sports

http://www.habarileo.co.tz/index.php/michezo-na-burudani/10932-ridhiwani-ateua-timu-ya-ujenzi-mafia
Kariakoo Lindi yapigwa 2-1: TIMU kongwe ya mjini Lindi, Kariakoo FC imeshindwa kutamba kwa vijana wadogo, Kusini Soka baada ya kutandikwa mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi ya Taifa ngazi ya Mkoa inayoendelea kwenye Uwanja wa Ilulu mjini hapa. http://tinyurl.com/caxlo75


FAHAMU ORODHA YA MAKOCHA WANAO SEMEKANA KUCHUKUA NAFASI YA ROBERTO MANCINI WA MAN CITY.
Posted Byanyalovforyou.blogspot.com On Sunday, April 21, 2013
Mmoja Ya Club Kubwa Uingereza Man City Wametaja Orodha Ya Makocha Wenye Vigezo Vya Kuchukua Nafasi Ya Roberto Mancini Kuwa Ni Diego Simeone Wa Atlentico Madrid, Carlo Ancelotti Wa PSG, Manuel Pellegrini Wa Malaga Na Jurgen Klopp Wa Borussia Dortmund.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhIMBcSvTgpjqxi1SZAebG0poqfGjbQp3D9MfT-6xLb2j3FGTugZGNcZtHbQkwl8wex4-amdZ8BZ3PP8zOcnl4Q_MXou6F1-k1tkPNMU_cbuzceuHZiY5HVX2YfpFNLanp44gJiK29imiU/s1600/DIEGO-SIMEONE-600x4002.jpg
Diego Simeone

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEix3XWXj7scIW0U1ZPdG1ZKZP34YDS33E0mYby4EOzskzSaFHSN8LCrUCUkUWQPNmzAkByARLt9_1d2jB6BHHXqT4cG3b-K1AynVxpIU3soBmLgbiSjI3U2C2u5fQE-W4RbvFK-I4dbP3w/s640/Carlo-Ancelotti.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4I-RipuYS0N26WwkNI1YenzGZWlEP749aLjrMpt5hyoRPCc7i3i54PF9T87J82Q5zcFwmmeehbApgLI2bNmLri8rbTz2zjBOE2vs_jnv37gZVbUIAzmMbopY5xhgytgmeBAeHwO59xI0/s640/manuel_pellegrinigreeneyses.jpgCarlo Ancelotti

Manuel Pellegrini

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDZHXXmLb5PTKWqF8J3QBNc-OCAEoqMQSPjt1PCxA5DV9MRdJMYqH5X8ZBP9n02C6Mt4dxXR5PyLJTqbXzqf7WuZXhxKw4LFEPBN7G0UcH29r8yaCaJHU0n_P4OEmkLWFLHeGenOkaOa8/s1600/jurgen_klopp_2173384b.jpg
Jurgen Klopp






#FAHAMU HATUA ILIYO CHUKULIWA NA LIVERPOOL JUA YA MAISHA YA LUIS SUAREZ KWENYE CLUB HIO

Fahamu Kwa sasa Club kutoka Uingereza Liverpool imeongeza spidi katika kuhakikisha inamuuza Mshambuliaj Luis Suarez Mapema kabla hajawaletea Aibu Tena. Luis Suarez alionekana akifanya kitendo kilicho tafsiriwa kama Kung'ata Mchezaji Mwenzake Wa Timu Mpinzani Ya Chelsea, Defender Branislav Ivanovic Wakati Wa Mechi Yao Iliyochezwa Jumapili. Walitoka Droo Ya Bao 2-2. 
Luis Amesema Amesha Ongea Na Branislav Na Kumuomba Msamaha Kwa Njia Ya Simu Na Mambo Yote Ni Sawa.
Kocha Wa LiverPool Amesema Kitendo Cha Luis Hakikubaliki Na Atachukua Hatua Dhidi Yake. 
Ivanovic Akishaanga Baada Ya Kung'ata Na Luis Suarez Jana.
Ivanovic Akimuonyesha Fefa Alama Kwenye Mkopno Wake Baada Ya Kung'ata

Sessegnon apigwa marufu mecchi tatu

 1 Mei, 2013 - Saa 16:30 GMT


Wachezaji wa Sunderland wakicheza na Aston Villa
Mshambulizi wa Sunderland Stephane Sessegnon, sasa atakosa mechi zote za ligi kuu ya Premier zilizosalia, baada ya jopo huru la shirikisho la mchezo wa soka nchini England, kufutilia mbali rufaa yake.
Sessegnon, alikuwa amekata rufaa kupinga kadi nyekundu aliyopewa wakati wa mechi yao na Aston Villa Jumatatu Usiku.
Refa wa mechi hiyo Lee Probert, alimpaa Sessegnon, kadi nyekundu moja kwa moja baada ya kumfanyia madhambi Yacouba Sylla katika kipindi cha pili cha mechi hiyo ambayo Aston Villa ilishinda kwa magoli sita kwa moja.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28, hatashiriki katika mechi za Sunderland zilizosalia msimu huu, dhidi ya Stoke City,Southampton na Tottenham, huku kocha wa klabu hiyo Paolo Di Canio, akiendelea juhudi za kuinusuru klabu hiyo kutokana na tishio la kushushwa daraja msimu ujao.


Deco taabani dawa za kuongeza nguvu

 1 Mei, 2013 - Saa 13:03 GMT

Deco
Deco aliyekuwa mchezaji wa Chelsea
Aliyekuwa mcheza kiungo wa Chelsea na wa timu ya taifa ya Ureno Deco amepatikana na hatia ya kutumia dawa za kusisimua misuli iliyoharamishwa ya diuretic furosemide, nchini Brazil.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35, alipatikana na hatia hiyo kufuati ushindi wa klabu ya Fluminense dhidi ya Boavista tarehe 30.
Dawa hiyo iliyopigwa marufuku ina uwezo wa kuficha dawa zingine za kusisimua misuli.
Hata hivyo mawakili wa mchezaji huyo wamesema tatizo hilo lilisababishwa na vitamini zilizoharibika.
Klabu ya Fluminense imesema haiwezi kusema lolote hadi matokeo ya uchunguzi zaidi yatakapotolewa siku ya Ijumaa.
Mchezaji huyo wa Ureno mzaliwa na Brazil, aliichezea Chelsea kwa muda wa miaka miwili kuanzia mwaka wa 2008 hadi 2010 na kucheza zaidi ya mechi 50.
Alishinda kombe la ligi kuu ya premier katika mwaka wake wa pili na Klabu ya Chelsea pamoja na mataji mawili ya kombe la FA mwaka wa 2009 na 2010.
Deco ni miongoni mwa wachezaji wachache ambao wamewahi kushinda kombe la klabu bingwa barani Ulaya akiwa na vilabu viwili tofauti Barcelona mwaka wa 2006 na FC Porto mwaka wa 2004.


Mourinho kuihama Real Madrid msimu ujao

 1 Mei, 2013 - Saa 09:36 GMT

Jose Morinho
Jose Morinho kocha wa Read Madrid
Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho, amesema huenda asiwe kocha wa klabu hiyo msimu ujao.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka hamsini, ambaye amewahi kuongoza Chelsea, siku ya Jumanne, alishuhudia vijana wake wakiondolewa kwenye nusu fainali ya michuano ya kuwania kombe la klabu bingwa barani Ulaya, licha ya kuilaza Borussia Dortmund ya Ujerumani, kwa magoli mawaili kwa yai.
Dortmund ilifuzu kwa fainali ya kombe hilo kwa jumla ya magoli manne kwa matatu.
Katika mechi ya raundi ya kwanza Dortmund, iliilaza Real Madrid kwa magoli manne kwa moja.
Kumekuwa ya ripoti kuwa kocha huyo kutoka Ureno, alikuwa akijiandaa kukihama klabu hiyo ya Real Madrid na kurejea nchini Uingereza.
Baada ya kumalizika kwa mechi hiyo ya jana Morinho alisema , anafahamu kuwa anapendwa na mashabiki na vilabu vingi nchini Uingereza.
Hata hivyo amesema atasalia hadi mwisho wa msimu huu kabla ya kuamua hatma yake ya siku zijazo.
Mourinho alikihama klabu ya Chelsea, katika hali ambayo haikufahamika Septemba mwaka wa 2007, baada ya kutofautiana na mmiliki wa klabu hiyo Roman Abramovich.
 

No comments: