Monday 6 May 2013

mbwe mbwe za diamond katika sporah show

Diamond na Team yake Ndani ya Sporah Show_Pictures full mbwembwe huko





Wakati yupo Londona ze purezi dahhh na kundi lake wamepata nafasi ya kufanya interview na Sporah ni maswali yapi waliulizwa na alijibu vipi? angalia kipindi cha mwana dada huyo.

jamani Dimondo ana mbwembwe sasa ile miwani haitoki ama ni aibu fulani hivi?? khaaa maana kila mara na miwani hata ktk interview Dimondoooooo this is tooo mucho.

No comments: