Sunday 5 October 2014

Aibu! Serengeti Boy na mke wa kigogo wanaswa live gesti,mwenye mke apagawa…!!

KABAANG! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine (24), mkazi wa mtaa wa Kitangiri jijini Mwanza amenaswa ‘live’ gesti akiwa na mke wa kigogo mmoja (jina kapuni), aitwaye Mwanaidi wakijiandaa kuvunja amri ya sita.
Baada ya fumanizi kati ya Serengeti boy aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine na mke wa kogogo.
Baada ya fumanizi kati ya Serengeti boy aliyefahamika kwa jina la Marck Costantine na mke wa kogogo.
Tukio hilo lilijiri Septemba 18, mwaka huu kwenye gesti moja maarufu iliyoko mitaa ya Kitangiri baada ya kigogo huyo kupewa ‘ubuyu’ kwamba anaibiwa mali yake ndipo akaandaa mtego na kufanikiwa kumnasa kijana huyo alipokutwa kwenye chumba namba 4 cha gesti hiyo akijiandaa kuserebuka.
“Kigogo alipopewa mchoro huo na wambea, siku ya tukio alimshtua Mwenyekiti wa Mtaa wa Kitangiri, Maginga Patroba, wakatia timu katika gesti hiyo, wakawakuta wachepukaji hao wakiwa kitandani huku Marck akiwa tayari ameshachojoa nguo, Mwanaidi akiwa bado,” kilisema chanzo chetu na kuongeza:
Akisainishwa kulipishwa faini.
Akisainishwa kulipishwa faini.
“Kigogo aliamuru wahudumu wagonge mlango ili wahusika wasishtuke, walipofungua ndipo mwenyekiti sabamba na kigogo huyo wakazama ndani.”
Mwanaidi alipoona flashi za kamera ya mapaparazi zikiwamulika, alianza kuangua kilio mbele ya mumewe kumuomba awasamehe lakini kigogo huyo alimtaka kijana huyo amlipe fidia ya shilingi milioni moja kama adhabu ya kutembea na mke wake.
Kutokana na hali ya uchumi ya kijana huyo kutokuwa nzuri, hakuweza kulipa kiasi hicho cha pesa badala yake aliomba kupewa muda wa kulipa pesa hizo.
Barua ya makubaliano ya kulipwa pesa kwa kigogo huyo shilingi laki tano.
Barua ya makubaliano ya kulipwa pesa kwa kigogo huyo shilingi laki tano.
Chini ya uangalizi wa mwenyekiti, Marck aliandika barua ya makubaliano jinsi ya kulipwa kwa kiasi hicho cha pesa kwa kigogo huyo na iwe kama fundisho kwake kuachana na tabia za kutembea na wake za watu.
Kwa upande mwingine, mwenyekiti Patroba alikiri kumfahamu Marck na kudai ni kijana wa mtaani kwake na kumuonya asirudie mchezo huo mchafu.
Mke huyo wa Kigogo aliyefahamika kwa jina moja la Mwanaidi akiwa analia akiomba msamaha kwa mumewe.
Mke huyo wa Kigogo aliyefahamika kwa jina moja la Mwanaidi akiwa analia akiomba msamaha kwa mumewe.
“Namfahamu huyu kijana nimeshangazwa na kitendo hiki anachokifanya kwani ni vitendo ambavyo havikubaliki katika jamii hivyo kama kiongozi wa mtaa huu nitaendelea kutoa ushirikiano ili kuukomesha tabia kama hizi za kuvunja miji ya watu,’’ alisema Patroba.

18+ mrembo Brenda Nambi aumbuka baada ya picha zake za utupu kuvuja.

Leo  nilikuwa  Uganda  na  ninaomba nikupekulie  nilichokutana   nacho  huko....
  
Katika  pita pita  zangu  nimekutana  na  picha  za  utupu  za  msanii  maarufu  nchini  humo  Brenda  Nambi  ambazo  kwa  Uganda  ndo  habari  ya  mjini  kwa  sasa.....
Brenda  kwa  Bongo  ni  kama  Madam  Wema  Sepetu, nadhani  unaweza  pata  picha  sasa!



AIBU: MKE WA KIONGOZI AKIMBIA MTAA BAADA YA PICHA ZAKE ZA UC*H*I ZIMEBANDIKWA KWENYE ZA UMEME


 
Aibu ya mwaka imemkuta huyu mama baada ya picha zake kubandikwa kwenye guzo za umeme,wamefanya hivi kutoka kana na tabia mbaya ya huyu mama kugawa uroda kwa vijana wadogo

HONGEAR HASHIM RAMSEY (HASHIM KAMBI) KWA KUFUNGA NDOA

Alhamdulilah! Mungu mkubwa, asanteni kwa Dua zoote njema kwangu. Na mimi sasa ni MUME wa mtu.

KUTANA NA BINTI MWENYE MAKALIO MAKUBWA ZAIDI KUTOKA MOMBASA...HUYU HAPA jeynel-dorothy-1


jeynel-dorothy-1
Anajulikana kwa jina la Jey’nel Dorothy ni msichana mzuri sana kutoka Kenya ambaye kwa sasa anaiteka social Media hasa Instagram kwa kutupia picha zake baadhi hizi hapa..



jeynel-dorothy-2


jeynel-dorothy-3




jeynel-dorothy-4


jeynel-dorothy-6


jeynel-dorothy-5


AIBUUU: ONA VIDEO YA MWANAFUNZI WA SEKONDARI AKILIWA NA MWALIMU WAKE GESTI

Wakati wanafunzi wengine wanaumizaa akili zao kuwa ni kwa namna gani watatimiza ndoto zao za kufaulu mitihani vizuri, wengine bila haya wanazunguka magesti na wazee, hasa waalimu wao!

Hii ni aibu kubwa sana na ndio maana tunaona siyo vyema sana tukataja jina la mwanafunzi huyu pamoja na mwalimu wake au shule yao kwa maana inaweza ikajenga picha mbaya zaidi.

Chanzo cha udaku huu kinasema kuwa mwanafunzi huyu alitoroka shuleni na kuingia gesti na mwalimu wake.  Kilichowajulisha watu kuwa alikuwa ni denti, ni yeye kukimbia CHUPI MKONONI kwa uoga kutoka ndani ya chumba hicho na kuelekea risepsheni kutokana na kuona ududu wa mwaimu wake ni mkubwa mno na hivyo ungeweza kumchanachana vibaya!

Alipoingia hapo gesti alikuwa kavalia shati juu ya hiyo tisheti na ndiyo sababu kubwa kuwa hakugundulika kuwa ni denti!!!!!!