Thursday 13 February 2014

WAFAHAMU WASANII SITA(6) BONGO WANAOMILIKI MAGARI YA GHARAMA ZAIDI KWA SASA.


06. Ommy Dimpoz
05 . Ney wa Mitego
04 . Wema Sepetu
03 . Lady Jaydee
02. Irene Uwoya
01 . Diamond Platnumz

Wasanii 6 wa bongo Wanaoongoza kumiliki magari ya gharama

06. Ommy Dimpoz
Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi  ya milioni 30.
05 . Ney wa Mitego
Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.
04 . Wema Sepetu
Wema Sepetu anamiliki gari aina ya
Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.
03 . Lady Jaydee
Jay dee anamiliki gari aina ya  Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72  hivi.
02. Irene Uwoya
Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya millioni 153.
01 . Diamond Platnumz
Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245  za kitanzania.

credit : vibe

No comments: