Friday 12 April 2013

KAJALA AMUUA KUJICHORA JINA LA WEMA KUONYESHA APRICIATION KWA ALICHO MFANYIA.....


New photos: Kajala achora tattoo ya jina la “Wema” begani
Msanii wa Bongo movie ambaye hivi karibuni alinusurika kwenda jela baada ya Wema Sepetu kumlipia faini ya TShs milioni 13, amechora tattoo ya jina la “Wema” begani kama mojawapo ya njia za kuonyesha shukrani kwa alichofanyiwa na msanii mwenzie huyo.

Wema ame-post picha mpya kadhaa za Kajala @Instagram, ambapo mojawapo inaonyesha tattoo hiyo, picha ambayo Wema ameambatanisha caption ifuatayo:  ”Me corazon…. she calls me her hero…. I sooo much appreciate her… my frend, my sister.. im happy… #pureheart….. nothing but a pure heart…” Kwa hili nakubaliana na Sintah, “mthamini anayekuthamini.”
kajala
kajala
Wema na Kajala
Wema na Kajala
Kajala akionyesha tattoo yake mpya ya "Wema"
Kajala akionyesha tattoo yake mpya ya “Wema”

No comments: