Friday 10 May 2013

JIDE AFUNGULIWA KESI MAHAKAMANI...



Hii Kali !!!

Kupitia moja ya kurasa za kijamii ya mwanamuziki Lady JayDee ameandika kuwa amepata taarifa kuwa amefunguliwa kesi mahakamani ila hajasema ni nani aliemfungulia kesi hiyo na ni mashtaka yanayohusu nini ...


Bado tunafuatilia kwa karibu kujua ni ni hasa kimemkuta mwanadada huyu .

No comments: