Thursday 27 February 2014

MUAANDAJI WA FILAMU STEVE KHALFAN SUNDAY ANENA NA WADAU WA FILAMU HASA DODOMA soma hapa alichokisema

Sunday Khalfan
""HABAR ZA MUDA WAPENDWA.NINACHAKUZUNGUMZA HAPA,KWA KUWA SINA No.ZA SIM ZA WASANII NA WAZALISHAJI(Producers) NIMESHNDWA KUWAFIKIA WOTE,LAKN HAPA FB NAJUA WENG MPO NA NI RAFIK ZANGU.
UJUMBE WANGU::
Ninawaheshmu sana wasanii wa filamu na wazalishaj na wadau wote (HUSUSAN MKOA WA DODOMA).
Jaman kwan mtu kuamua kupiga hatua ya kujisimamia mwenyewe katika kaz ni makosa? Mm sikufundishwa kumtegemea mtu katika maisha yangu ya kila siku. Sasa unapokaa na mtu na kuambiwa kuwa siwapend wasanii wa filamu Dodoma na wazalishaj(PRODUCERS) kuwa nazungumza hakuna anayenizid mm,maana yako n ip hasa? Katika matukio yote muhmu ya wasanii wa FĂ­lam nimekuwa nikihudhuria na kushilikiana vyema na wasanii. Wazalishaj wa filam tumekuwa tukikutana vzur tu na kupanga mipango ya kisanaa mkoa wa Dodoma.
Aisee najua watu wanakuamin sana kwa utash wako na utu uzima wako,lakn kama mtu akikaa na wew kwa muda atakuelewa vzur.
Wasanii na Wazalishaj wa Dodoma mm niko pamoja na nyiny huyu anayeleta chokochoko zake tayar ana maisha na Familia. Sis bdo vjana na tunatafuta,so plz bdo mkoa haujakua kisanaa haina haja ya kupishana hv.
Mm bdo nipo Dodoma na ninaendelea na kaz yangu ya kuandaa filam,Huyo anayesema nimeacha kwa kuwa hanion anawadanganya.

Nawaheshmu na ninawapenda sana.
***************GUD DAY***************    
ALINENA HAYO KUPITIA UKARASA WAKE WA FACEBOOK

No comments: