.
written by; anyalov Wednesday, May 8, 2013 | 8:58 AM
KWA namna moja au nyingine imekuwa vigumu kwa muigizaji wa kike wa Nollywood kukwepa kutuhumwa kwa kashfa mbalimbali.
Kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akitumia njia
anayoifahamu kukabiliana na kashfa hizo.
Wako wanaoamua kwenda mahakamani, wengine huchukua sheria mkononi kwa kupambana na wanahabari walioibua kashfa hizo na wengine huamua kunyamaza kimya.
Wako wanaoamua kwenda mahakamani, wengine huchukua sheria mkononi kwa kupambana na wanahabari walioibua kashfa hizo na wengine huamua kunyamaza kimya.
Ifuatayo ni orodha ya waigizaji wa kike wa Nollywood ambao wamekuwa wakikashifiwa mara kwa mara.
Kinachofurahisha zaidi ni kashfa hizi ziwe za ukweli au uwongo, hazikuweza kuathiri kazi zao na badala yake zimewaimarisha na kuwafanya wawe juu zaidi na kujizolea mashabiki lukuki.
Tonto Dikeh
Tonto anatajwa kuwa kiongozi katika kundi hili, ni
mara chache sana unaweza kulikosa jina lake kwenye vichwa vya habari
vya machapisho mbalimbali nchini Nigeria.
Katika habari kumi zinazoandikwa kuhusu mwigizaji
huyu, saba kati ya hizo ni kashfa. Inasadikiwa kuwa nyingi kati ya
kashfa anazotuhumiwa nazo ni za ukweli.
Na hii ni kutokana na ukweli kwamba amekuwa msanii
mwenye tabia tofauti kidogo, kwani ni jambo la kawaida kwake kufanya
mambo hata yale yasiyokuwa ya kawaida katika jamii.
Kwa mfano hivi karibuni ameigiza filamu ambazo
zimeweka sehemu kubwa ya mwili wake wazi. Kitendo ambacho kinapingwa na
wengi nchini Nigeria.
Si hivyo tu amekuwa na tetesi za kujihusisha kimapenzi na wasanii kibao nchini humo wakiwamo Tuface, KC Presh, Wizkid na Iyanya.
Cossy Orjiakor
Namna anavyoachia wazi sehemu kubwa ya maziwa yake inatosha kabisa kumuelezea na wakati mwingine ndio kimekuwa chanzo cha watu wanaomtazama kukubaliana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Nuella Njubigbo
‘Ella’ kama mashabiki wanavyomuita amekuwa
akihusishwa na hadithi kadhaa za mapenzi ndani na nje ya tasnia ya
filamu nchini Nigeria.
Hadithi ya kwanza ilikuwa ni ile ya kujihusisha na mapenzi na Yul Edochieb ambayo ilionekana ina ukweli ndani yake.
Nuella Njubigbo
Nuella Njubigbo
Baada ya kuenea kwa kashfa hiyo, Ella alijitokeza
hadharani na kupinga . Lakini kama ilivyo kwa msemo wa waswahili jasiri
haachi asili, muda mfupi baadaye iliibuliwa kashfa yake nyingine ya
mapenzi kati yake na muongozaji filamu, Tchidi Chikere.
Licha ya kutoa taarifa kwa vyombo vya habari
akipinga uvumi huo, muda si mrefu iliripotiwa kuwa alikuwa na mahusiano
na gavana wa jimbo moja nchini Nigeria.
Wengine wanaotajwa kuwahi kuwa na mahusiano naye ni pamoja na mwanasoka Emmanuel Emenike na wengine kibao.
Cossy Orjiakor
Cossy ni miongoni mwa mastaa wapole sana katika
tasnia ya burudani Nollywood. Lakini huo haukuwa mwamvuli wa kujificha
kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Cossy Orjiakor
Namna anavyoachia wazi sehemu kubwa ya maziwa yake inatosha kabisa kumuelezea na wakati mwingine ndio kimekuwa chanzo cha watu wanaomtazama kukubaliana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.
Kashfa maarufu inayomkabili mrembo huyu ni ile ya
kulipwa kwa ajili ya kulala na mbwa. Licha ya kuipinga vikali lakini
hadi leo hii wako wasiokubaliana naye.
Hivi karibuni aliweka picha zake za utupu kwenye
ukurasa wake wa Tweeter na pia aliweka picha alizopiga zikionyesha nguo
yake ya ndani.
Genevieve Nnaji
Licha ya usupastaa aliokuwa nao katika tasnia ya burudani kitaifa na kimataifa, vichwa vya habari vinavyomtaja Genevieve vimekuwa vikionekana mara kwa mara katika magazeti na vyombo vingine vya habari, vikiongozwa na kashfa anazotuhumiwa nazo.
Genevieve Nnaji
Kubwa zaidi ni pale anapotajwa kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na makamu wa rais wa zamani. Kwa sasa inaelezwa kuwa anatoka na mwanamuziki D’Banj.
Lola Alao
Hivi karibuni ugomvi uliomhusisha rafiki yake wa
karibu Bisi Ibidapo-Obe na mbunge mmoja Dino Melaye. Ugomvi huo ulikuwa
ni wa mapenzi, Lola alisema alituhumiwa visivyo.
Kabla ya mtafaruku huo wa kwanza Lola aliwahi
kupatwa na kashfa ya uchawi iliyobainishwa na mume wake wa zamani,
ambayo ilipamba vichwa kadhaa vya magazieti.
Katika mahojiano yake na kituo kimoja cha
televisheni, Lola alikataa kulizungumzia hilo na badala yake alibakia
kumsifia mume wake huyo na kusema: “Alikuwa mwanaume mzuri licha ya
kuvunjika kwa ndoa yetu.”
Funke anatajwa kuwa staa mwenye kashfa nyingi za
mapenzi. Inaelezwa kuwa amewahi kuwa na mahusiano na wanaume kadhaa
maarufu nchini humo kabla ya kufunga ndoa na Alhaji Kehinde Almaroof
Oloyede.
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari,
muigizaji huyo licha ya kuwa kwenye ndoa, bado amekuwa na mahusiano ya
siri na wanaume wengine mbali ya mume wake.
Genevieve Nnaji
Licha ya usupastaa aliokuwa nao katika tasnia ya burudani kitaifa na kimataifa, vichwa vya habari vinavyomtaja Genevieve vimekuwa vikionekana mara kwa mara katika magazeti na vyombo vingine vya habari, vikiongozwa na kashfa anazotuhumiwa nazo.
Kabla ya staa huyu kufikia kwenye daraja alilonalo
leo hii imewahi kuripotiwa kuwa amekuwa akijihusisha kimapenzi na watu
tofauti tofauti wakiwamo waigizaji wenzake kama Pat Attah, Kunle Coker
na wengine kibao.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDHC0qHqpQ8kBUbALW5R9gDayx8LNkI0P6MVbz5vcMDGfKNI0VdWcDKarScI-CWhkEfeNZLO6JBQQYRlCJLOsi0zGO2rXTrTo9vMN9KP4BfO4a5iJUuakXXL7Ed3AvYzKxQ4fL1-lMatU/s1600/Genevieve-1.jpg)
Kubwa zaidi ni pale anapotajwa kuwa aliwahi kuwa na uhusiano na makamu wa rais wa zamani. Kwa sasa inaelezwa kuwa anatoka na mwanamuziki D’Banj.
Faithia Balogun
Aliwahi kuwa mke wa nguli wa uigizaji Nollywood,
Saidi Balogun. Lakini hili halikumfanya asifuatiliwe na hata kumtuhumu
kwa kashfa tofauti tofauti.
Awali iliripotiwa kuwa aliwahi kupigana na
mwigizaji mwenzie eti kwa kuwa alikuwa na mahusiano na mwanasiasa Rotimi
Ajanaku ambaye alikuwa akitoka na yeye.
Pia aliwahi kuripotiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkurugenzi mmoja huko Nollywood.
Mbali na hayo anatajwa kuwa sababu ya kuvunjika kwa ndoa ya kigogo mmoja nchini humo.
No comments:
Post a Comment