Thursday, 11 April 2013

CHEZEA DANIEL JAPHET WEWE..................









DORICE AND JANETH





LOOK AT THIS.......

Relations between the man and the woman have been frequently parodied and laughed at. And in this article, I will continue this tradition.
A) What is Sex?
In a survey conducted by the National Bureau of Statistic, different professionals gave different answers.
A-1) The Doctor:
Sex is a disease because you always end up in bed.
A-2) The Lawyer:
Sex is definitely unjust. Always, there is one person on top and the other one under that person.
A-3) The Engineer:
Sex is the perfect machine because this unit works whenever you want it to.
A-4) The Architect:
Sex is a mistake. And this is because the place where all the fun takes place has been placed at the exits.
A-5) The Politician:
It is the perfect democracy because everyone has fun whether they are on top or not.
A-6) The Economist:
It is a bad investment. What you put in is much bigger than what you take out.
The Closed Door Syndrome
A husband comes home and finds the door locked. He calls to his wife, “My dear, could you please open the door?”
She replies, “I am sorry, but I cannot. I am not dressed.”
He laughs,” It is ok. I am alone.”
She replies,” I am not.”
C) The Complaint of the First Woman
Eve goes up to the almighty and complains, “why does Adam have a limb protruding from his body while I do not?”
The almighty replies, “What shall I do with you, dear Eve? How many times have I to tell you that that limb is yours. Adam is just carrying it for you.”
D) A Handsome Couple
A handsome man and a beautiful woman are making love, He turns to her.
“Oh my dear, because you are my first one, I will call you Eve.”
“Thank you,” she answers and replies, “And because you were my 206, I will call you Peugeot.”
E) Restaurant Meeting
A couple are dining in a posh restaurant and eating dinner. Suddenly, the man jumps down from his chair and crawls under the table. The waiter comes up to the woman and asks, “Madam, is your husband feeling fine?”
The woman looked down and replied, “He is not my husband. My husband is standing at the entrance.”
F) Girl and Mother
A girl complains to her mother,” It is twelve in the night and he is still not home. I am telling you he is having an affair.”
Her mother calms her down ,”Come on. Why are you so pessimistic? Maybe all that happened is that he was run over.”
G) Hard Work
A wife wakes up her husband in the morning, “My dear, you are working too hard. All through the night you kept whispering the name of your secretary.”
H) Fortune Revealed
A fortune teller stares at the palm of the woman in front of her and says, “I see that you will soon be very happy in the arms of a young man.”
The woman looks back and whispers, “Say, can you see anything in my palm on how my husband would react to that?”

Wednesday, 10 April 2013

ANYALOV AND HIS TWO BROTHERS

vjana wa kazi hao


show love to super starz and their babies chezea anyalov wewe

PICHA ZA WATOTO WA WATU MAARUFU HAPA BONGO KAMA MWANAFA,MADEE, BARNABA,MIKE T, ALLAN LUCKY,GELLY NA SHILOLE

Huyu ni mtoto wa Allan Lucky wa Skonga EATV, anaitwa Brooklyn.
Huyo ni mtoto wa Raisi wa Manzese,Madee anaitwa Sophy.
Madee na mwanae
Cheki smile hiyoo,ni Malika wa Mwanafa
Binamu na mwanae 
Anaitwa Michele wa Mike T
Gelly wa Rhymes na Mwanae anayeenda kwa jina la Queen
Mtoto wa Barnaba huyo anaitwa Steve
 Anaitwa Joyce mtoto wake Shilole

belive or not

Baada ya vyombo mbali mbali vya habari kusema kuwa Kim kardashian ana mimba feki basi kaamua kuweka ushahidi zaidi kuwa ni mja mzito..click kuona picha zake hapa:

DO YOU KNOW THAT..........

TAARIFA KUTOKA NEWSROOM.
WABUNGE wamepitisha marekebisho ya kanuni za Bunge kifungu cha tisa kinachohusiana na masuala ya Fedha.
Akiwasilisha hoja hiyo katika mkutano wa 11 wa Bunge , Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati za Bunge amesema lengo la mabadiliko hayo ni kutoa nafasi kwa wabunge waweze kuishauri Serikali kuhusu mwenendo mzima wa Bajeti kabla ya bajeti yenyewe haijawasilishwa.
Aidha Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed amempongeza Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano na Serikali kwa kufanya mabadiliko ya kanuni kuhusu utaratibu wa mapato na matumizi ya Bajeti.
Kutokana na mabadiliko hayo Bajeti za Wizara mbalimbali sasa zitasomwa mwezi April badala ya mwezi June na Wizara ya fedha ndio itakuwa ya mwisho kusomwa bajeti yake baada ya Bajeti za Wizara nyingine hivyo kutoa fursa kwa Bajeti kuanza kutumika mapema kuanzia terehe Mosi ya Mwezi July.
****
IMEELEZWA kuwa tatizo la wapiga debe katika vituo vya mabasi na daladala nchini linaweza kumalizika endapo Halmashauri za Miji na Majiji zitatimiza wajibu wake ipasavyo kwa kuwaondoa na kuwachukulia hatua za kisheria wapiga debe wanaofanya kazi katika vituo hivyo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini nchini Sumatra Ahmad Kilima akizungumza na kituo hiki amesema wao hawahusiki moja kwa moja na kuwaondoa wapiga debe vituoni kama ambavyo
watu wengi wamekuwa wakifirikiali
Amesema endapo mamlaka hizo zitashirikiana ipasavyo na wananchi likiwemo jeshi la polisi nchini, tatizo la wapiga debe litaisha na kuondoa kero kwa abiria na wasafiri wanaotumia vituo hivyo ikiwa pamoja na kupunguza wizi na udokozi unaofanyika katika vituo hivyo.
****
JESHI la Polisi nchini kwa kushirikiana na mikoa na halmashauri za Miji na Majiji limesema lina mpango wa kuanzisha utaratibu wa kuweka alama katika bodaboda ili kubainisha maeneo zinapofanyia kazi kwa
lengo la kupunguza uharifu.
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini IGP Said Mwema ameieleza TIMES FM kuwa kupitia mpango huo utasaidia kubainisha bodaboda ambazo zimekuwa zikikiuka sheria na kutumika katika matukio ya uharifu ikiwemo ujambazi.
Amesema mpango huo pia utawezesha watumiaji na vikundi vya bodaboda kutoa taarifa za matukio ya uharifu unaofanywa na majambazi kwa kutumia boda boda ikiwa pamoja na kukomesha wizi wa pikipiki hizo.

YANGA NDIO SISI TFF WAFUASI TUH..............

Yanga imepinga mpango wa TFF kubadili ratiba ili michezo yake ionyeshwe katika kituo cha Supersport. Kupitia kwa makamu mwenyekiti wa klabu Clement Sanga, Yanga wamesema mpango huo unawatia hasara kwa kuwa watatakiwa kucheza michezo mitatu ndani ya siku 8 badala ya mechi 2. Pia wamesema uonyeshwaji wa michezo hiyo utapunguza mahudhurio ya watazamaji uwanjani kutokana na wengi kutokwenda wanapojua itaonyeshwa katika Televisheni. Sanga alimalizia kwa kusema ni afadhali kituo hicho kingekuwa kinawapa fedha kufidia hasara hiyo. Wewe ni shabiki wa Yanga? Nini maoni yako.
Yanga imepinga mpango wa TFF kubadili ratiba ili michezo yake ionyeshwe katika kituo cha Supersport. Kupitia kwa makamu mwenyekiti wa klabu Clement Sanga, Yanga wamesema mpango huo unawatia hasara kwa kuwa watatakiwa kucheza michezo mitatu ndani ya siku 8 badala ya mechi 2. Pia wamesema uonyeshwaji wa michezo hiyo utapunguza mahudhurio ya watazamaji uwanjani kutokana na wengi kutokwenda wanapojua itaonyeshwa katika Televisheni. Sanga alimalizia kwa kusema ni afadhali kituo hicho kingekuwa kinawapa fedha kufidia hasara hiyo. Wewe ni shabiki wa Yanga? Nini maoni yako.

CHEZEA ANYALOV WHITE TOWEL BIRTHDAY PARTY NEVER MISS NEXT TIME ITS MALOOOVEEEE














chezea ushindi full ma love hapo je ingekua wamefungwa??????????????/

RAHA YA USHINDI....Wachezaji wa Borussia Dortmund wakishangilia baada ya kuizamisha Malaga kwa mabao 3-2 na kutinga nusu fainali ya Uefa Champions League!