Washiriki hao wa redds miss dodoma wapeana maneno kwamba wao ni wakali kuliko wengine wote na lazima mmoja wao awe mshindi kwani wanajiamini na kua vigezo vote vinavyoitajika. washiriki hao mmoja (Irene richard) akimtambia mwenzie rahma kua yeye ndo mshindi wa miss redds dodoma kwa sababu anakila sababu ya kua mshindi kwani anajiamini sana na unauwezo pia anavigezo vyote vya kua mshindi ndo maana anajiamini.
Rahma mohamed nae hakukubali kushindwa baada ya kuhojiwa na chanzo chetu cha habari na kusema kua yeye ndo mshindi kwani anakila kinachoitajika kwa mshindi kuanacho basi ye anachohivo huyo anaejiita mshindi ajipange kwani yeye sio judge kwani nae yupo fiti kila sector aliamalizia kusema kua tuwaachie majudge ndo waamuzi wa mwisho.
No comments:
Post a Comment