Thursday, 9 May 2013

CHRIS BROWN ATEMANA RASMI NA RIHANNA

CHRIS BROWN ATEMANA RASMI NA RIHANNA

It’s official. Riri na Chris Breezy hawako pamoja
 tena au kwa sasa hawako pamoja.
wapenzi hao wazamani, wameonekana wakitumia weekend
zao kwa umbali wa maili 300 weekend iliyopita, huku Chris
 akila bata Vegas kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, huku
Rihanna akitumia siku ya jumamosi akiwa Barclays Center
 kwenye game kati ya Nets na Bulls
kwa mda sasa Riri na Breezy wamekuwa wakiwafanya
mashbiki wao kuhisi kama wako pamoja au la, lakini finally ameamua
 kuzungumza wakati wa interview aliyofanya na “The Kyle
and Jackie O Show.” wakati alipoulizwa kuhusu zawadi ipi
ingekuwa zawadi nzuri kwake.
ambapo Chris alisema kukutana na wasichana wengi
iwezekanavyo Vegas, kitu kilichomfanya mtangazaji kama
yuko single ambapo alisema
"Yeah, I’mma do it solo. I mean at the end of the day, shawty
 
doing her own thang. She on the road… It’s always gonna
be love… I’m a grown man, just gotta fast forward."
na alipoulizwa kama Rihanna ndio soul mate wake na
 kuwa siku zote watakuwa pamoja hiki ndicho alichokisema
"I’ll just put it like this, one thing I always want to do is never
disrespect nobody or put nobody down. The way I look
at it is that I am always gonna love that person and people have
 different wants and needs. At the end of the day, she’s a
 young girl. I can’t really be focused on wifing someone that
young. And I’m young too so I can’t focus on that right now.
I gotta step forward and be a man and be the best Chris Brown
 I can be instead of worrying about whoever else is gonna be on my side pocket."

uliskia kauli ya penny juu ya penzi lake na diamond na yaliojiri kati ya mpenzi wake na irene uwoya soma hapa



Diamond Akiwa Na Mpenzi Wake Penny









Katika ule unaoonekana kama mwendelezo wa kendo ndani ya tasnia ya bongo movies hatimaye Jana bongomovies.com waliweza kumpata mwanadada Penny  Mungilwa, mpenzi wa diamond platnumz na kufanya naye interview ya simu kuhusu stori zilizozagaa mitaani na kwenye mtandao kuhusu kipenzi cha moyo wake “Diamond Platnumz” kukutwa katika hoteli moja ya kifahari jijini Dar es salaam na mwigizaji mahiri wa bongo movies Irene Uwoya, na haya ndo yalikuwa majibu yake.
Bongomovies.com : Mambo penny, mzima?
Penny (VJ Penny) : Mi mzima, sijui wewe?
Bongomovies.com : Mi niko poa tuu, sorry nilikuwa nashida ya kukuuliza maswali mawili matatu tuu?
Penny (VJ Penny) : Kama nitaweza kuyajibu,
Bongomovies.com : Haina shida, kuna stori zilikuwa zimezagaa kwenye mitandao kuhusu ishu ya diamond na Irene Uwoya, sasa nilitaka niulize na nipate comment zako kuhusu ishu hizi?
Penny (VJ Penny) : Sina comment,
Bongomovies.com : Vipi ishu hizi ni za kweli?
Penny (VJ Penny) : Asa mi nitajuaje? Mambo afanye Diamond na Irene, mi nitajuaje?
Bongomovies.com : Lakini sisi tunajua kuwa wewe ndo mpenzi halali wa diamond, na stori kama hizi kwa namna moja au nyingine lazima zinakuhusu, hata kama hazipo “direct” kwako?
Penny (VJ Penny) : Naomba nikwambie kitu kimoja, wewe inabidi umtafute Irene na Diamond, mimi sina cha kukujibu, sijui kama wamefanya sijui kama hawajafanya, “I don’t have an any idea” (alisisitiza), mi sikuwepo so sijui cha kukujibu. Mi mwenyewe nimeona kama ulivyoona wewe.
Bongomovies.com : Ila Diamond si mtu wako wa karibu sana, si unaweza kuwa na ukweli kuhusu hili jambo?
Penny (VJ Penny) : Mi najua tuko happy, kama siku zote tunavyokuaga zamani, tuko kama tulivyokuwa juzi, jana leo na kesho, I’m happy with my baby, kama amefanya au hajafanya I don’t know, it not my business. I’m happy with my man, that’s it!!!!
Bongomovies.com : Vipi uhusiano wako na Irene Uwoya?
Penny (VJ Penny) : Simfahamu, na “she is not my friend” namuona kwenye magazeti tuu
Bongomovies.com : Okay, basi sawa,
Penny (VJ Penny) : Alright, thank you…

MFANYABIASHARA AJITUPA TOKA GHOROFA YA TISA HADI CHINI KARIAKOO MUDA HUU,TIZAMA PICHA



Muda mfupi uliopita,Mtu mmoja alietambulika kwa jina la Shirima ambaye ni Mfanyabiashara katika moja ya Maduka ya Kariakoo jijini Dar es Salaam,amejirusha toka ghorofa ya 9 ya Hoteli ya Concord iliopo Maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na amekimbizwa hospitali kwa uangalizi zaidi maana haijafahamika kama kapoteza Maisha au bado yu hai.

Mfanyabiashara huyo alijirusha toka ghorofani na kuangkia katika Gari aina ya Toyota Corolla ambayo ni taxi iliyokuwa imepaki nje ya hoteli hiyo,chanzo cha kujirusha kwa mfanyabiashara huyo bado hakijafahamika mpaka sasa.

Mashuhuda wa tukio hilo lililotokea muda mfupi uliopita,wanaeleza kuwa walipatwa na mshtuko baada ya kusikika kishindo cha kitu kilichokuwa kimeangukia gari hilo na waliposogea kushuhudia ndipo walipobaini kuwa alikuwa ni mtu huyo alietambulika kwa jina moja la Shirima

video ya mdogo wa diamond walio share baba akilalamika hapati support wakati na yeye anaimba

http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=fC-I01tXqH4
mdogo wa diamond ambae amelalamika kuwa diamond hatoi msaada wowote kwake kwani nae anakipaji cha kuimba lakin kaka yake huyo amekuwa hatoi ushirikiano kwake angalia vdeo kwa taarifa zaidi.

Fahamu hiki alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee


Baada ya Lady Jay Dee kutangaza siku ya kuachia album yake mpya sasa #Fahamu hiki alichokisema professa Jay kuhusu miaka 13 ya Lady Jay Dee

"Nitakuwa na @JideJaydee kwenye show yake ya miaka 13 ya LADY JD, Kwa NGUVU zangu zote, AKILI zangu zote na UWEZO wangu wote, KARIBUNI SANA"

Wednesday, 8 May 2013

YAKUHUSU WEWE MDADA MWANDOA MTARAJIWA


Hata kama utapingana na mimi, lakini ukweli utabaki pale pale; Kila jinsia inahitaji sana kuungana na jinsia nyingine katika tendo muhimu na la kihistoria katika maisha liitwalo ndoa! Yes, huu ni ukweli ambao upo wazi na utaendelea kusimama kama ulivyo.

Jinsia zote zina umuhimu na jambo hili muhimu, lakini kuna tofauti kidogo, kwamba mwanamke anasubiri kufuatwa na mwanaume, wakati mwanaume anaamua kumfuata mwanamke anayemtaka na kwa wakati wake. Kuna kitu nataka kuweka sawa hapa, kwamba wanaume ndiyo huwa wa kwanza kupenda kabla ya mwanamke, ingawa mwanamke anaweza kuwa wa kwanza kupenda lakini akashindwa kufikisha hisia zake kwa mwanaume husika.

Wanawake wa ‘mjini’ huwa hawakubaliani na hili, kutokana na huu utandawazi unaohubiriwa siku hizi ikiwa ni pamoja na kampeni za usawa zinazotetewa na Wanaharakati Wanawake. Akina dada nao huchangamkia kueleza hisia zao kwa wanaume. Nadhani si jambo baya, ingawa linaweza kupokelewa kwa hisia tofauti na kila mwanaume.

Tuyaache hayo, hoja kubwa ya msingi hapa ni jinsi gani mwanamke anaweza kuolewa haraka na mpenzi wake. Ikumbukwe kwamba, hapa nazungumza na wanawake ambao tayari wapo katika uhusiano, lakini wenzi wao hawana habari kabisa na mambo ya ndoa.
Katika matoleo yaliyopita, niliwahi kuzungumza kuhusu namna gani mwanamke anaweza kuwashawishi wanaume wakataka kuingia katika uhusiano naye. Leo nazungumzia juu ya wewe ambaye upo katika uhusiano ambao haueleweki, lakini ndoa unaitaka. Unajua cha kufanya? Fuatana nami.

EPUKA MAKUNDI HATARI
Mwanaume anapenda kuwa na mke mwenye staha, ambaye hana tabia za hovyo. Kuwa na makundi ya ‘mashangingi’ ni alama ya kwanza kabisa kuwa unapenda au tayari una tabia za kishangingi. Wanaume wengi hawapendi kabisa wanawake wenye tabia za hovyo, wenye kampani ambazo si nzuri.
Lakini yawezekana, jamaa alishakuambia juu ya kilio chake hiki, lakini wewe umekuwa kama umeweka pamba masikioni mwako, hili ni tatizo. Linda heshima yako, kaa mbali na makundi hatari, ili umfanye jamaa akuone wewe ni mwanamke thabiti ambaye huigi, hushabikii na wala huna tabia mbaya. Utaonesha hili kwa kukaa mbali na makundi ya wanawake hatari! Umenipata?

ZINGATIA MAVAZI YAKO
Kila mtu anamjua mtu wake alivyo, mwanamke hata wewe unamjua mpenzi wako alivyo. Sina shaka unafahamu anapenda nini na nini anachukia. Unajua kabisa, nina uhakika na hilo. Lakini pamoja na kwamba jamaa anaweza kuwa na vitu ambavyo vinamvutia zaidi, hata wewe kama mtoto wa kike, una mapendekezo yako au vitu ambavyo unapenda zaidi kuvifanya!
Huzuiwi, lakini swali la msingi, mwenzi wako anapenda? Kama wewe unapenda sana skin jeans na top inayoacha kitovu nje, yeye hapendi kwa sababu ana nia ya kukufanya mke hapo baadaye. Sasa utakuwa mke gani ambaye hata Salim anaona sehemu zako za faragha hadharani?
Ukiachana na chaguo la mwenzi wako, lakini lazima wewe mwenyewe kama mwanamke wa mtu, ujitambue! Jisitiri vyema. Kwani kuna urembo gani wa kuvaa nguo inayoonesha mwili wako ulivyo? Kuna burudani gani kuacha nyeti zako wazi? Unataka nani akuone ulivyo? Mke hana sifa hiyo dada yangu, sasa ili uweze kuwa na sifa hii muhimu, lazima uzingatie sana mavazi yako.

JIPE MOYO
Hili nilishawahi kulizungumza sana katika mada zilizopita, baadhi ya wanawake wamekuwa wakikatishwa tamaa na rafiki zao au watu wengine wanaowazunguka, eti hawana hadhi ya kuolewa au watahangaika sana lakini hawatapata mume, kisa eti HAVUTII!
Mwingine anajinyima mwenyewe nafasi akisema; “Mimi nina balaa, sina bahati ya kuolewa, ndiyo maana wadogo zangu wote wameolewa nimebaki mimi.”
Huu ni uvivu wa kuwaza. Lakini dada yangu, habari iliyo njema kwako ni kwamba, ndoa unaitengeneza wewe mwenyewe.
Unaitengeneza kwa misingi ya kwanza, kujipa moyo mwenyewe kwamba wewe ni mzuri na una sifa na haki za kuolewa kama wanawake wengine. Jipe moyo mwenyewe, huna nuksi wala balaa, wewe ni mzuri na una sifa za kuwa mke hapo baadaye.

Iko hivi, ukianza kujishusha mwenyewe, ni dhahiri kwamba hata mavazi yako hayatakuwa mazuri, uso wako hautakuwa na tabasamu na wala hutakuwa na matumani moyoni, hapo sasa ni mwanzo wa kuzorota afya yako. Utapata mchumba kweli? Utasubiri sana kwa mtindo huo.
ACHA PAPARA
Haizuiwi kuuliza kuhusu mustakabali wa uchumba wenu, lakini ni vizuri basi kuwa na kiasi. Kuuliza kila wakati au kuwa mtu wa kulaumu, hakutakusaidia kumfanya jamaa achukue maamuzi ya haraka ya kukuoa na badala yake yanaweza kumpa picha tofauti.
Ni rahisi kuwaza kwamba, unachohitaji kwake ni ndoa na baada ya hapo hutakuwa na staha tena. Kuwa mjanja, achana na papara. Usilogwe ukamfanyia jambo zuri mpenzi wako, halafu ndiyo umuulize; “Sasa honey, mbona hata huzungumzii ndoa yetu? Hivi utanioa kweli? Eeeh baby? Niambie basi mpenzi wangu...”

TWEETS ZA CRISTIANO RONALDO, BECKHAM, PIQUE, RAMOS, ALVES, ESSIEN, OWEN, NISTELROOY NAO WAZUNGUMZIA KUSTAAFU KWA SIR ALEX FERGUSON

TWEETS ZA CRISTIANO RONALDO, BECKHAM, PIQUE, RAMOS, ALVES, ESSIEN, OWEN, NISTELROOY NAO WAZUNGUMZIA KUSTAAFU KWA SIR ALEX FERGUSON










HUYU NDIO MSANII WA UGANDA AMBAYE AMEKAMATWA HUKO JAPAN KWA TUHUMA ZA KUPATIKANA NA DAWA ZA KULEVYA

HUYU NDIO MSANII WA UGANDA AMBAYE AMEKAMATWA HUKO JAPAN KWA TUHUMA ZA KUPATIKANA NA DAWA ZA KULEVYA

 Wednesday, May 8, 2013 | 8:46 AM

Huyu ndio Iryn Namubiru, mwanamuziki kutoka nchini Uganda ambaye ameripotiwa kukamwatwa huko nchini Japan kutokana na tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya.
Ripoti zinaweka wazi kuwa, Iryn alienda nchini humo kwaajili ya kufanya show Jumamosi iliyopita, Tarehe 4 huko Tokyo, Yotsukaido Cultural Hall, na hadi dakika ya mwisho ya mpango huu, promota aliingia mitini, issue iliyomlazimu  Iryn kuripoti tukio hili polisi.


Story kwa mtaa ni kwamba kabla ya ziara hii, Iryn alikuwa apae kuelekea Japan sambamba na Dr Hilderman pamoja na King Michael lakini hawa wengine walichomoa hasa baada ya promota huyu aliyetambulika kwa jina la Kim Ueno kushindwa kuwalipa kiasi walichokubaliana kama advance kwaajili ya show na kwaajili ya ticketi zao za ndege kurudi Uganda.

HISTOGRAM WEMA AWEKA PICHA ZA KUONYESHA MAUMBILE YAKE YA NDANI


wema 1
Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya katika magazeti.Ila Wema Sepetu ameamuwa kupost habari zake,pamoja na picha za vituko mwenyewe katika mitandao  Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: Gats to lose me a few more pounds!
Facebook Blogger Plugin by 2jiachie | 2jiachie
Share this article :

David Moyes mrithi wa mizigo ya Fugurson MANCHESTA UNITED

David Moyes appointed Manchester United manager

New Manchester United boss David Moyes
10634 3752 10
 
David Moyes is the new manager of Manchester United.
The Everton boss has agreed to move to Old Trafford and will join the club at the end of the season.
Moyes' future has been in doubt for several months, after his refusal to sign a new deal on Merseyside and, following Sir Alex Ferguson's retirement, the Red Devils have acted quickly to land the former Preston chief.
The Scot has been at Goodison Park for 11 years but has only an FA Cup runners-up medal, from 2009, to his name and has no experience in the Champions League proper.
Real Madrid boss Jose Mourinho had been stongly linked to the post but it appears the board at Old Trafford have decided the 50-year-old former Celtic defender is the right man to lead the club forward.

WAIGIZA KUTOKA NOLLYWOOD WANAONGOZA KWA KASHFA.......

.

written by; anyalov Wednesday, May 8, 2013 | 8:58 AM

KWA namna moja au nyingine imekuwa vigumu kwa muigizaji wa kike wa Nollywood kukwepa kutuhumwa kwa kashfa mbalimbali.

Kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akitumia njia anayoifahamu kukabiliana na kashfa hizo. 

Wako wanaoamua kwenda mahakamani, wengine huchukua sheria mkononi kwa kupambana na wanahabari walioibua kashfa hizo na wengine huamua kunyamaza kimya.

Ifuatayo ni orodha ya waigizaji wa kike wa Nollywood ambao wamekuwa wakikashifiwa mara kwa mara.



Kinachofurahisha zaidi ni kashfa hizi ziwe za ukweli au uwongo, hazikuweza kuathiri kazi zao na badala yake zimewaimarisha na kuwafanya wawe juu zaidi na kujizolea mashabiki lukuki.


Tonto Dikeh

Tonto anatajwa kuwa kiongozi katika kundi hili, ni mara chache sana unaweza kulikosa jina lake kwenye vichwa vya habari vya machapisho mbalimbali nchini Nigeria.

Katika habari kumi zinazoandikwa kuhusu mwigizaji huyu, saba kati ya hizo ni kashfa. Inasadikiwa kuwa nyingi kati ya kashfa anazotuhumiwa nazo ni za ukweli.

Na hii ni kutokana na ukweli kwamba amekuwa msanii mwenye tabia tofauti kidogo, kwani ni jambo la kawaida kwake kufanya mambo hata yale yasiyokuwa ya kawaida katika jamii.

Kwa mfano hivi karibuni ameigiza filamu ambazo zimeweka sehemu kubwa ya mwili wake wazi. Kitendo ambacho kinapingwa na wengi nchini Nigeria.

Si hivyo tu amekuwa na tetesi za kujihusisha kimapenzi na wasanii kibao nchini humo wakiwamo Tuface, KC Presh, Wizkid na Iyanya.

Nuella Njubigbo
‘Ella’ kama mashabiki wanavyomuita amekuwa akihusishwa na hadithi kadhaa za  mapenzi ndani na nje ya tasnia ya filamu nchini Nigeria.
Hadithi ya kwanza ilikuwa ni ile ya kujihusisha na mapenzi na Yul Edochieb ambayo ilionekana ina ukweli ndani yake.
                                                     Nuella Njubigbo
Baada ya kuenea kwa kashfa hiyo, Ella alijitokeza hadharani na kupinga . Lakini kama ilivyo kwa msemo wa waswahili jasiri haachi asili, muda mfupi baadaye iliibuliwa kashfa yake nyingine ya mapenzi  kati yake na muongozaji filamu, Tchidi Chikere.
Licha ya kutoa taarifa kwa vyombo vya habari akipinga uvumi huo, muda si mrefu iliripotiwa kuwa alikuwa na mahusiano na gavana wa jimbo moja nchini Nigeria.
Wengine wanaotajwa kuwahi kuwa na mahusiano naye ni pamoja na mwanasoka Emmanuel Emenike na wengine kibao.
Cossy Orjiakor
Cossy ni miongoni mwa mastaa wapole sana katika tasnia ya burudani Nollywood. Lakini huo haukuwa mwamvuli wa kujificha kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

                                                                     Cossy Orjiakor
Namna anavyoachia wazi sehemu kubwa ya maziwa yake inatosha kabisa kumuelezea na wakati mwingine ndio kimekuwa chanzo cha watu wanaomtazama kukubaliana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Kashfa maarufu inayomkabili mrembo huyu ni ile ya kulipwa kwa ajili ya kulala na mbwa. Licha ya kuipinga vikali lakini hadi leo hii wako wasiokubaliana naye.
Hivi karibuni aliweka picha zake za utupu kwenye ukurasa wake wa Tweeter na pia aliweka picha alizopiga zikionyesha nguo yake ya ndani.

Lola Alao
Hivi karibuni ugomvi uliomhusisha rafiki yake wa karibu Bisi Ibidapo-Obe na mbunge mmoja Dino Melaye. Ugomvi huo ulikuwa ni wa mapenzi, Lola alisema alituhumiwa visivyo.
Kabla ya mtafaruku huo wa kwanza Lola aliwahi kupatwa na kashfa ya uchawi iliyobainishwa na mume wake wa zamani, ambayo ilipamba vichwa kadhaa vya magazieti.
Katika mahojiano yake na kituo kimoja cha televisheni, Lola alikataa kulizungumzia hilo na badala yake alibakia kumsifia mume wake huyo na kusema:  “Alikuwa mwanaume mzuri licha ya kuvunjika kwa ndoa yetu.”


Funke Akindele
Funke anatajwa kuwa staa mwenye kashfa nyingi za mapenzi. Inaelezwa kuwa amewahi kuwa na mahusiano na wanaume kadhaa maarufu nchini humo kabla ya kufunga ndoa na Alhaji Kehinde Almaroof Oloyede.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali  vya habari, muigizaji huyo licha ya kuwa kwenye ndoa, bado amekuwa na mahusiano ya siri na wanaume wengine mbali ya mume wake.

Genevieve Nnaji
Licha ya usupastaa aliokuwa nao katika tasnia ya burudani kitaifa na kimataifa, vichwa vya habari vinavyomtaja Genevieve vimekuwa vikionekana mara kwa mara katika magazeti na vyombo vingine vya habari, vikiongozwa na kashfa anazotuhumiwa nazo.
Kabla ya staa huyu kufikia kwenye daraja alilonalo leo hii imewahi kuripotiwa kuwa amekuwa akijihusisha kimapenzi na watu tofauti tofauti wakiwamo waigizaji wenzake kama Pat Attah, Kunle Coker na wengine kibao.
                                                                 Genevieve Nnaji
Kubwa zaidi ni pale anapotajwa kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na makamu wa rais wa zamani. Kwa sasa inaelezwa kuwa anatoka na  mwanamuziki D’Banj.
Faithia Balogun
Aliwahi kuwa mke wa nguli wa uigizaji Nollywood, Saidi Balogun. Lakini hili halikumfanya asifuatiliwe na hata kumtuhumu kwa kashfa tofauti tofauti.
Awali iliripotiwa kuwa aliwahi kupigana na mwigizaji mwenzie eti kwa kuwa alikuwa na mahusiano na mwanasiasa Rotimi Ajanaku ambaye alikuwa akitoka na yeye.
Pia aliwahi kuripotiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkurugenzi mmoja huko Nollywood.
Mbali na hayo anatajwa kuwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya kigogo mmoja nchini humo.
Facebook Blogger Plugin by 2jiachie | 2jiachie

UNAMJUA MSANII MWENYE USHIRKIANO NA WATU HANA KINYONGO NA MTU “DAVINA”


UNAMJUA MSANII MWENYE USHIRKIANO NA WATU HANA KINYONGO NA MTU “DAVINA”



DAVINA (Halima yahaya) maisha yake ni ushirikiano upendo na tabasamu lakini mtu mwenye amani na kila mtu Davina ni msanii wa filamu Tanzania (bongo movie) amekua akishirikiana na wasanii wenzake vyema kiasi kwamba kila msanii humkubali kutokana tabia yake ya kupenda kutoa ushirikiano katika kila jamabo iwe raha au huzuni. 
 Halima hachagui wasanii wakushirikiana nao ikiwa kikazi au kijamii. Chanzo chetu cha habari kimekua kikimkuta sehemu nyingi akishirikia na na watu tofauti kwa ajili ya maendeleo ya jamii kwa ujumla. Halima ni mfano mzuri sana wa kuigwa na jamii pia na wasanii wenzake, mwahabari wetu amekua akiwahoji baadhi ya watu mitaani juu ya halima na akapata majibu mazuri bila kupata lalamiko lolote kutoka kwa wanachi, wengi wameonyesha kumkubalia msanii huyu kwenye tasnia ya filamu inchini. 
HALIAMA  pia hayuko nyuma kwenye michezo hushirikiana vyema na jamii katika michezo kuimarisha afya yake

anyalovforyou.blogspot.com
 pia kujijenga kwa ajili ya kazi tofauti tofauti


Tuesday, 7 May 2013

Judith Opara Mazagwu a.k.a Afrocandy acheza movie ya XXX




A US-based Nigerian singer, Judith Opara Mazagwu, popularly known as Afrocandy recently produced and starred a sóft-córe pórn movie titled Destructive Instíncts.
No doubt, everyone's got their tongue wagging on this one seeing as adult movíes are starting to become a trend among Nigerian stars.
Just in case you're all riled up and ready to give her a piece of your mind, it is obvious that the young lady does not care about your opinion.
 photo
Below are shots from the movie. Explícit pictures and trailer. Not suitable for young readers;
photo
photo

CLICK HERE TO WATCH THIS VIDEO

Monday, 6 May 2013

msanii Jaquar anunua ndege yake

Hii Ndio Ndege Aliyonunua Msanii Jaquar Kutoka Kenya

Mwanamuziki kutoka Kenya, JAGUAR amenunua ndege binafsi ...

Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Kenya na ameshaitumia mara kadhaa ...

Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa jina lake, yaani AIR JAGUAR

Jumamosi moja katika uwanja wa ndege wa Wilson Airstrip uliopo nchini Kenya, Jaguar anasemekana kuitumia ndege hiyo inayopandisha abiria sita kwenda kustarehe huko Great Lake Resort, Niavasha akiwa na baadhi ya wasanii wengine

mbwe mbwe za diamond katika sporah show

Diamond na Team yake Ndani ya Sporah Show_Pictures full mbwembwe huko





Wakati yupo Londona ze purezi dahhh na kundi lake wamepata nafasi ya kufanya interview na Sporah ni maswali yapi waliulizwa na alijibu vipi? angalia kipindi cha mwana dada huyo.

jamani Dimondo ana mbwembwe sasa ile miwani haitoki ama ni aibu fulani hivi?? khaaa maana kila mara na miwani hata ktk interview Dimondoooooo this is tooo mucho.

Kauli ya Kardinali imeacha maswali mengi kuliko majibu.


Jana nimebahatika kuisikiliza vyema taarifa fupi (KUNTU) iliyotolewa na mlezi wetu mkuu wa kiroho KARDINALI) ya kuujulisha umma ni nini kilichotokea kupitia chombo chake cha habari TUMAINI. Tunashukuru kwa taarifa yake hiyo ambayo kwa jinsi ilivyotolewa, nina hakika ilifanyiwa kazi ya kina kabla ya kuletwa hadharani.


Kwanza kabisa nashawishika kwa ukurasa wa awali kukubaliana na taarifa yake hiyo kutokana na imani yangu kuu kwake, na inavyojulikana kwa wachache kuwa kada ya UPAPA na UKARDINALI ni kada ambazo wanaozifikia pia wamepitia mambo ya kiintelijensia!


Tunashawishika kuamini hivyo kutokana na jinsi kiongozi huyu wa kiroho ambavyo ameweza kutoa ripoti yake ya kiintrijensia ndani ya chini ya masaa 24! Amesema suala hili lisihusishwe kwa aina yoyote ile na dini au itikadi ya uislamu bali waliofanya kitendo hicho ni WAKRISTO tena wa KANISANI hapo! Na kwa msisitizo akasema kuwa anao uhakika wa kile anachokisema!


Sasa inamaana kwa uweza wa kimungu ambao mtumishi huyu anao na ule wa uintelijensia alionao ameweza kuwasaidia hata polisi wetu kumaliza kazi ya upelelezi katika muda mfupi sana! Sasa kuna haja gani ya kuleta tena CIA? Na kama amesisitiza kuwa taarifa yake aliyoitoa ndiyo ya mwisho, kuna haja gani ya kuwashikilia hao watu wengine, si yeye apelike hiyo ripoti yake polisi ili kazi iwe fupi na amani irejee mioyoni mwa watu na kukata vilimilimi vya watu wengine ambao wanataka kupata umaarufu kupitia SAGA hilo?!


Lakini tukija katika upande wa pili, Je, hatuoni kuwa mtumishi wetu huyu amewahi saaaaaaaaaaaaaaana kutoa ripoti yake hiyo ambayo inaonekana kama hitimisho la SAGA lenyewe?!


Na, Je, kama itatokea ikaja kuapatikina ripoti nyingine tofauti na hii tuliyoaminishwa na mtumishi wa mungu, Je, tutamwamini nani?


Maswali yapo mengi sana kuliko yale ya papo kwa papo ya Waziri mkuu, lakini katika hili nafikiri TAFAKARI ya kina ilitakiwa ichukuliwe kabla ya taarifa hii kutolewa.

Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya tukio la leo, Jumapili, Mei 5, 2013 la mlipuko kwenye Kanisa Katoliki la Mt. Joseph Mfanyakazi la Olasiti Jijini Arusha. Tukio hilo la kigaidi limesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na wengine 40 kujeruhiwa. Rais Kikwete analaani vikali shambulio hilo lililofanywa na mtu au watu katili, waovu na wenye dhamira mbaya na nia mbaya kwa Tanzania na watu wake.

Rais Kikwete ameagiza vyombo vya usalama nchini kumsaka mtu au watu waliohusika na kitendo hicho kiovu na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria. Vile vile Rais Kikwete amewataka wananchi wote kuwa watulivu wakati Serikali na vyombo vyake inaendelea kufuatilia tukio hili. Tutawasaka popote walipo na kupambana nao bila huruma. Aidha, tutakabiliana na aina yoyote ya uhalifu nchini iwe ni ugaidi au aina yoyote ya uhalifu wa namna hiyo au wa namna nyingine, uwe na chimbuko lake ndani ya nchi ama nje ya nchi yetu. Kamwe hatutakubali kuwaacha wavuruge amani na usalama wa Tanzania na watu wake. Rais anaamini kuwa Serikali, kwa msaada na ushirikiano wa wananchi, watu hao watapatikana na kuadabishwa ipasavyo.

Aidha, Rais Kikwete anatoa rambirambi za dhati ya moyo wake kwa wafiwa na wale wote ambao wamejeruhiwa katika tukio hilo. Anaungana nao katika machungu na msiba. Rais pia anawaombea wote walioumia katika tukio hili wapate nafuu ya haraka na waendelee na shughuli zao za ujenzi wa taifa.

Rais Kikwete vilevile anatoa pole nyingi kwa viongozi na waumini wa Kanisa Katoliki kwa tukio hili la kusikitisha na kuvurugika kwa ibada na shughuli yao muhimu ya uzinduzi wa Kanisa lao.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU,
DAR ES SALAAM
5 Mei, 2013

diamond awamiss mama na babymama wake

UK TOUR:DIAMOND AKUMBUKA FAMILIA,MAMA YAKE NA BABY MAMA WAKE....

Hii ni moja ya picha ambayo Diamond platnumz aliweka jana 
majira ya jioni kwa saa za
Uingereza kupitia mtandao wake wa Instangram akiwa mwenye 

furaha na katika hiyo picha
na Mnukuu kwa maandishi haya
''When am lukin to the Sun i see my Mum, Baby,Family
n True fan's Blessin me while my haters are Crying..

Ujumbe ambao Diamond Platnuzm aliandika
kuwafikishia salamu njema mashabiki zake,na
kusema kuwa amemiss mama yake,Familia yake
 na Baby mama wake.....!!
Hii ni picha nyingine aliweka kwenye mtandao wake wa
Instangram akiwa ana baridhi
mazingira ya nje mjini READING
Akitafakari kabla ya Show Ya jana usiku........