Ukiangalia hii Picha kwa Makini utaona wasamii Mbali mbali wakiwa na
Lady Jay Dee Wakifanya Sign Ambayo anapenda kuitumia Lady Jay dee ya
Anaconda...Ambayo ndio Movemeny yake ya Kupinga Unyanyasaji wa Kimuziki
....Hii inanikumbusha Harakati za kundi la Anti Virus Ambao Muda sasa
sijasikia Harakati zao lakini nikiangalia tena hii picha namuona John
Mkoloni na Mapacha..Najiuliza Anti Virus Wamemjoin Lady Jay Dee Ama ?
No comments:
Post a Comment