Wednesday, 10 April 2013

show love to super starz and their babies chezea anyalov wewe

PICHA ZA WATOTO WA WATU MAARUFU HAPA BONGO KAMA MWANAFA,MADEE, BARNABA,MIKE T, ALLAN LUCKY,GELLY NA SHILOLE

Huyu ni mtoto wa Allan Lucky wa Skonga EATV, anaitwa Brooklyn.
Huyo ni mtoto wa Raisi wa Manzese,Madee anaitwa Sophy.
Madee na mwanae
Cheki smile hiyoo,ni Malika wa Mwanafa
Binamu na mwanae 
Anaitwa Michele wa Mike T
Gelly wa Rhymes na Mwanae anayeenda kwa jina la Queen
Mtoto wa Barnaba huyo anaitwa Steve
 Anaitwa Joyce mtoto wake Shilole

No comments: