kuwa amefariki nyumbani kwake baada ya kuugua kwa muda mrefu. Lakini siku iliyofuata marafiki wa Zanthe na jamaa zake walisambaratika wakiwa hawaamini pale alipoanza kutembea wakati wakipita mbele ya jeneza kuaga mwili wa ‘marehemu’ huyo. Bosi wa ‘marehemu’ huyo, Lot Gaka alieleza kuhusu mkasa huo alipobaini mfanyakazi wake alikuwa bado angali hai.
Alisema: “Kwanza niligundua miguu ya Zanthe ikisogea wakati nilipokuwa kwenye ya foleni kutazama mwili wake. Hili lilinishitua mno. Kwanza sikuweza kuamini macho yangu lakini baadaye nilibaini kwamba kulikuwa na kusogea kwa viungo kadhaa katika mwili wake huku waombolezaji wengine wakiwa hawaamini kinachoendelea.”
Brighton Dama Zanthe, mwenye miaka 34, aliingizwa ndani ya jeneza Jumatatu baada ya kuwa amefariki nyumbani kwake baada ya kuugua kwa muda mrefu. Lakini siku iliyofuata marafiki wa Zanthe na jamaa zake walisambaratika wakiwa hawaamini pale alipoanza kutembea wakati wakipita mbele ya jeneza kuaga mwili wa ‘marehemu’ huyo. Bosi wa ‘marehemu’ huyo, Lot Gaka alieleza kuhusu mkasa huo alipobaini mfanyakazi wake alikuwa bado angali hai.
Alisema: “Kwanza niligundua miguu ya Zanthe ikisogea wakati nilipokuwa kwenye ya foleni kutazama mwili wake. Hili lilinishitua mno. Kwanza sikuweza kuamini macho yangu lakini baadaye nilibaini kwamba kulikuwa na kusogea kwa viungo kadhaa katika mwili wake huku waombolezaji wengine wakiwa hawaamini kinachoendelea.”
HESHIMA NDANI YA BUNGE
Waziri
wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na mbunge wa viti
maalum (CCM), Mary Mwanjelwa Bungeni mjini Dodoma juzi.
LINAH, BARNABA KUTUPIWA VILAGO THT
KUELEKEA shoo maalumu ya Miaka 13, ya mwanamuziki nguli wa bongo fleva nchini na kiongozi wa bendi yenye msisimko mkubwa ya ‘Machozi Band’, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ au Jide’ huenda kwa upande wa wasanii wa Nyumba ya Vipaji ya THT, Linah Sanga na Barnaba mwaka huu ukawa mchungu kwao kufuatia kuwepo taarifa za kutimuliwa na uongozi wa juu.
Kwa mujibu wa vyanzo kutoka kwa mtu wa karibu wa Linah kilieleza kuwa mpaka sasa msanii huyo hana raha na wala hajui ataanza vipi katika harakati zake za kimuziki hasa kufuatia hivi karibuni kukacha shoo ya nguli Lady Jay Dee kwa shinikizo kutoka kwa wakubwa zake.
Hata hivyo, Linah inadaiwa uongozi wa juu umekaa kikao na hatua iliyofuatia kwenye kikao hicho ni kuwaondoa kabisa kwani huenda wakatia doa wasanii wenzao ndani ya kundi hilo.
“Juzi Lina, haikuwa kawaida yake maana hata alipopigiwa simu na ** kwa ajili ya hatua zingine alionekana kuw na hofu, na wala hakutaka kusikia ushauri wangu ambao nilikuwa nikimhusia kuwa aachane na mawazo hayo kwani jambo analoliwaza huenda likaisha na hata maamuzi yatakayotoka yatakuwa ni kawaida” kilieleza chanzo kutoka kwa mtu wakaribu wa Lina, amabaye hata hivyo alisema kuwa huenda ukweli wa jambo ukawa hadharani.
Tuesday, 14 May 2013
WASHINDANI WA MISS REDDS DODOMA KUPIGANA VIKUMBO
Washiriki hao wa redds miss dodoma wapeana maneno kwamba wao ni wakali kuliko wengine wote na lazima mmoja wao awe mshindi kwani wanajiamini na kua vigezo vote vinavyoitajika. washiriki hao mmoja (Irene richard) akimtambia mwenzie rahma kua yeye ndo mshindi wa miss redds dodoma kwa sababu anakila sababu ya kua mshindi kwani anajiamini sana na unauwezo pia anavigezo vyote vya kua mshindi ndo maana anajiamini.
Rahma mohamed nae hakukubali kushindwa baada ya kuhojiwa na chanzo chetu cha habari na kusema kua yeye ndo mshindi kwani anakila kinachoitajika kwa mshindi kuanacho basi ye anachohivo huyo anaejiita mshindi ajipange kwani yeye sio judge kwani nae yupo fiti kila sector aliamalizia kusema kua tuwaachie majudge ndo waamuzi wa mwisho.
WAFUNZI 30 WA MANZESE SEKONDARI WAANGU KWA MKUPUO
Wanafunzi zaidi ya 30 wa shule ya Sekondari manzese muda huu wanaanguka
hovyo huku wakijibamiza katika miti na kusema maneno yasiyoeleweka
kutokana na kinachohisiwa kuna ni nguvu za giza zimetanda shuleni hapo.
Hadi sasa chanzo cha tatizo hilo hakijajulikana kuwa nini.
Hadi sasa chanzo cha tatizo hilo hakijajulikana kuwa nini.
HIVI NDO KITEGA UCHUMI CHA YANGA KITAKAVYOKUA
Wewe
ni shabiki wa Yanga na mpenda michezo? Toa maoni yako jinsi gani
ungependa kitega uchumi kipya cha klabu (ambacho ndani kitakuwa na
uwanja wa kisasa) kiwe. "Share" sehemu hii ya kutoa maoni na mashabiki
wengine wa Yanga na wapenda michezo!
MR. DUDE AMPONGEZA MWANAE SIKU YAKE YA KUZALIWA KUPITIA MTANDAO WA FACEBOOK HAPPY BDAY NAJMA DUDE.
Sherehe ya BIRTHDAY mwanangu NAJMA DUDE iliisha salama salmin, ni jana na tulifanya kisherehe kidogo tu nyumbani, tukaalika watoto wenzao tu, ndo maana wewe hapo unaesoma ujumbe huu sijakualika, wewe sio mtoto bana.
MISS REDDS DODOMA YAZIDI PAMBA MOTO WAREMBO WAONEZEKA KUSHIRIKI
Baadhi ya warembo wakiwa mazoezini wakitembea kwa madaha na maringo kwenye ukumbi wa N.K dodoma mjini
warembo wengine wakiwa wamesimama katika pozi wakati wa mazoezi
baada ya mazoezi ya vtendo sasa warembo hao washiriki wa miss redds dodoma wapata mafunzo kwa maelekezo bila vitendo, warembo hao wahaidi kuleta burudani ya kutosha usikose pata habari zote kupitia blog yetu
warembo wengine wakiwa wamesimama katika pozi wakati wa mazoezi
baada ya mazoezi ya vtendo sasa warembo hao washiriki wa miss redds dodoma wapata mafunzo kwa maelekezo bila vitendo, warembo hao wahaidi kuleta burudani ya kutosha usikose pata habari zote kupitia blog yetu
Subscribe to:
Posts (Atom)















