Wednesday 8 May 2013

UNAMJUA MSANII MWENYE USHIRKIANO NA WATU HANA KINYONGO NA MTU “DAVINA”


UNAMJUA MSANII MWENYE USHIRKIANO NA WATU HANA KINYONGO NA MTU “DAVINA”



DAVINA (Halima yahaya) maisha yake ni ushirikiano upendo na tabasamu lakini mtu mwenye amani na kila mtu Davina ni msanii wa filamu Tanzania (bongo movie) amekua akishirikiana na wasanii wenzake vyema kiasi kwamba kila msanii humkubali kutokana tabia yake ya kupenda kutoa ushirikiano katika kila jamabo iwe raha au huzuni. 
 Halima hachagui wasanii wakushirikiana nao ikiwa kikazi au kijamii. Chanzo chetu cha habari kimekua kikimkuta sehemu nyingi akishirikia na na watu tofauti kwa ajili ya maendeleo ya jamii kwa ujumla. Halima ni mfano mzuri sana wa kuigwa na jamii pia na wasanii wenzake, mwahabari wetu amekua akiwahoji baadhi ya watu mitaani juu ya halima na akapata majibu mazuri bila kupata lalamiko lolote kutoka kwa wanachi, wengi wameonyesha kumkubalia msanii huyu kwenye tasnia ya filamu inchini. 
HALIAMA  pia hayuko nyuma kwenye michezo hushirikiana vyema na jamii katika michezo kuimarisha afya yake

anyalovforyou.blogspot.com
 pia kujijenga kwa ajili ya kazi tofauti tofauti


No comments: