Saturday 29 June 2013

PICHA 2 ZA ''OMMY DIMPOZ'' ZINAZOFAFANUA KAULI YA KUMKASHIFU MAREHEMU ALBERT MANGWEA.


 PICHANI Ni msanii ''Ommy Dimpoz'' Akilia jukwaani katika shindano la Miss Tabora Baada ya kupata taarifa za msiba wa marehemu Albert Mangwair kitu ambacho mpaka sasa baadhi ya mashabiki wa
Ommy Dimpoz wanakanusha kwamba haiwezekani Ommy amkashifu marehemu mangair habari hizi huwenda zikawa za wongo Aidha mwandishi alieandika habari hio hakumuelewa Ommy Dimpoz katika matamshi yao wakati mahojiano.

 Ommy Dimpoz akiimba kwa uzuni, Yani Kwa ufupi Show hii haikumuendea sawa..

No comments: