Thursday 9 May 2013

Polisi waua mtoto wa miaka 9 kwa risasi Tarime


mtoto-wa-miaka-9-auawa-polisi-risasi-0Polisi mkoani Tarime wameua mtoto wa miaka 9, Deo Yakob, katika kilichoripotiwa kuwa pilikapilika za kukamata majambazi wanaoiba na kuua watu mpakani mwa Tanzania na Kenya.

Bado hakuna maelezo zaidi, kuhusu ni kitu kani kilichopelekea mtoto huyo kuuawa katika juhudi za polisi kukamata majambazi hao. Pia haijafahamika kama polisi hao walikamata majambazo wowote.
Pichani ni wananchi wakiwa na mwili wa mtoto huyo ambaye alikua ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi ya Mturu, mjini Tarime

No comments: