Monday, 20 May 2013

MSANII WA ZE COMEDY AFANYA UCHAFU ‘BICHI’

Na Mwandishi Wetu

MSANII memba wa Kundi la Ze Comedy linaloruka kupitia Runinga ya East Africa, Master Face amenaswa akifanya uchafu wa kushikana ‘kimalovee’ na msanii mwenzake aitwaye Happy ambaye alikuwa ametinga kivazi cha nusu utupu.

Master Face akijiachia na msanii mwenzie aitwaye Happy.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wasanii hao walikuwa wakirekodi filamu katika ‘bichi’ ya Chadibwa iliyopo maeneo ya Kigamboni, jijini Dar ndipo walipopitiliza na kuanza kufanya…
Na Mwandishi Wetu
MSANII memba wa Kundi la Ze Comedy linaloruka kupitia Runinga ya East Africa, Master Face amenaswa akifanya uchafu wa kushikana ‘kimalovee’ na msanii mwenzake aitwaye Happy ambaye alikuwa ametinga kivazi cha nusu utupu.

Master Face akijiachia na msanii mwenzie aitwaye Happy.
Kwa mujibu wa chanzo makini, wasanii hao walikuwa wakirekodi filamu katika ‘bichi’ ya Chadibwa iliyopo maeneo ya Kigamboni, jijini Dar ndipo walipopitiliza na kuanza kufanya madudu hayo ambayo hayakuwepo kwenye muswada wa filamu hiyo.
...Wakiwa kimahaba zaidi.
Baada ya picha hizo kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii, paparazi wetu alifanya jitihada za kuwatafuta wawili hao lakini kwa bahati mbaya simu zao ziliita bila kupokelewa.
...Pozi tofauti za wasanii hao

No comments: