Monday 29 April 2013

Uwanja wa Ndani wa FBF kukamilika Juni

Uwanja wa Ndani wa FBF kukamilika Juni

Child Soldiers Used by Central African Republic Rebels



Elephant Poaching on the Rise
Picture1.png
By Shawn Humphrey | Yahoo! Contributor Network – Fri, Apr 26, 2013
Children are the subject of widespread human rights violations by the Seleka rebel coalition in the Central African Republic (CAR), the United Nations News Service reported on Thursday.
Among the allegations by a senior U.N. official are reports are killings, sexual violence, and the use of child soldiers in the Seleka rebellion against CAR. Additionally, there are reports that elephants in the protected Dzanga-Sangha area are increasingly being poached, according to the Associated Press.
Here's a closer look at the report and the crisis in CAR.
Armed and uniformed children seen on military duties
Leila Zerrougui, the Secretary-General's Special Representative for Children and Armed Conflict, said that uniformed and armed boys had been seen at checkpoints and participating in looting in every town controlled by the Seleka coalition. "I call on all military commanders in charge of the different armed groups in the Séléka coalition to immediately release children within their ranks and to issue command orders to refrain from further recruitment and use of children," she said, according to the U.N. News Center.
In addition, cases of rape and sexual violence against girls has been reported to the U.N., and 2 million children are in need of humanitarian assistance due to the ongoing violence in the country.
Bombardment of residential areas killed 29 children in one week of the crisis.
Poaching increases in protected region
The World Wildlife Federation's head of anti-poaching policy, Bas Huijbregts, said that "elephant poaching is on the increase and given the fact that Central African Republic for the moment is also in dire straits we are fearing for the worst in terms of people trying to look seriously for ivory," according to the AP.
Huijbregts attributed the lawlessness to the increased poaching, which saw 40 elephants killed after rebels overthrew the government. However, the WWF says it isn't possible to know how many elephants have died due to a lack of forest patrols.
The rainforest preserve is in the southwestern region of the country, where 3,400 forest elephants live.
A report from Reuters indicated that eight conservation groups were meeting in Brazzaville, Republic of the Congo, to try to find ways to curb the poaching epidemic. Poaching of elephants is fueled by a demand in Asia for ivory which has killed an estimated 20,000 to 30,000 elephants in Africa per year.
Shawn Humphrey is a former contributor to The Flint Journal and an amateur Africanist, focusing his personal studies on human rights and political issues on the continent.




."

Wednesday 24 April 2013

NIMEMWAMBUKIZA MWANANGU UKIMWI KUTOKANA NA UMASIKINI WANGU.....



Ukimsikiliza Zaituni Ally (35) anayeishi na virusi vya ukimwi (VVU) kwa miaka saba sasa, machozi yanaweza kukutiririka mashavuni.

“Nakula mlo mmoja kwa siku siku nyingine nalala na njaa,”alisema Zaituni.


Siyo hivyo tu. Zaituni ana watoto watatu wenye umri wa  miaka 9, 5 na miezi mitatu. Alimzaa mtoto wake wa kwanza, ambaye hivi sasa yuko Mtwara kwa dada yake, akiwa hana maambukizi lakini alijifungua mtoto wa pili na watatu akiwa ameshagunduliwa kuwa na VVU.

Hivi sasa mtoto wake wa pili naye anatumia dawa za ARV. Amegunduliwa kwamba ana VVU, japokuwa alipozaliwa alikuwa hana.


Zaituni anasema alipewa maelekezo ya namna ya kumtunza mtoto wake kila alipokwenda kliniki.

 “Nilifurahi sana kuambiwa mtoto wangu hana maambukizi alipozaliwa. Niliambiwa nimlee vyema ila cha msingi nilitakiwa kumtengea vifaa vyake vya kutumia kama wembe na sindano,” alisema Zaituni

Ni vigumu kujua lini mtoto huyu alipata maambukizi lakini hali yake iligundulika baada ya kufikisha miaka minne. 



Na japokuwa ni vigumu kujua namna alivyoambukizwa, maisha ya Zaituni yanatoa ushahidi wa aina Fulani. Hana mume kwa sababu baba ya watoto wake wapili wa kwanza alimuacha baada ya kugundua mama na mtoto wana VVU. 

 “Umasikini wa kipato ndio umechangia kumuambukiza mtoto wangu virusi vya ukimwi,” alisema Zaituni, huku akibubujikwa na machozi shavuni.


Afisa habari kutoka tume ya kudhibiti ukimwi nchini (TACAIDS) Glory Mziray anasema kuwa, tatizo la Zaituni kukosa chakula na watu wengine wenye tatizo kama lake, wanatoapesa katika kila halmashauri zote nchini ili, kuwawezesha kufanya muitikio wa kudhibiti ukimwi kwa kuwashirikisha watu wanaoishi na virusi vya ukimwi.


Mziray alisema kuwa wilaya inatakiwa kupanga na kujua kuna waathirika kiasi gani na kuwapatia mahitaji mbalimbali wanayowahitaji, kwa mfano chakula, mavazi,elimu kwa jamii juu ya kujikinga na virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

“Haki za watu wanaoishi na virusi vya ukimwi na ukimwi vinajumuishwa na kulindwa katika kila sekta, pia kuna  mkakati na sera kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi wa mwaka 2008 hadi 2012, ili kuweza kuratibu watu hao katika kila sekta, maana watu wanaoishi na virusi vya ukimwi wako katika kila sekta hapa nchini, pamoja na kuunda baraza la watu wanaishi na virusi vya ukimwi ili waweze kujadili haki zao na kuzitatua,” alisema Mziray


Mziray alisema kuwa kila mwaka wanatumia Bilioni 15.5 pesa za kuthibiti ukimwei, pia pesa hizo zinapelekewa katika kila halmashauri kulingana na mahitaji hali ya halmashauri husika, lengo kubwa ni kuhakikisha kuwa wanapambana na maambukizi mapya na kuwapatia mahitaji ya muhimu kwa watu wenye virusi vya ukimwi, hata nchi nyingine kama Kenya, Uganda,Rwanda nao wanawapatia pesa halmashauri husika kudhibiti ukimwi kama tunavyofanya hapa nchini.


Katika Kitabu cha pili cha mkakati wa taifa wa kudhibiti ukimwi cha mwaka 2008 hadi 2012 kinaeleza kuwa, kuhakikisha uwianishaji kwa ukamilif wa changamoto zinazohusu janga la ukimwi katika sera na mipango mikuu ya maendeleo ya muda mrefu, kwa kuzingatia athari mahususi kwa watu wanaishi na virusi vya ukimwi na ukimwi, familia zao zilizoathirika pamoja na masuala yanayohusu jinsia na umasikini.


“Ningekuwa na pesa ya kununua wembe, sindano, chanuo na sabuni mtoto wangu asingepata maambukizi. Lakini hata pesa ya kununua unga na mboga ni tatizo kwangu; nitawezaje kupata pesa ya kununua vifaa mmbalimbali vya kutumia mtoto pekee yake? Kikubwa ninachoangalia ni watoto kupata chakula.”


Akikosa kabisa chakula, Zaituni analazimika kutumia dawa zake za ARVs hivyo hivyo na kumuombea mtoto wake chakula kwa majirani ili asiregee na dawa anazotumia.


Mtoto  wa pili wa  Zaituni hajui kwa nini anapewa dawa kila siku. Anasema mama yake anampatia dawa asubuhi na jioni; muda mwengine akisahau, inabidi amkumbushe

Mtoto huyo alisema kuwa mama yake alimwambia akinywa dawa hiyo ndio anakua haraka. Pia, aliongeza kwa kusema kuwa anaamini akifikia umri wa kuanza shule akuwa na akili nyingi shuleni kutokana na dawa hizo.

Maamuzi ya kumpeleka wake wa kwanza kwa  dada yake yalimsaidia mtoto huyo kutopata maambukizi ya virusi vya ukimwi, mwaka 2006 alianza kliniki na kupimwa akakutwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi. Kwa wakati huu, Zaituni bado hajui kama mtoto wake watatu ana maambukizi ya VVU; amemleta katika hospitali ya wilaya ya Nachingwea kupima.

“Sina hakika kama naye atakuwa vema bila ya kupata maambukizi, maana huyu kaka yake amezaliwa mpaka anamaliza kunyonya hakupata maambukizi, alipofika miaka minne aligundulika na maambukizi ya virusi vya ukimwi,” alisema Zaituni.


Kwa mujibu wa Kaimu Mratibu wa ukimwi wilaya ya Nachingwea Dokta Khadija Komba zaidi ya watoto 458 wameambukizwa virusi vya ukimwi, pengine katika mazingira ya kuchangia nyembe, chanuo na sindano za kutolea funza na mzazi au na mzazi mwenye virusi kwa kugusuna kama ana mchubuko mwilini.

Watoto 458 waliozaliwa na mama wenye VVU, mpaka wanafikisha miezi 18 walikuwa hawana maambukizi ya virusi vya ukimwi, inawezekana wamepata maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa kutumia vitu vya ncha kali pamoja na mama zao kwa kipindi cha miaka mitatu.

Jumla ya watoto 200 wanatumia dawa za ARVs, kati ya hao watoto wa kiume 90 na watoto wa kike 110, pia watoto 258 bado hawajaanza kutumia dawa za ARVs, kati ya hao watoto wa kiume 118 na watoto wa kike 140, kwa sababu kinga za mwili kuwa juu. Kama mtoto kinga yake ya mwili iko chini anapatiwa dawa kuanzia umri wa mwezi mmoja hadi miaka 14.

Dokta Komba alisema kuwa watoto kuanzia mwezi mmoja hadi miaka 14 wanapewa dawa aina ya AZT 390,  niverapin na seprin mpaka wanapoacha kunyonya, dawa hii wanayopewa  inasaidia kudumaza  wadudu  wa virusi vya ukimwi wasizaliene kwa wingi kwa  mtoto.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dokta Hussein Mwinyi, alisema kuwa mwaka 2011 jumla ya vituo 1,660 vinavyotoa huduma za (PMTCT)  vilianza kutoa huduma  za utambuzi kwa kutumia sampuli kwenye hospitali za rufaa.

Idadi ya watoto waliopatiwa huduma hiyo imefikia 18,231 kwa mwaka 2009 na  watoto 22,033 kwa mwaka 2010 na 27, 245 kwa mwaka 2011. Kwa sasa tumefikia asilimia 26 ya kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi lengo ifikapo 2015 ifikie  asilia 4 ya maambukizi.

Kwa upande wake Muuguzi Mkunga anayewapima watoto wakiwa chini ya miezi 18 Evarist Chingwuile, alisema kuwa mtoto anapozaliwa na mama mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi anapewa dawa za AZT390 na niverapin kwa muda wa miezi 18.

Chingwuile alisema kuwa akiwa na miezi miwili anapimwa antijen katika sehemu ya unyayo kujua kama anamaambukizi au hana maambukizi, wakishamtoa damu inapelekwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Majibu yanarudi baada ya wiki mbili, wakati wote huo mtoto anaendelea na dawa, mtoto akiachishwa kunyonya, anapimwa kumuangalia kama anamaambikizi, kama anamaambukizi anapimwa na kinga ya mwili kama iko chini anaendelea kupewa dawa ya niverpin na seprin na kumuamishi katika kituo cha ctc.

Dokta Debora Kayoka meneja wa mradi wa kumkinga mtoto asipate maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto nchini, alisema mashine za kumpima damu ya  mtoto ili kujua kama ana maambikizi au hana kwa hapa nchini, mashine hizo zipo katika hospitali za rufaa tu, kama hospitali ya  Mbeya, hospitali ya Bugando, hospitali ya Kcmc na hospital ya Muhimbili.

Mashine ya (DNA-PCR) ambazo zinatumika kujua kama damu ya mtoto inamaambukizi mashine hizi zinauzwa kwa gharama ya dola ya Kimarekani 35,000 hadi dola 45,000, serikali ya Tanzania imepewa ufadhili na mfuko wa Bill Cliton Fundation.

Kwa sasa nchini Tanzania tunawataalamu wa kupima damu ya mtoto wa umri wa miezi miwili kwa kutumia mashine hii ya DNA-PCR  wako wangapi 22 na wamesomea kozi za maabara Kwa muda wa miaka miaka 3, kwa kiwango cha degree,mashine hizo kwa hapa nchini zipo 10.

Chingwuile alisema kuwa kwa mwaka 2012 wanawake wajawazito waliofika  kliniki kupima waliku 1,614 kati hao wasiona maambukizi ni 1565, wenye (VVU) 49, wanaume walipima na wake zao wakati wa ujauzito ni 26.

Wanaendelea na dawa ambao wana watoto wa changa ni 14. Pia mimba za utotoni 86 na wajawazito 14 wanatumia dawa hizo za kumkinga mtoto asipate na maambukizi.

Watoto wote waliozaliwa na wamama wenye virusi vya ukimwi hawana maambukizi ila mama anapojifungua salama tunamuuelekeza jinsi ya kumtunza mtoto asimuambikize virusi.

“Tunamuelimisha mama kutotumia nyembe, sabuni, sindano na chanuo pamoja na mtoto wake, anatakiwa kutunze vizuri mtoto wake  kwa kumuandalia vifaa mbalimbali vya kwake kama wembe, sindano, sabuni na chanuo ili asimuambukize (VVU),” alisema Chingwuile.

Alisema kuwa baada ya miaka miwili au mitatu mama anapokuja kliniki mtoto anaanza kuumwa homa za mara kwa mara, ukimpima unamkuta mtoto amemuambukiza virusi vya ukimwi wakati alipojifungua unamuelimisha jinsi ya kumtunza mtoto ana anapokuja kliniki kila mwezi.

 “Wengi husema hali ngumu ya maisha wanashindwa kununua wembe wa peke yake na mtoto akinunua wembe anatumia na mtoto wake kama kumkata kucha kumtoa funza na kumyoa nywele na  kumpa vyakula akiwa chini ya miezi sita pia kunasababisha kumuambukiza virusi vya ukimwi,” alisema Mkunga Chingwuile.


Kwa upande wake mkurugenzi wa wilaya ya Nachingwea Mwanamvua Mrindoko alisema kuwa, kila mwaka wa fedha Tume ya kuthibiti ukimwi nchini wanawapatia shilingi milioni 80 kwa ajili ya mapambano ya virusi vya ukimwi laki kwa mwaka huu wa fedha mpaka sasa wamepokea shilingi milioni 20 tu bado shilingi milioni 60.


Mrindoko alisema kuwa pesa hizo wakizipata wanazitumia kwa,  Kuwajengea uwezo  kamati mbalimbali za ukimwi za kata. Kwa sasa wilaya ina kamati 32, pia wanawalipia ada ya shule  wanafunzi waliotoka katika familia zilizoathika na ukimwi na wanafunzi wanaishi na virusi vya ukimwi na ukimwi ambao wako 438 wa shule za sekondari.


Aidha alisema kuwa zaidi ya milioni 20 inatumika kuwalipia ada wanafunzi hao wenye maambukizi ya ukimwi na ukimwi katika shule mbalimbali kuanzia kidato cha kwanza mpaka chuo kikuu.


Pia wanatoa lishe kwa wanafunzi wapata 15 wa shule ya sekondari na wanafunzi 20 wa shule ya msingi, vile vile wanatoa lishe kwa wagonjwa wenye ukimwi ambao hawajiwezi majumbani, kuwezeshwa katika miradi mbalimbali kama kutunza mazingira, kutengeneza lishe na vikoba.

Mrindoko alisema kuwa idadi kubwa ya watoto wanafunzi wanaishi na virusi vya ukimwi na wenye ukimwi katika wilaya hiyo, imetokea mwaka 1990 hadi 1998 kwa sababu kulikuwa bado hakuna dawa ya kumkinga mtoto asipate maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. Kwa sasa zaidi ya watu wenye  4,625 kati ya wakazi 17,00,000. 


“Changamoto kubwa sana wanayoipata ni pesa kuwa finyu ukilinganisha na idadi kubwa ya maambukizi mpya ya ukimwi siku hadi siku katika msimu wa korosho na ufuta, pia uwepo wa machimbo ya madini Kiegei pamoja na makambi makubwa matatu ya kijeshi kuwepo katika wilaya hiyo na inasemekana wanajeshi hao wanafanya ngono zembe katika wilaya hiyo,”alisema Mrindoko


Kufuatia ufinyu wa bajeti na kuchelewa kufika muda muafaka,  waathirika wengi hasa  vijiji ambako kuna kata 26 za wilaya hiyo wanakosa huduma muhimu kama lishe na kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali ili waweze kujitegemea wenyewe katika kupata chakula, wanaiomba tume ya kuthibiti ukimwi nchi kuwaongea bajeti ya wilaya ya Nachingwea kutoka shilingi milioni 80 hadi ifike shilingi milioni 100.


Kwa mujibu wa kitabu kilichochapishwa kwa hisani ya Amref na Watu wa Marekani mwezi Julai mwaka 2007 na kusainiwa na Katibu Mkuu Mukama, ambacho kinaelezea  muongozo kwa mama mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi kulimsha mtoto asiye na maambukizi , kunaweza kumuambukiza virusi hivyo.

Kitabu hicho kinaeleza kuwa mwanamke anayeishi na (VVU), anaweza kumuambukiza mtoto wake akiwa na ujauzito,uchungu na wakati wa kujifungua na wakati wa kunyonyesha.

Kama mama mjamzito hajapima (VVU), hawezi kufahamu kama anaishi na VVU. Hivyo ni muhimu wanamke mjamzito na wanaonyonyesha kupima ili kutambua hali yao ya maambukizi ya (VVU) na kupata ushauri wa jinsi ya kuwakinga watoto wao na maambukizi ya (VVU).

Mama anaishi na(VVU), damu na maziwa yake huwa na (VVU). VVU kutoka kwa mama vinaweza kwenda kwa mtoto wakati wa mimba, hususan wakati wa uchungu na kujifungua, wakati mtoto anapogusana na damu au majimaji ya mwili wa mama yeke. Ikiwa mama ananyonyesha (VVU) kwenye maziwa yake vinaweza kupita kwa mtoto.

Dokta Hussein Mwinyi alitoa ufafanuzi  katika siku ya ukimwi duniani iliyofanyika katika Mkoa wa Lindi, hali halisi ya maambukizi kwa wanawake wajawazito hapa nchini kwa waka 2011, 86,875 walipatiwa dawa za ARVs kuzuiya maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Sawa na asilimia 71 ya wajawazito 122,146 waliokadiriwa kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi, asilimia ya wajawazito kuwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi imeongezeka mpaka kufikia asilimia 62 ukilinganisha na mwaka 2005 kulikuwa na asilimia 9 ya wajawazito wapatao 11,435 waliopatiwa huduma hii.

Kaimu Mganga mkuu wa Wilaya dokta John Sijaona alisema kuwa, tatizo la watoto wa chini ya miaka 15 kupata maambukizi linatokana na elimu duni kwa wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi pamoja na ugumu wa maisha mama anashindwa kutenga vifaa mbalimbali vya kutumia mtoto wake na kusababisha kumuambukiza virusi vya ukimwi.

“Mama akipewa elimu ya kutosha jinsi ya kumtunza mtoto aliyemzaa asimuambukize virusi vya ukimwi itasaidia kupunguza maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, lakini ugumu wa maisha nao unachangia mama kushindwa kumudu kununua nyembe, chanuo na sindano kwa mtoto pekee,” alisema Dokta Sijaona

Makala ya kisayansi iliyofanywa na dokta Kahabi Isangura mwaka 2007-2008 ambaye pia ni mtaalamu wa afya ya jamii inasema kuwa, kiwango cha maambukizi kwa wanawake  ni asilimia 21.5 na wanaume kiwango cha maambukizi ni asilimia 11.4.

Makala hiyo ya kisayansi inaeleza kuwa kati ya watoto 70,000 hadi 80,000 wanaozaliwa kila mwaka  wapo hatarini kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) kipindi cha kuzaliwa na wakati wa kunyonya.

Kipindi cha mwaka 2007-2008 zaidi ya watu milioni 1,400,000 wanaishi na virusi vya ukimwi, kati hao wanawake ni asilimia 52 na asilimia 11. 4 ni watoto wa chini ya umri wa miaka 15.

Aidha makala hiyo inaeleza kuwa  kwa sasa Tanzania inakadiliwa kuwa na watu milioni 2, 113,158 wanaishi na virusi vya ukimwi lakini kati ya hao asilimia 21. 5 ndio wanaopatiwa dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo

Tuesday 16 April 2013

VIJANA WA ST. JOHN WAJA NA AFTER SPECIAL BASHI THIS THURSDAY KAMA UPO DOM USIKOSEEE


ZITTO KABWE AIKANA NAMBA YAKE YA SIMU LIVE BAADA YA CHADEMA WENZAKE KUDAI NI GAIDI NA ACHUNGUZWE

anyalovforyou.blogspot.com · by @franckie mtetemela · April 16, 2013

ZITTO KABWE AIKANA NAMBA YAKE YA SIMU LIVE BAADA YA CHADEMA WENZAKE KUDAI NI GAIDI NA ACHUNGUZWE

Vote · Comment · Send ·


Sasa nashawishika kuamini kuwa CHADEMA wana lao juu ya mipango ya kigaidi...

Jana Mabere marando alitoa tamko lefu sana lenye namba za simu kibao za watu mashuhuri akitaka mahakama ichunguze simu zao ikiwemo ya Zitto Kabwe.....

SWALI LA KUJIULIZA: 

-Kwanini Mabere Marando anatoa tamko muhimu kama hili bila kuhusisha viongozi wa juu kama Zitto?
-Matamko ya nini wakati kesi iko mahakamani? 

-Kwanini chadema inaendelea kulizungumzia hili swala nje ya mahakama huku wanaharakati wa chadema kama Mwanakijiji wakiwa wameshaanzisha harakati za kutaka kesi ifutwe kwa swala kuzungumziwa nje ya mahakama?

HUU NI UJUMBE WA ZITTO AKIKANUSHA KUHUSIKA NA UGAIDI

( HAPA AMEANZA KWA KUNUKUU SEHEMU YA RIPOTI YA MABERE:)

Ndugu waandishi wa habari; 
Pili, nitakwenda mahakamani kuwasilisha ombi maalum la kuomba amri ya mahakama kuagiza makampuni ya simu za mkononi kuwasilisha mahakamani statement za simu za watu kumi (10) ili kusaidia mahakama kutenda haki na jamii kujua ukweli wa mambo haya. 

Watu ambao nitaomba mahakama itoe amri ya kuletwa taarifa zao simu na meseji (sms) ni Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa nchini (TISS), Jack Zoka, anayetumia simu Na. 255756809535, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Lameck Nchemba.... 

HUU NDO UTETEZI WAKE

Namba hiyo iliyotajwa katika TAMKO imewahi kuwa namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai mwaka 2012. 

Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye business card yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii haitumiki toka katikati ya mwaka 2012. 

Mambo mawili muhimu:ama namba hii imewekwa kwa bahati mbaya kwenye tamko tajwa au imewekwa makusudi kwa sababu maalumu zenye lengo la kutoa ujumbe fulani kwa watu. 

Kwa namna namba hii ilivyochomekwa kwenye tamko hili ni dhahiri kuna juhudi za kunihusisha na upuuzi huu wa ugaidi na unyama dhidi ya binaadamu. 

Napenda kusisitiza kwamba, sihusiki kwa namna yeyote ile katika kuwaza, kupanga au kutekeleza mipango yeyote ya kudhuru mtu ama kwa njia za kigaidi au za kijinai. 

Sihusiki kwa namna yeyote ile kupanga mpango wowote ule wenye lengo la kuhusisha chama changu na vitendo vyovyote vya kigaidi au kudhuru mtu yeyote yule. 

Juhudi zozote zinazofanywa na maadui wa chama changu za kunihusisha na mambo haya zitashindwa kwani siku zote ukweli huwa bayana. 

Napenda kuweka wazi kwamba Mhariri wa Mwananchi ndugu Dennis Msacky ni rafiki yangu wa karibu sana. 

Ninaamini kabisa kwamba katika suala hili Dennis Msacky ni victim.Juhudi zozote zile za kutaka kumgeuza 'victim' kuwa mtuhumiwa lazima zitashindwa tu kwani siku zote HAKI hutamalaki. 

Mtu yeyote anayetaka kutumia urafiki wangu na Dennis Msacky kutaka kujifurahisha kisiasa ajue kuwa furaha yake hiyo itakuwa ni ya muda mfupi sana maana ukweli ukidhihirika atapata aibu kubwa sana. 

Ni muhimu sasa mambo haya tuiachie mahakama itende haki. 

WOTE MBARONI........


makongoro Oging' na Haruni Sanchawa

IMEBAINIKA kwamba kuna mtandao wa askari ndani ya majeshi mbalimbali ya ulinzi nchini na hasa Jeshi la Magereza ambao unajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Uchunguzi wa Uwazi umebaini kwamba tayari orodha ya majina ya askari hao yamekabidhiwa kwa Kamishna Jenerali Mkuu wa Magereza, John Minja ili kuwashughulikia kwa mujibu wa sheria.
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichopo ndani ya jeshi hilo, kilisema kwamba tayari mkakati maalum umeandaliwa ili kuwachukulia hatua askari wanaojihusisha na mtandao huo na kuahidi kwamba hakuna mtu hata mmoja atakayepona.
“Taa nyekundu imewaka kwani baada ya kamishna kupata orodha hiyo aliweza kuwapangua askari wakubwa katika Gereza la Keko jijini Dar na kuwatawanya sehemu mbalimbali ili kuhakikisha kwamba mtandao huo unakoma na biashara hiyo inafikia tamati.
“Pia, makachero makini wamewekwa katika kila gereza hapa nchini ili kupambana na hali hiyo na majeshi yote yatachunguzwa,” kimesema chanzo hicho. 
Mkakati huo uliandaliwa kabla ya Aprili 7, mwaka huu ambapo saa 4 usiku makachero walimnasa askari magereza, Brighton Octavian, akiingia kazini katika Gereza la Keko akiwa na kete 732 za Heroin kwa madai ya kuzipeleka kwa wafungwa.
Imedaiwa kuwa askari huyo ni mmoja tu kati ya watu wanaodaiwa kuunda mtandao huo ambao pia unawashirikisha baadhi ya raia na vigogo wa madawa ya kulevya hapa nchini.
“Kamishna Minja amethubutu kuchukua hatua ili kurekebisha tabia na mwenendo wa magereza yetu kwa kuwa huko nyuma hali ilikuwa mbaya na kuonekana kama sehemu ya genge la kupitisha madawa ya kulevya kwa ajili ya wafungwa,” kilisema chanzo hicho.
Uwazi limebaini kwamba baadhi ya askari katika magereza mbalimbali nchini wamekuwa na maisha mazuri kuliko makamishna wa magereza, hali ambayo inawashangaza wengi.
Inadawa kwamba askari hao wamekuwa si waaminifu kutokana na kushiriki kwao katika mtandao huo wa biashara haramu.
Baada ya Kamishna Minja kuteuliwa kuongoza jeshi hilo, aliunda tume ya kuchunguza changamoto mbalimbali na kugundua udhaifu mkubwa katika Gereza la Keko.
Gazeti hili lilimsaka Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya nchini, Godfrey Nzowa na kumuuliza hatua wanazozichukua kutokana na hali hiyo.
Mbali na kumtaja askari magereza Brighton, pia Nzowa aliongeza kuwa wapo katika mpango maalum wa kumaliza tatizo hilo ndani ya magereza nchini.
“Askari aliyekamatwa alikutwa na kete 732, tunajipanga kuumaliza mtandao wao kwa nguvu zote,” alisema Nzowa na kuongeza kuwa inashangaza kuona askari nao wameingia kwenye biashara hiyo haramu.
Alipoulizwa kuhusu majeshi mengine, Nzowa alisema wakuu wake ambao ni wa majeshi yote hawataki kabisa kuona biashara hiyo haramu inafanyika popote pale, hivyo yupo nao bega kwa bega kupambana na askari atakayethubutu kuifanya.
Naye Msemaji wa Jeshi la Magereza, Mtiga Omari alisema askari Brighton ameshafukuzwa kazi.
“Tumemkabidhi kwa polisi ili ashughulikiwe kisheria na kuhusu majina ya baadhi ya askari wengine wa magereza wanaojihusisha na biashara hiyo naomba unipe muda nifuatilie,” alisema Kamanda Mtiga.
Jeshi la polisi linaongozwa na IGP Said Mwema na kanda maalum inaongozwa na DCP Suleiman Kova ambao wote wapo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani inayoongozwa na Dk Emmanuel Nchimbi ambaye kasi yake ya utendaji kazi tangu ateuliwe kushika wadhifa huo na Rais Jakaya Kikwete, inasifiwa na wengi.

HACKERS WAIBOMOA WEBSITE YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM -( UDSM ) NA KUUJAZA MATANGAZO YA NGONO

Leo mchana, mtandao wa chuo kikuu cha Dar es salaam uliingiliwa na mahackers na kujazwa matangazo ya ngono.....

Matangazo hayo machafu yalikuwa yamewekwa Chini ya picha ya mkandala kwenye welcoming note ya vice chancelor......
MWONEKANO WA MCHANA
Mpaka saa tano usiku mtandao huo wa chuo maarufu haukuwa hewani .....( www.udsm.ac.tz/
MWONEKANO WA MIDA HIYO

UPDATE:
Kwa sasa mtandao huo uko hewani tena

Sunday 14 April 2013

MATAJIRI 10 WANAMUZIKI AFRIKA


1. Youssou N’Dour
2. P-Square
3. D’Banj
4. Kofi Olomide
5. Salif Keita
6. Fally Ipupa
7. 2Face Idibia
8. Hugh Masekela
9. Banky W
10. Jose Chameleon

"busy day.... just visiting one of my kiosk" BY DIAMOND


chezea majuto wewe kazeeka mwili sio akili navunja watu mbavu BIG UP MAJUTO


FID Q AKIWA KWENYE MATEMBEZI YAKE INCHINI MAREKANI

Msaniii mashuhuri wa Mziki wa bongo fleva nchini Fid-Q Jamaa akiwa kwenye mizunguko yake nchini marekani... angalau kwasasa wasanii wa Tanzaniaiwameanza kufaidika na kazi zao... ziara ya fid q ilionekana kuwa na mafanikio na kukutana na wasanii tofaut tofaut akiwemo mtumzima Fat Joe' kwahabari zaid endelea kutembelea blog yetu.... Top Talent dio habari ya mjini



Saturday 13 April 2013

LOVE FOR EVER NO MATTER DEAD IS PRESENT.

The boy is trying to wake his dead mom.
I just cant stand this photo,tears always form in my eyes when i look at this pic.
"May God give this kid food, clothing,
shelter and Education" write Amen if You care,
don't continue without typing Amen
pliz
SHARE SHARE SHARE SHARE

GARY wa MARA CLARA

Jina kamili: Jhong Hilario
Virgilio Hilario Jr.
a.k.a Sample King
kazaliwa August 11, 1976 (age 36)
Makati City , Philippines
Funi/Kazi: Actor , dancer
kaanza udencer tangu1993–(mpaka sasa)
kazi ya kuigiza kaanza 1996–(mpaka sasa)
ni dencer wa kundi la Streetboys huko Philippines.
hizi ni baadhi ya muvi zake:
Muro Ami, iliyotoka mwaka 1999,
Butong; D' Anothers (2005), Dekada '70 (2002)
Hizi ni baadhi ya Muvi alizowahi kushiriki;
1999–2001
Rio Del Mar
Maynila
2000–2001
GMA Telesine Specials
Maalaala Mo Kaya: Wedding Cake
2002–03
Kay Tagal Kang Hinintay
2003–04
Basta't Kasama Kita
2004
Spirits
2006
U Can Dance
Penduko
Ka Edgar
Big Boy
2007
Rex Ferrer
2008
Kung Fu Kids
2009
Romualdo "Lolong" Rubi
2010
Showtime
Tayo'y Magkakalayo
Jason/Agustin
Agimat:
Tonyong
Bayawak
Nitoy
Teen Clash 2010
2010–2011
Mara Clara
na nyinginezoo nyingi

hiyo ndio profile ya actor wetu wa leo
(Next ungependa awe nani?)

GARY wa MARA CLARA read about him


Jina kamili: Jhong Hilario
Virgilio Hilario Jr.
a.k.a Sample King
kazaliwa August 11, 1976 (age 36)
Makati City , Philippines
Funi/Kazi: Actor , dancer
kaanza udencer tangu1993–(mpaka sasa)
kazi ya kuigiza kaanza 1996–(mpaka sasa)
ni dencer wa kundi la Streetboys huko Philippines.
hizi ni baadhi ya muvi zake:
Muro Ami, iliyotoka mwaka 1999,
Butong; D' Anothers (2005), Dekada '70 (2002)
Hizi ni baadhi ya Muvi alizowahi kushiriki;
1999–2001
Rio Del Mar
Maynila
2000–2001
GMA Telesine Specials
Maalaala Mo Kaya: Wedding Cake
2002–03
Kay Tagal Kang Hinintay
2003–04
Basta't Kasama Kita
2004
Spirits
2006
U Can Dance
Penduko
Ka Edgar
Big Boy
2007
Rex Ferrer
2008
Kung Fu Kids
2009
Romualdo "Lolong" Rubi
2010
Showtime
Tayo'y Magkakalayo
Jason/Agustin
Agimat:
Tonyong
Bayawak
Nitoy
Teen Clash 2010
2010–2011
Mara Clara
na nyinginezoo nyingi

sister marry yapigwa stop MAPADRI WAJAJUU "ray vipi kaka?"







IBRA is simple handsome and goodlookin guy.


Friday 12 April 2013

KABABU WALTER MREMA AZIDI KUTUPIA TATOO MWILINI CHEZEA WALTER

wasanii kumuenzi kanumba



WASANII wa filamu Tanzania wapo katika harakati za mwisho wa mchakato wao katika maandalizi ya kumuenzi marehemu Steven Kanumba, ikiwa ni moja ya jambo walilokusudia kuhakikisha wanamuenzi na kuthamini mchango aliouacha kwenye tasnia ya filamu

Akizungumzia maandalizi hayo jijini Dar es Salaam rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba alisema kuwa baadhi ya maandalizi yameanza kwa ajili ya kumuenzi marehemu Kanumba, huku wakishirikiana na familia ya marehemu ili kuweka mipango ya nini kifanyike katika harakati za kutimiza lengo

Alisema kuwa lengo lao lazima litimie kwa sababu walikusudia kufanya kitu kwa ajili ya kumuenzi marehemu kutokana na mchango wake aliouacha kwenye filamu na ili kudhihirisha hilo wanaamua kumenzi katika hali ya kiupekee

"Lazima tufanye kitu cha tofauti katika kumuenzi marehemu na ili tuonyeshe upendo wetu lazima tuheshimu kile alichokiacha kwa kuendeleza" alisema Mwakifwamba

Aliongozea kuwa muda ukifika na maazimio yakipitishwa ndipo ataweka wazi ni jambo gani lililokusudiwa kufanyika

Marehemu Steven Kanumba amefariki april 7 mwaka 2012 ambapo chanzo cha kifo chake kinadaiwa kuwa ni ugomvi wa mapenzi, na aliyekuwa mpenzi wake msanii mwenzie wa filamu  Lulu

RAYUU AMJIBU SINTA

Inaonekana bifu kati ya mastaa, warembo Rayuu Alice Bagenzi na Sintah haijafa bado. Jana Rayuu amemchana tena Sintah kupitia Facebook. Alichosema kipo hapo chini, lakini kitu ambacho nimeona very interesting, ni tofauti ya comments kati ya wanawake na wanaume.

Wanawake, karibu asilimia mia, wanamsapoti au kumshabikia Rayuu. Wanaume karibu wote aidha wako neutral au wamemshukia Rayuu. Nadhani kuna mwanaume mmoja au wawili tu ambao wameshabikia. Nimegawanya na kuambatanisha baadhi ya “typical” comments za wanawake kwanza, halafu za wanaume zinafuatia chini yake. Zicheki hapo chini. Unadhani hii tofauti ya mwitikio kati ya wanawake na wanaume inatokana na nini?
Alichosema Rayuu:
“kujibishana na nani vile anaitwa ….. gyz nisaidieni aliimbwa sn na nature cz alichoka nakujiuza kwake:nani anaitwa jamani cz me niliwahi mona mara1 masenze akiwa bsy kusimamisha magari;ss cjui alikuwa anafanya nn!ali maarufu kama bibi kizee anaye tafuta umaarufu kupitia migongo ya wenzie!ss sikia kizee dida anakutafuta na akikupata ……???ndo utajua kuwa ww ni kibibi umri umepita!!wateja wako wanasema.acha kuvaa matako ya bandia!!(kubishana na ww ni sawa nakubishana na bibi yangu!!)na koma kusema mm rafiki yako!!”
rayuu-alice-bagenzi
Baadhi ya comments za wanawake:
“Ha ha ha best duh eti ye kila cku ana miaka 18 lol”
“kazi nkufatilia ya watu kuunda ushoga na wototo wadogo kaanza kwa wema kashindwa mara joket mara wolper heee wa wapi bibi sauda mwilima shoga ake haruc yake alipambwa kama jini na ailivyojichubua sasa kwenda kumponda kwenye blog na kipindi chake cha haruc eti aliempamba aunt ka?mpamba vibaya yee mbona hakupambwa vizur akatulia kwenye ndoa zake maana kama haruc kafanya mbili cjui na mtoto mkubwa wa kiume anae anaachakuwaza atamsomeshaje anaangaika kununua matako mpxiuuuuuu”
Hii kutoka kwa Rayuu mwenyewe: “hahahahah matako ananunua lkn bado flat!!alafu nahisi c mzm yule!”
“Hihihhhihihi mpk raha eti jLo khaaa zake zshapita aclazimishe kurudi tena” na nyingine nyingi tu za aina hiyo. Angalia screenshot hapa chini.
rayuu-wanawake
Baadhi ya comments za wanaume:
“Bongo bana eti ndo ma celeb hawa ….. pumbavu think u got nothing to do …. all you hv inside of your hds is fuckin shits …. mnaboa kwa kweli …. mna andika ujinga tu ….. na we rayu kama umeudhiwa saaaaaana bora mgemalizana hukohuko si haya tuhusu. wadogo zenu wanasoma upumbafu wenu mnaoandika…. embu elimikeni kidogo …..!
i thought you were a lady kumbe hamnazo. a lady shes listen en do her own things privatly sio kama hivi …. kudadeki ningekuwa na uwezo ningewachapa nyoooote cos mnatutia aibu.”
“wy masuper star bongo mnadhalilishana sana badilikeni bana fichianeni aibu saidianeni kama alivyofanya Wema kwa Kajala.” Angalia screenshot hapa chini kwa comments zaidi za wanaume.
rayuu-wanaume
Mtazamo wako? Funguka!

SINTA AMEFUNGUKA JUU YA RAYUU

Baada ya muigizaji wa filamu na video model Alice Bagenzi AKA Rayuu kupiga picha za kuonyesha tattoo zake, mtangazaji wa kipindi cha Harusini cha DTV, Sinta, ambaye inaonekana hakupenda kitendo hicho, kutokana na picha hizo kuwa za “utata” amemchana Rayuu kwenye website yake, sintah.com.

“Hivi mtasema mimi namuonea kuandika hivi ama?? mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia kwakweli waigizaji wengine wanatafuta umaarufu kwa kasi sana,sasa huyu so called msanii wa Bongo wa filamu anataka atoke,na ameshatoka sasa,una pose upigwe picha ili watu wakuone ktk mitandao ili iweje? kama sio kutaka umaarufu kunuka,” ameandika Sinta.
“Rayuu or whatever u call ya self wewe ni msichana mzuri kwanini unakimbizana na umaarufu ?waacha umaarufu ukufuate sio wewe uu kimbize ndio maana watu wanawachukulia cheap kwasababu ya matendo yenu ya kukurupuka na upungufu wa mawazo. You wanna be rihhana sio? shame on you!!!!!!!!!!!!!!!!!!”
Rayuu, ambaye ameigiza kwenye filamu kama The Image, Trinita Show, Sound of Death, One House n.k, amefunguka na kutoa kauli yake kuhusu alichosema Sintah. Kwenye ukurasa wake wa facebook, Rayuu ameandika:
“Sintah dn talk on tings ambazo hujui zilipo anzia u were supposed to ask coz u dn evn knw wea da pic came from besides kwan mgongo ni uchi or tatoo ni uchi i may nat speak may b bcz i dn c da reason ya mm kupoteza pumzi yangu on smthng ambacho kimesababishwa na mtu mmoja and kwann usinge nifata personal if u really want to correct me!pics za uchi mnaziacha hiyo tatoo imekuwa gumzo! Having tattoos on ma body s nat a crime anyway!na pia mgongo c uchi!”
“B4 Kumsafisha mwenzako make sure upo msafi na ww!!” Aliongeza. (picha/screenshot chini)
Rayuu akionyesha tattoo zake. Picha via dartalk.com Rayuu akionyesha tattoo zake
Rayuu Sintah

KAJALA HOT IN TOWN IN HER PARTY BY WEMA

Picha za Party ya kumkaribisha Kajala uraiani, iliyofanyika at Ambassador Lounge. Mastaa na warembo mbalimbali kama DJ Fetty, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu (of course) na wenginge. Zifuatazo ni picha za shughuli hiyo na link ya picha zaidi. Wema, Kajala & friend wakipozi kwa picha
Wema, Kajala & friend wakipozi kwa picha

wema-kajala-0

wema-kajala-2
Wema akimmiminia Aunt Ezekiel kinywaji
Wema akimmiminia Aunt Ezekiel kinywaji

KAJALA AMUUA KUJICHORA JINA LA WEMA KUONYESHA APRICIATION KWA ALICHO MFANYIA.....


New photos: Kajala achora tattoo ya jina la “Wema” begani
Msanii wa Bongo movie ambaye hivi karibuni alinusurika kwenda jela baada ya Wema Sepetu kumlipia faini ya TShs milioni 13, amechora tattoo ya jina la “Wema” begani kama mojawapo ya njia za kuonyesha shukrani kwa alichofanyiwa na msanii mwenzie huyo.

Wema ame-post picha mpya kadhaa za Kajala @Instagram, ambapo mojawapo inaonyesha tattoo hiyo, picha ambayo Wema ameambatanisha caption ifuatayo:  ”Me corazon…. she calls me her hero…. I sooo much appreciate her… my frend, my sister.. im happy… #pureheart….. nothing but a pure heart…” Kwa hili nakubaliana na Sintah, “mthamini anayekuthamini.”
kajala
kajala
Wema na Kajala
Wema na Kajala
Kajala akionyesha tattoo yake mpya ya "Wema"
Kajala akionyesha tattoo yake mpya ya “Wema”

LIVE BILA CHENGA

KAMA VIPI UNGEICHUNIA HIYO CHUPI! YAANI UNAVAA WEWE AIBU NAONA MIE... AIBU HII UTAWEKA WAPI USO WAKO DADA?

Na Mwandishi Wetu

KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, wiki iliyopita Ijumaa liliendelea na Operesheni Fichua Maovu kwa kuzunguka jijini Dar usiku wa manane na kunasa tukio la mke wa mtu akifanya uzinzi ndani ya gari.
Hapo nani anavuta hilo kaptula tena? dada nae chupi ipo magotini.. watu wabayaaaa

Huyu mpiga picha hafai, hapa sijui alikaa wapiti akapata picha hii....


Sura zenu zimekuwa ndogooooooo, sasa nauliza, nyie ni wapenzi au mnaibiana? yaani kila mtu ana wake? UKIMWI utaisha kweli


Waandishi wa Global mko juu.. Big up, vipi lakini, walikuwa na zana?(kinga)

Ni afadhali ungeichunia hiyo chupi... dooooh! unavaa wewe huku naona haya mie... 
Hapo ndo mmejificha? poleni sana jamaneni, mkome fyuuuuuuuu