Tuesday, 14 May 2013

MR. DUDE AMPONGEZA MWANAE SIKU YAKE YA KUZALIWA KUPITIA MTANDAO WA FACEBOOK HAPPY BDAY NAJMA DUDE.

https://fbcdn-profile-a.akamaihd.net/hprofile-ak-ash4/369610_100001828793906_2015794138_q.jpg
2 minutes ago via BlackBerry Smartphones App

Sherehe ya BIRTHDAY mwanangu NAJMA DUDE iliisha salama salmin, ni jana na tulifanya kisherehe kidogo tu nyumbani, tukaalika watoto wenzao tu, ndo maana wewe hapo unaesoma ujumbe huu sijakualika, wewe sio mtoto bana.
Like · · Share

No comments: