Saturday 29 June 2013

WEMA KUBURUZWA MAHAKAMANI KWA KUTIRIRISHA MAJI MACHAFU MTAANI...!!



MKURUGENZI wa Kampuni ya Filamu ya Endless Fame, Wema Sepetu hivi karibuni amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya majirani zake kumshitaki kwenye serikali ya mtaa kufuatia tabia ya wafanyakazi wake kutiririsha maji machafu mtaani.  

Taarifa iliyolifikia gazeti hili inadai kuwa, majirani wa Wema katika eneo analoishi, Kijitonyama jijini Dar wamekuwa wakimlalamikia msanii huyo kwa kitendo hicho lakini imeonekana uvumilivu umewashinda. “Mara kwa mara wafanyakazi wake wamekuwa wakitiririsha maji hapa mtaani sasa leo tumeona tukamshitaki serikali za mitaa ili sheria ichukue mkondo wake,” alisema mmoja wa majirani wa staa huyo aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini. 

  Juni 26, mwaka huu Ijumaa lilifika kwenye nyumbani kwa Wema na kushuhudia maji yakitoka kisha kuzagaa mtaani na muda mfupi baadaye alifika Afisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho (jina halikufahamika mara moja) ambaye aligonga kwenye nyumba ya Wema, baada ya muda alitoka binti wa kazi aitwaye Bite. 

Katika mazungumzo yao, Bite alionekana kujitetea lakini baadaye ilibainika wana makosa na akatakiwa kwenda ofisi za kata kwa maelezo zaidi. Amri hiyo ilionekana kuwa ngumu kwa Bite na wafanyakazi wenzake ambapo busara zilitumika na kiongozi huyo wa serikali akataka walipe faini na kuwaonya waache tabia hiyo.
 

Kufuatia hatua hiyo, Bite aliingia ndani (inadaiwa alikwenda kumtonya Wema) ndipo alipotoka akiwa na fedha ambazo Ijumaa halikujua ni kiasi gani, wakasainishana (angalia picha ukurasa wa pili)kisha mchezo ukaishia hapo. 


Jitihada za kumpata Wema kuzungumzia sakata hilo ziligonga  mwamba kutokana na msanii huyo kutopokea simu na hata mwandishi alipofika nyumbani kwake aliambiwa hayupo.

PICHA 2 ZA ''OMMY DIMPOZ'' ZINAZOFAFANUA KAULI YA KUMKASHIFU MAREHEMU ALBERT MANGWEA.


 PICHANI Ni msanii ''Ommy Dimpoz'' Akilia jukwaani katika shindano la Miss Tabora Baada ya kupata taarifa za msiba wa marehemu Albert Mangwair kitu ambacho mpaka sasa baadhi ya mashabiki wa
Ommy Dimpoz wanakanusha kwamba haiwezekani Ommy amkashifu marehemu mangair habari hizi huwenda zikawa za wongo Aidha mwandishi alieandika habari hio hakumuelewa Ommy Dimpoz katika matamshi yao wakati mahojiano.

 Ommy Dimpoz akiimba kwa uzuni, Yani Kwa ufupi Show hii haikumuendea sawa..

EBWANAEEEEEEE!!!!! WEMA SEPETU NOMAAAA!!! SASA KWA WATANGAZAJI! MCHEKI MPENZI WAKE WA SASA FULU KUJIACHIA!!!

Siri Imefichuka.Tazama Picha ya Wema Sepetu Alivyofumaniwa Akiwa Anatomaswa Live na huyu jamaa ambaye inasemakana ndio Mpenzi Wake Siku Hizi.Huyu ni
Raheem Mtangazaji wa Times fm
ambaye pia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar-Es Salaam.Mhhhhhhhhhhh!! Kazi kwako Wema yetu macho.


Thursday 27 June 2013

BAADA YA OMMY DIMPOZI KUPIGWA NA CHUPA NA MAWE DODOMA ,HATIMAYE AFUNGUKA SOMA ALICHOANDIKA HAPA


 Haya ndio aliyoandika Ommy Dimpoz :

VIDEO ZA MSHIRIKI WA TANZANIA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

Mshiriki wa  kiume   wa  Tanzania, Nando  ametutia  aibu  baada  ya  uvumilivu  kumshinda  na  kuamua  kufanya  tendo la  ngono  hadharani  akiwa  katika  jumba  la  big  brother....

Kamera  za  BBA zinamuonesha  wazi  Nando  akikata  mauno  kwa  mwanadada  Selly wa  Ghana  mithili  ya  mtu  ambaye  hajawahi  fanya  tendo  hilo  kwa  miaka  200  iliyopita

FEZA KESSY KUMJIBU NANDO KWA KUVUNJA AMRI YA SITA NDANI YA BBA


baada ya nando na selly kuvunja amri ya 6 mjengoni swali linakuja jeeeeee, Feza nae atavunja amri ya sita na o'neal????? maana inasemekana yupo kwenye penzi zito na O'neal wa Botswana, kafa kaoza na haskiii wala haoni, wanalala kitanda kimoja na kuamka wote, ma'denda' na ma hugs kwa sana mweeee!!!! sie ye2 machooo!!!! maana kwa nando mnachekelea je kwa feza mtachekelea ivoivooo????

Digger arrives at Mandela gravesite


The gravesite for the Mandela family. (Carl de Souza, AFP)
The gravesite for the Mandela family. (Carl de Souza, AFP)
Mthatha - Two hours after Mandela family members and government officials met at the family home in Qunu, a machine digger arrived at what is believed to be the planned grave site of Nelson Mandela.

Tuesday was a day of heightened activity after the world started preparing to take its leave of the 94-year-old, reported Beeld.

There was increased activity not only in Qunu but also at the Pretoria hospital where Madiba has been receiving treatment and at his former home in Vilakazi Street, Soweto.

On Tuesday, Mandela family representatives, local clan leaders and national government officials landed at Mthatha airport and met at the Mandela home for two hours before leaving again for Mthatha.

 Among them were Public Service and Administration Minister Lindiwe Sisulu and UDM leader Bantu Holomisa, who is said to be involved closely in the funeral arrangements.

After the meeting, Madiba’s grandson, Ndaba Mandela, then went to inspect the gravesite. The digger arrived about two hours later and was delivered by a truck. It has been parked about 150m from the gravesite.

Chief Mfundo Mtirara, who is related to Madiba, and is the headman of the Matyenenqgina near Qunu, said the family meeting was about “very sensitive issues” and the contents of the discussions were only meant for family.

Wednesday 26 June 2013

PICHA:HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA BANDARI YA ZANZIBAR

Hii ni hatua nzuri ya maendeleo kwa nchi nzima....ukiangalia kwa
umakini picha hizi kwa ghafla
unaweza usiamini kama ni zanzibar labda baadhi ya muonekano wa
juu utagundua ndio kisiwani zanzibar...
Maendeleo yaliyokuwepo kwenye bandari hii ni makubwa sana
 ukilinganisha na Bandari ya zamani
ilivyokuwa inaonekana lakini kwa sasa ni kitu kingine,ukifika
bandarini hapo unaweza ukasahau
kama upo kisiwani hapo...!

Ni maendeleo makubwa kabisa kwa kisiwani zanzibar na ni
mfano wa kuigwa kokote pale kwa
hatua waliyopiga....
Zifuatazo Ni Picha za muonekano huo mpya wa Bandari ya kisiwani zanzibar....!!
Inasemekana Mmiliki wa Azam Ndugu Bakhresa ndio aliedhamini
mchakato mzima wa kutengenezwa kwa bandari hiyo...!!
PONGEZI KUBWA KWA ZANZIBAR



Muonekano kwa usiku kwenye geti la kutokea bandarini hapo...!!


Sehemu ya ndani kwenye mapokezi....!!










Sunday 16 June 2013

HIZI NDIO PICHA ZA DADA ALIYEAMUA KUVUA NGUO HADHARANI NA KUBAKI UCHI BAADA YA KUZIDISHA POMBE HUKO MBAGALA ZAKHEIM...!!

DADA mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu walikuwa kwenye baa moja hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote na kubaki uchi wa mnyama na hivyo kusababusha hali ya taharuki katika maeneo hayo.







Chanzo chetu zha karibu kinadai ya kuwa dada huyo alifika maeneo hayo akiwa vizuri kabisa na hali hiyo ambayo ilionekana kuwa si ya kawaida ilianza pale alipoanza kuzitiririssha bia nyingi mno ambazo alikuwa akihongwa na vijana ambao alikuwa amekaa nao mezza moja..





Saturday 15 June 2013

JOH MAKINI ALAZWA SINZA PALESTINA ANAHITAJI MAOMBI YAKO

Rapper Joh Makini, yuko hospitali huku akiomba tumuombee na kusema yuko katika hali ya kawaida na si mbaya sana. Joh anadai malaria ni kali sana na anaendelea na sindano na drip. Like, Comment na share yako kumuombea ndugu yetu.

MATUSI KWA MANGWEA T.ID AMUAHIDI OMMY DIMPOZ KUMCHAPA MAKONDE KAMA MTOTO

Hawa watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu Albert wallahi mungu 
atamlaani.........mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.
"Hicho ndicho alochokiandika TID aka mnyama kwenye kupitia ukurasa wake wa facebook"

TEAM ANAcONDA YA JIDE YAFUNIKA, NYUMBANI LOUNGE YAFURIKA



ONYESHO la mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ kutimiza miaka 13 katika muziki, limefana usiku wa kuamkia leo katika eneo la maegesho ya magari kwenye ukumbi wa Nyumbani, Lounge, eneo la Kinondoni, Dar es Salaam kwa mamia kujitokeza kiasi cha kujaza eneo hilo, hadi kupishana ikawa taabu. Watoto wa mjini wanasema ilikuwa funika bovu- ndiyo shoo hiyo ilikuwa nzuri mno, ya kistaarabu, yenye mashamsham ya aina yake.
Jide akikumbatiana na Profesa Jay


Jay akipagawisha


Jay akisema na nyomi


Mzee Kitime akimpiga picha Komando Kalala wakati anaimba 


Komando Kalala na mkewe jukwaani


Msanii Mango Star na nyoka


Mango Star na nyoka

Wasanii nguli wa Hip hop waliomsindikiza Jadyee katika shoo hiyo, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Joseph Haule na Juma Nature na kundi lake wanaume Halisi nao walifanya mambo mazuri jukwaani kiasi cha kuiongezea utamu shoo hiyo. Kufika saa 3:00 usiku tayari Machozi Band inayomilikiwa na Jide ilikuwa jukwaani kuanza kutumbuiza kabla ya kumpisha rapa Wakazi kutoka Ukonga, baadaye bendi ya M ikiongozwa na Grace Matata kwa shoo za utangulizi. Saa 5:00 usiku, Jide akapanda jukwaani na kuibua shangwe nzito kutoka kwa mamia waliokuwa wamefurika katika eneo hilo. Jaydee alianza na wimbo wa Nilishakuwaga na Wangu, baadaye akaimba Nakuhitaji, Moto, Mambo Bado, Yeye, Malaika, Siri Yangu, Wanock Nok kisha kumalizia na Single Boy katika awamu ya kwanza. Baada ya hapo, Jide akasema ilipotimu Saa 6:00 usiku ameingia katika mwaka mpya tangu azaliwe hivyo mashabiki wakamuimbia ‘Happy Birth Day’ kisha akateremka kwenda kukumbatiana na mama yake mzazi, Martha Mbibo na kumpa zawadi ya fedha zote alizokuwa ametuzwa jukwaani. Jide alirejea jukwaani na kuimba kwa ufupi nyimbo alizowahi kurekodi na wasanii Man Ngwair na Langa Kileo ambao hivi sasa ni marehemu, kabla ya kumpisha Mh. Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu ambaye aliimba nyimbo tatu tu, lakini alisisimua mashabiki ile mbaya. Sugu alianza na Hakuna Matata akimshirikisha Mkoloni, Sugu na kumalizia na Mambo ya Fedha ambao ulimrejesha jukwaani Jide. Kutoka hapo, ikawadia zamu ya Wanaume Halisi kutoka Temeke, wakiongoza na Juma Kassim Kiroboto ‘Sir Nature’, ambao nao walifanya balaa vile vile na kuurusha umati ile mbaya.
Msanii M2 The P akizungumza jukwaani

KR Mulla
Jaydee na mama yake


Sir Nature


Nature na Doro
Sinta akimpiga picha Nature
Wakati Nature anaimba, mpenzi wake wa zamani Christine Manongi ‘Sinta’ alikuwa bize kumpiga picha ‘mzee’ wake wa kitambo, kiasi cha mmoja wa viongozi wa kundi hilo, Kiboya kupora kipaza sauti na kutamka Baba Sinta akimtania Nature, jambo ambalo liliwafanya watu washangilie.    Nature kabla ya kuanza kuimba alimpandisha jukwaani msanii M 2 P aliyezushiwa kifo wakati akiwa amelazwa Afrika Kusini sambamba na Man Ngwair. MP alisalimia na kushukuru kwa dua za Watanzania wakati akiwa taabani wadini, kwani zimemponya na akatumia fursa hiyo kumuombea swahiba wake Ngwair apumzishwe kwa amani peponi. Ndipo Wanaume wakaanza vitu vyao, wakipiga nyimbo za Sonia, Hakuna Kulala, Mzee wa Busara, Ladhia, Haipotei, Dance With Me na Jimwage.


Jaydee akikusanya fedha alizotuzwa


Anaziweka kwenye boksi kabla ya kweneda kumpa mama yake. Alyeshika boksi ni King Kiboya


TK wa M Band...


Maeneo kama haya Mh Sugu huwa si mkali...anajua kutabasamu


Rapa kutoka Ukonga


Alikuwepo...Mgaya Kingoba Mhariri wa Michezo gazeti la Habari Leo


Kutoka kulia Baraka Msilwa, Francis Kifukwe na mkewe

Wanaume walipoondoka akaibuka msanii mcheza ngoma za asili huku akichezea nyoka, Mango Star ambaye aliwaacha watu midomo wazi pale alipokuwa akimnyonya nyoka upande wa kichwani. Akafuatia mkongwe Komando Hamza Kelele ambaye kwanza alimpandisha mkewe, Stella John Momose Cheyo jukwaani kumtambulisha, kisha akaimba nyimbo na Tumetulia. Ikawadia zamu ya Profesa Jay, ambaye aliimba Joto Hasira pamoja la Lady Jaydee, baadaye, Teja, Yahya na Joto tena. Jaydee akateremka na kumuacha Jay amalizie shoo naye akamalizia vizuri kwa nyimbo za Hapo Vipi, Nikusaidiaje na Kamili Gado. Watu kadhaa waliofika Nyumbani Lounge kushuhudia shoo hiyo walilazimia kugeuka na kuondoka kwa sababu ukumbi ulikuwa ‘umejaa na hakuna pa kukanyaga’. Kwa ujumla shoo hiyo ilipendeza, ilikuwa bab kubwa.