Baadhi ya warembo wakiwa mazoezini wakitembea kwa madaha na maringo kwenye ukumbi wa N.K dodoma mjini
warembo wengine wakiwa wamesimama katika pozi wakati wa mazoezi
baada ya mazoezi ya vtendo sasa warembo hao washiriki wa miss redds dodoma wapata mafunzo kwa maelekezo bila vitendo, warembo hao wahaidi kuleta burudani ya kutosha usikose pata habari zote kupitia blog yetu
No comments:
Post a Comment