Friday 21 February 2014

BREAKING NEWWZZZ!!!!..... MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE [2013] KUTOKA !!


Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwananyamala
 dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae alimaliza kidato 
cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na
 kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya
 kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupata
 ziro...
Tutazidi kuwapa taarifa

No comments: