UNAMJUA MSANII MWENYE USHIRKIANO NA WATU HANA
KINYONGO NA MTU “DAVINA”
DAVINA
(Halima yahaya) maisha yake ni ushirikiano upendo na tabasamu lakini mtu mwenye
amani na kila mtu Davina ni msanii wa filamu Tanzania (bongo movie) amekua
akishirikiana na wasanii wenzake vyema kiasi kwamba kila msanii humkubali
kutokana tabia yake ya kupenda kutoa ushirikiano katika kila jamabo iwe raha au
huzuni.
Halima
hachagui wasanii wakushirikiana nao ikiwa kikazi au kijamii. Chanzo chetu cha
habari kimekua kikimkuta sehemu nyingi akishirikia na na watu tofauti kwa ajili
ya maendeleo ya jamii kwa ujumla. ![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhDKwb-12g28816xfxK8NcAdCCfbfMYwSVSENQkebmn07metH4jytyITxxUb_Ef6bnZj-OGhNy-jh-ppR9r0ZWoTZ57YN22qy8NCQqlZe3E6Rtnr-08_a0kbA3AJ66JHqtWfISSPtfVLuc/s320/IMG-20130507-WA0009.jpg)
anyalovforyou.blogspot.com
pia kujijenga
kwa ajili ya kazi tofauti tofauti
No comments:
Post a Comment