Tuesday, 14 May 2013

HIVI NDO KITEGA UCHUMI CHA YANGA KITAKAVYOKUA


Wewe ni shabiki wa Yanga na mpenda michezo? Toa maoni yako jinsi gani ungependa kitega uchumi kipya cha klabu (ambacho ndani kitakuwa na uwanja wa kisasa) kiwe. "Share" sehemu hii ya kutoa maoni na mashabiki wengine wa Yanga na wapenda michezo!

No comments: