Wanafunzi zaidi ya 30 wa shule ya Sekondari manzese muda huu wanaanguka
hovyo huku wakijibamiza katika miti na kusema maneno yasiyoeleweka
kutokana na kinachohisiwa kuna ni nguvu za giza zimetanda shuleni hapo.
Hadi sasa chanzo cha tatizo hilo hakijajulikana kuwa nini.
Hadi sasa chanzo cha tatizo hilo hakijajulikana kuwa nini.
No comments:
Post a Comment