Monday, 20 May 2013

LINNAH AJIBU MAPIGO YA WEMA KUCHORA TATOO

Msanii Linah sanga ameonekana kujibu mapgo ya msanii wa bongo movie wema sepetu baada ya ya kujichora tatoo kwenye mwili wake nyma chini kidogo ya beaga lake la kulia msanii huyo alipo ojiwa alisema  ni maamuzi aliamua kuchora hio tatoo na kunyoa kipara kwani ndio muonekano wake wa sasa, aliongezea na kusema amechoka kukaa na nywele ndio maana aliamua kunyoa kipara.

No comments: