Monday 27 May 2013

Taifa Stars ndani ya suti maalum kwao zilizobuniwa na designer Sheria Ngowi

Wachezaji wakishangiliwa wakati wakionesha suti zao kwenye runway Wachezaji wakishangiliwa wakati wakionesha suti zao kwenye runway

John Bocco na Erasto Nyoni. Hawa wanaonekana mambo ya fashion show zio zao na wameboreka... haha! John Bocco na Erasto Nyoni. Hawa wanaonekana mambo ya fashion show zio zao na wameboreka… haha!

Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao. Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.

Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao. Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.
Wachezaji wa Taifa Stars wakionyesha suti zao mpya zilizobuniwa maalum kwa ajili yao na designer Sheria Ngowi, katika hafla ya Kilimanjaro Premium Lager kukabidhi suti hizo.

No comments: