Friday 28 February 2014

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZA KUTISHA, ALIYE NA UJASIRI TU NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18 ANASTAHILI KUANGALIA. ZINATISHA NARUDIA ZINATISHA


http://3.bp.blogspot.com/-mRd4TXm5QRk/Uw902AcGAjI/AAAAAAAADrU/0urEa58Ztzg/s1600/aa.png

http://3.bp.blogspot.com/-1scrNNL0v8E/Uw901Nayc1I/AAAAAAAADrI/CaSf70iv3z8/s1600/aaa.pnghttp://3.bp.blogspot.com/-Bsi9qHJJn5c/Uw900U3jxyI/AAAAAAAADrE/ESCJyrqFsI4/s1600/aaaa.pngMauti ya kikatili ya mama anayedaiwa kuwa ni mzazi wa diwani wa viti maalu wa Bukumbi huko wilaya ya Uyui mkoani Tabora yametokea jana tar. 26.02.2014. Kwa mujibu wa chanzo chetu kikiwasiliana na aloyson.com imedaiwa kuwa polisi wanaendelea na uchunguzi wa chanzo cha kifo hicho cha kuvamiwa mwanamke huyo na watu wasiofahamika.

soma hapa kwa maelezo zaidi ALOYSON.COM

Benki ya Dunia 'yabana' msaada kwa UG


Wafadhili wakatiza misaada Uganda
Benki ya dunia imebana msaada wa dola milioni 90 kwa Uganda , siku chache tu baada ya Rais Yoweri Museveni kuishinisha sheriua mpya dhidi ya mapenzi ya jinsia moja.
Benki hiyo imesema kuwa inataka kufanya tathmini yake kuhakikisha kuwa malengo yake ya maendeleo nchini Uganda katika sekta ya afya, ambayo msaada huo ulikuwa unanuiwa, hayataathirika .
Sheria iliyoidhinishwa na Rais Yoweri Museveni, ilitiwa saini Jumatatu na inatoa adhabu kali kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.
Wafadhili wengine tayari wameanza kusitisha misaada Uganda. Wahisani kama Denmark na Norway wamesema kuwa wataanza kufadhili mashirika moja kwa moja badala ya serikali.
Aslimia 20% ya bajeti ya Uganda inategemea michango ya wafadhili.
Mpaka sasa nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa mamilioni ya dola.
Wizara ya fedha ya Uganda imesema inasubiri mawasiliano rasmi ya nchi husika, na iko tayari kukabiliana na athari za hatua hiyo.
Hadi kufikia sasa Waziri wa Fedha Wa Sweden, akiwa mjini Kampala, alisema waekezaji kutoka nchi yake watakuwa na wakati mgumu kuweka pesa zao nchini Uganda kwa sababu watakuwa na hofu kuwa sheria yo yote inaweza kupitishwa kuwadhulumu watu.
Jana serikali ya Uholanzi ilisema itazuia kwa muda misaada kwa Serikali ya Uganda. Norway na Denmark pia zimetangaza kupunguza au kusimamisha kwa muda misaada yake kwa Uganda.

Thursday 27 February 2014

MUAANDAJI WA FILAMU STEVE KHALFAN SUNDAY ANENA NA WADAU WA FILAMU HASA DODOMA soma hapa alichokisema

Sunday Khalfan
""HABAR ZA MUDA WAPENDWA.NINACHAKUZUNGUMZA HAPA,KWA KUWA SINA No.ZA SIM ZA WASANII NA WAZALISHAJI(Producers) NIMESHNDWA KUWAFIKIA WOTE,LAKN HAPA FB NAJUA WENG MPO NA NI RAFIK ZANGU.
UJUMBE WANGU::
Ninawaheshmu sana wasanii wa filamu na wazalishaj na wadau wote (HUSUSAN MKOA WA DODOMA).
Jaman kwan mtu kuamua kupiga hatua ya kujisimamia mwenyewe katika kaz ni makosa? Mm sikufundishwa kumtegemea mtu katika maisha yangu ya kila siku. Sasa unapokaa na mtu na kuambiwa kuwa siwapend wasanii wa filamu Dodoma na wazalishaj(PRODUCERS) kuwa nazungumza hakuna anayenizid mm,maana yako n ip hasa? Katika matukio yote muhmu ya wasanii wa FĂ­lam nimekuwa nikihudhuria na kushilikiana vyema na wasanii. Wazalishaj wa filam tumekuwa tukikutana vzur tu na kupanga mipango ya kisanaa mkoa wa Dodoma.
Aisee najua watu wanakuamin sana kwa utash wako na utu uzima wako,lakn kama mtu akikaa na wew kwa muda atakuelewa vzur.
Wasanii na Wazalishaj wa Dodoma mm niko pamoja na nyiny huyu anayeleta chokochoko zake tayar ana maisha na Familia. Sis bdo vjana na tunatafuta,so plz bdo mkoa haujakua kisanaa haina haja ya kupishana hv.
Mm bdo nipo Dodoma na ninaendelea na kaz yangu ya kuandaa filam,Huyo anayesema nimeacha kwa kuwa hanion anawadanganya.

Nawaheshmu na ninawapenda sana.
***************GUD DAY***************    
ALINENA HAYO KUPITIA UKARASA WAKE WA FACEBOOK

Wednesday 26 February 2014

Tuesday 25 February 2014

WEMA SEPETU AWACHIMBA MKWARA CLOUDS FM

UJUMBE WA WAZI KWENU UONGOZI WA CLOUD'S FM.
Hivi mnanitafuta kitu gani?mmenifatilia kwenye mziki mmeshindwa sasa naona mmeanza kufuatilia maisha yangu!?
Hata kama mafanikio ya maisha yangu yametokana na mikopo ya NATIONAL LOANS nyie inawahusu??Mnashangaa mini kukopa mikopo katika Taasisi ya NATIONAL LOANS Kwani mimi nani mpaka nisikope?Matajiri wangapi wakubwa duniani wamefanikiwa kupitia mikopo hamjawaona?Mpaka mje kuniongelea mtu kama mimi.kwa Taarifa yenu mkae mkijua hizo fitina mnazotengeneza zitawarudi wenyewe na kama mlikuwa hamjui nimejiunga na Taasisi ya Marekani ILa kwa Hapa Tanzania Matawi Yao yanapatikana BARCLAYS BANK.Kwa sababu wanatoa mikopo nafuu na isiyokuwa na RIBA Jaza fomu utapewa mkopo ndani ya DAKIKA 45.Hata kama upo mkoani utatumiwa mkopo Wako ndani ya DAKIKA 45.Napenda mafanikio Mema kwa watanzania bila ubaguzi wowote.Sio kukaa mnajadili watu wa CLOUD'S FM,Kwa yeyote niliyemuudhi kwa haya maneno makali naomba anisamehe sana,kwa mawasiliano zaidi piga namba 0715552098 na 0762764322 na 0784492321.Jiunge na upate mkopo Wako BOFYA HAPA http://National-Loans.wapka.mobi

Monday 24 February 2014

Mapenzi ya jinsia moja haramu Uganda


Moses mwanamume anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja atafuta hifadhi nchini Marekani
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini mswada wenye utata unaotoa adhabu kali kwa watakaopatikana wakishiriki mapenzi ya jinsia moja.
Rais Museveni alitia saini mswada huo nyumbani kwake katika hafla iliyoshuhudiwa na maafisa wakuu wa serikali pamoja na wandishi wa habari.
Mswada huo ambao sasa utakuwa sheria, unatoa adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa wale watakaopatikana na hatia ya kuhusika na mapenzi ya jinsia moja.
Mswada huo pia umeharamisha wanaharakati kutangaza misimamo yao hadharani kuhusu au kuwasaidia wanapenzi wengine wa jisnai moja kujitangaza hadharani.
Adhabu hiyo pia itatolewa kwa wale wanaopatikana na hatia ya kuwahusisha watoto katika vitendo hivyo, walemavu au kumuambikiza mtu virusi vya Ukimwi katika mapenzi ya jinsia moja.
Mswada huo umepigiwa debe sana nchini Uganda, lakini mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameulaani.

Uganda imepuuzilia mbali shinikio za Marekani na nchi zengine za Magharibi kutopitisha sheria kali dhidi ya vitendo vya mapenzi ya jinsia moja.

Mswada huo umeweka sheria kali zaidi dhidi ya uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja kwa yeyote atakayepatikana akishiriki.
Usagaji pia umeharamishwa kwa mara ya kwanza na pia ni hatia kumsaidia mtu kushiriki mapenzi ya jinsia moja. Wanaharakati wa kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja wanasema wanajiandaa kwenda mahakamani kupinga sheria hiyo mpya.
Uganda ni miongoni mwa mataifa 30 Afrika ambayo yameharamisha mapenzi ya jinsia moja. Ni wiki jana tu ambapo Rais wa Gambia Yahyah Jammeh aliyesema mapenzi ya jinsia moja ni sumu kali mn

WE NIMJANJA NA UNAPENDA KUVAA V SHIRTS KWA AJILI YAKO soma hapa

kila size inapatikana toa order mapema utaletewa mzigo wako kwa jumla na reja reja kua mjanja kuvaa kitu kikali kutoka Anyalov African Wear

Sunday 23 February 2014

PICHA ZA YULE MTOTO ALIYECHINJWA NA USTADHI HUKO MBAGALA...!!




mwili wa marehemu mtoto Jamali aliechinjwa na ustadhi mbagala charambe mianzini













mwili wa marehem ustadhi mohamed kurangwa aliemchinja mtoto ukishushwa katika hospitali ya Temeke

baadhi ya familia wakiwa katika msiba


baadhi ya wakazi wakichungulia nyumba lililotokea tukio la mauaji ya kikatili












WHATSAPP YAWAOMBA MSAMAHA WATUMIAJI WAKE DUNIA NZIMA BAADA YA ISSUE YA FACEBOOK


WhatsApp Sorry For Outage After Facebook Deal

The messaging service experienced server issues for a few hours, upsetting users around the world.

Facebook WhatsApp
The purchase is the largest single acquisition in Facebook's history

WhatsAppSkype*WeChatViberBBMThe estimated number of monthly active users forselected instant messaging apps (in millions)010020030040050045030027010080
Source: Company data. * = connected users
Graph: WhatsApp's User Base Beats Rivals'
Enlarge

The WhatsApp instant messaging app has apologised to users after being unavailable for several hours on Saturday night.
WhatsApp, which has more than 450 million monthly users, said it was having "server issues".
The company suffered the outage just days after it was snapped up by Facebook for $19bn (£11.4bn).
The messaging service tweeted at 8.16pm UK time on Saturday: "We hope to be back up and recovered shortly."
Users reacted angrily, saying their chat conversations were only showing a loading asterisk and the alert "Connecting..."
Taylor ITWT16 said on Twitter: "As Soon As Facebook Buys Whatsapp, Whatsapp Starts Malfunctioning."
Jazzy Marwaha tweeted: "Its been like 4 hours, you would have thought they could sort whatsapp out by now."
By 10.30pm the service appeared to be working again.
The firm tweeted: "WhatsApp service has been restored. We are so sorry for the downtime."
Facebook announced last Thursday that it would pay $4bn (£2.4bn) in cash and $15bn (£9bn) in Facebook shares as part of the deal to buy the real-time messaging service.
The app's founders and employees will get $3bn (£1.8bn) of the shares as restricted stock that will vest over four years after the deal closes.
The purchase marks the largest single acquisition in Facebook's 10-year history.
WhatsApp will "continue to operate independently and retain its brand" despite the acquisition, Facebook said.
Founded by a Ukrainian immigrant who dropped out of college, Jan Koum, and a Stanford alumnus, Brian Acton, WhatsApp is a Silicon Valley startup fairytale.
The acquisition will also see Mr Koum - a former Yahoo! engineer - join Facebook's board of directors.
Facebook is known to make bold moves to thwart competitors - it famously bought Instagram for $1bn after a weekend of negotiations.
:: Watch Sky News live on television, on Sky channel 501, Virgin Media channel 602, Freeview channel 82 and Freesat channel 202.

Kuhusu Kuzimwa Kwa Mtandao Wa Mawasiliano Ya Ujumbe Mfupi Wa Simu WhatsApp


Baada ya mtandao wa mawasiliano ya ujumbe mfupi wa simu WhatsApp  kupata tatizo kwa masaa machache watumiaji wa mtandao huo wameingia kwenye mitandao tofauti na kuanza kulalamika kuhusu facebook kununua mtandao huo na kuamua kufunga huduma yake ili facebook itumike zaidi. Fahamu mmiliki wa facebook amelipia dola bilioni 19 kununua mtandao huu.
Kupitia twitter account ya whatsup walitoa taarifa kuwa walipata tatizo kubwa na wanafanya marekebisha na kuwa mtandao huo utarudi hewani baada ya muda mfupi.
Hizi ndio twit zao
Mambo haya yalianza kusamba kwenye mitandao kuhusu whatsup kuzimwa.
The following two tabs change content below.