Tuesday 16 April 2013

HACKERS WAIBOMOA WEBSITE YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM -( UDSM ) NA KUUJAZA MATANGAZO YA NGONO

Leo mchana, mtandao wa chuo kikuu cha Dar es salaam uliingiliwa na mahackers na kujazwa matangazo ya ngono.....

Matangazo hayo machafu yalikuwa yamewekwa Chini ya picha ya mkandala kwenye welcoming note ya vice chancelor......
MWONEKANO WA MCHANA
Mpaka saa tano usiku mtandao huo wa chuo maarufu haukuwa hewani .....( www.udsm.ac.tz/
MWONEKANO WA MIDA HIYO

UPDATE:
Kwa sasa mtandao huo uko hewani tena

No comments: