It’s official. Riri na Chris Breezy hawako pamoja
tena au kwa sasa hawako pamoja.
wapenzi hao wazamani, wameonekana wakitumia weekend
zao kwa umbali wa maili 300 weekend iliyopita, huku Chris
akila bata Vegas kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa, huku
Rihanna akitumia siku ya jumamosi akiwa Barclays Center
kwenye game kati ya Nets na Bulls
kwa mda sasa Riri na Breezy wamekuwa wakiwafanya
mashbiki wao kuhisi kama wako pamoja au la, lakini finally ameamua
kuzungumza wakati wa interview aliyofanya na “The Kyle
and Jackie O Show.” wakati alipoulizwa kuhusu zawadi ipi
ingekuwa zawadi nzuri kwake.
ambapo Chris alisema kukutana na wasichana wengi
iwezekanavyo Vegas, kitu kilichomfanya mtangazaji kama
yuko single ambapo alisema
"Yeah, I’mma do it solo. I mean at the end of the day, shawty
doing her own thang. She on the road… It’s always gonna
be love… I’m a grown man, just gotta fast forward."
na alipoulizwa kama Rihanna ndio soul mate wake na
kuwa siku zote watakuwa pamoja hiki ndicho alichokisema
"I’ll just put it like this, one thing I always want to do is never
disrespect nobody or put nobody down. The way I look
at it is that I am always gonna love that person and people have
different wants and needs. At the end of the day, she’s a
young girl. I can’t really be focused on wifing someone that
young. And I’m young too so I can’t focus on that right now.
I gotta step forward and be a man and be the best Chris Brown
I can be instead of worrying about whoever else is gonna be on my side pocket."
|
No comments:
Post a Comment