Monday 13 May 2013

NIKKI WA PILI ATOA NENO KWA SERIKALI

Fbi wanakuja kufanya nin tz? Tunatengenezewa adui bandia? Hatuna udini, tunarasilimali inabidi tupigane il wazichukuwe kirahis amka tanzania..
 tunakula maulidi,xmas,kipaimara,harusi,tumesoma pamoja,tunaishi pamoja, tunakuwa wapenzi wala hatujawahi kuwaza huyu dini gani..Hatuna udini tuna RASILI mali, tutachafuliwa kama Nigeria,sudani,somalia,syria,iraq,kongo....lengo. nikuibiwa rasilimali zetu kama hamjui".

Nikki wa II
— with Daisyney Francis Fenty, Ashiruashiru Rauph, Loveness De Swtbeib and 43 others.
Like · · Share
Fbi wanakuja kufanya nin tz? Tunatengenezewa adui bandia? Hatuna udini, tunarasilimali inabidi tupigane il wazichukuwe kirahis amka tanzania..tunakula maulidi,xmas,kipaimara,harusi,tumesoma pamoja,tunaishi pamoja, tunakuwa wapenzi wala hatujawahi kuwaza huyu dini gani..Hatuna udini tuna RASILI mali, tutachafuliwa kama Nigeria,sudani,somalia,syria,iraq,kongo....lengo. nikuibiwa rasilimali zetu kama hamjui".

Nikki wa II
— with Daisyney Francis Fenty, Ashiruashiru Rauph, Loveness De Swtbeib and 43 others.
Like · · Share

No comments: