Monday 10 June 2013

JAY DEE MWANA FA NINI TATIZO

JayDee amchana Mwana Fa… Amwita Mwana FAtuma

Inaonekana kuna bifu imeibuka kati ya Lady JayDee na Mwana FA. Jaydee amemchana FA kwenye msururu wa tweets, ikiwemo kumwita “Mwana FAtuma,” na vijembe vingine. Naacha Tweets zijielezee zenyewe.
jaydee-mwana-fa-fatuma
jaydee-mwana-fa-fatuma-0