Thursday 30 May 2013

MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR KUWASILI NCHINI TANZANIA JUMAMOSI...

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa kaka wa
Marehemu Keneth Mangwea,
Ni  kuwa mwili wa marehmu Albert Mangwea kuwasili
 nchini siku ya Jumamosi
Tarehe 1 june na utaratibu wa kuaga na kutoa
 heshima za mwisho kwa
Msanii huyo nguli wa Muziki wa Kizazi kipya
 Tanzania zitatolewa
baada ya kamati Uhusika
 na familia kupanga.....

No comments: