MKURUGENZI wa Kampuni ya Filamu ya Endless Fame, Wema Sepetu hivi karibuni amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya majirani zake kumshitaki kwenye serikali ya mtaa kufuatia tabia ya wafanyakazi wake kutiririsha maji machafu mtaani.Taarifa iliyolifikia gazeti hili inadai kuwa, majirani wa Wema katika eneo analoishi, Kijitonyama jijini Dar wamekuwa wakimlalamikia msanii huyo kwa kitendo hicho lakini imeonekana uvumilivu umewashinda. “Mara kwa mara wafanyakazi wake wamekuwa wakitiririsha maji hapa mtaani sasa leo tumeona tukamshitaki serikali za mitaa ili sheria ichukue mkondo wake,” alisema mmoja wa majirani wa staa huyo aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini.Juni 26, mwaka huu Ijumaa lilifika kwenye nyumbani kwa Wema na kushuhudia maji yakitoka kisha kuzagaa mtaani na muda mfupi baadaye alifika Afisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho (jina halikufahamika mara moja) ambaye aligonga kwenye nyumba ya Wema, baada ya muda alitoka binti wa kazi aitwaye Bite.
Katika mazungumzo yao,
Bite alionekana kujitetea lakini baadaye ilibainika wana makosa na
akatakiwa kwenda ofisi za kata kwa maelezo zaidi. Amri hiyo
ilionekana kuwa ngumu kwa Bite na wafanyakazi wenzake ambapo busara
zilitumika na kiongozi huyo wa serikali akataka walipe faini na kuwaonya
waache tabia hiyo.
|
Saturday, 29 June 2013
WEMA KUBURUZWA MAHAKAMANI KWA KUTIRIRISHA MAJI MACHAFU MTAANI...!!
PICHA 2 ZA ''OMMY DIMPOZ'' ZINAZOFAFANUA KAULI YA KUMKASHIFU MAREHEMU ALBERT MANGWEA.
PICHANI
Ni msanii ''Ommy Dimpoz'' Akilia jukwaani katika shindano la Miss
Tabora Baada ya kupata taarifa za msiba wa marehemu Albert Mangwair kitu
ambacho mpaka sasa baadhi ya mashabiki wa
Ommy Dimpoz
wanakanusha kwamba haiwezekani Ommy amkashifu marehemu mangair habari
hizi huwenda zikawa za wongo Aidha mwandishi alieandika habari hio
hakumuelewa Ommy Dimpoz katika matamshi yao wakati mahojiano.Ommy Dimpoz akiimba kwa uzuni, Yani Kwa ufupi Show hii haikumuendea sawa..
EBWANAEEEEEEE!!!!! WEMA SEPETU NOMAAAA!!! SASA KWA WATANGAZAJI! MCHEKI MPENZI WAKE WA SASA FULU KUJIACHIA!!!
Thursday, 27 June 2013
VIDEO ZA MSHIRIKI WA TANZANIA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER
Mshiriki wa kiume wa Tanzania,
Nando ametutia aibu baada ya uvumilivu kumshinda na kuamua
kufanya tendo la ngono hadharani akiwa katika jumba la big
brother....
FEZA KESSY KUMJIBU NANDO KWA KUVUNJA AMRI YA SITA NDANI YA BBA
baada ya nando na selly kuvunja amri ya 6 mjengoni swali linakuja jeeeeee, Feza nae atavunja amri ya sita na o'neal????? maana inasemekana yupo kwenye penzi zito na O'neal wa Botswana, kafa kaoza na haskiii wala haoni, wanalala kitanda kimoja na kuamka wote, ma'denda' na ma hugs kwa sana mweeee!!!! sie ye2 machooo!!!! maana kwa nando mnachekelea je kwa feza mtachekelea ivoivooo????
Digger arrives at Mandela gravesite
Tuesday was a day of heightened activity after the world started preparing to take its leave of the 94-year-old, reported Beeld.
There was increased activity not only in Qunu but also at the Pretoria hospital where Madiba has been receiving treatment and at his former home in Vilakazi Street, Soweto.
On Tuesday, Mandela family representatives, local clan leaders and national government officials landed at Mthatha airport and met at the Mandela home for two hours before leaving again for Mthatha.
Among them were Public Service and Administration Minister Lindiwe Sisulu and UDM leader Bantu Holomisa, who is said to be involved closely in the funeral arrangements.
After the meeting, Madiba’s grandson, Ndaba Mandela, then went to inspect the gravesite. The digger arrived about two hours later and was delivered by a truck. It has been parked about 150m from the gravesite.
Chief Mfundo Mtirara, who is related to Madiba, and is the headman of the Matyenenqgina near Qunu, said the family meeting was about “very sensitive issues” and the contents of the discussions were only meant for family.
Wednesday, 26 June 2013
PICHA:HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA BANDARI YA ZANZIBAR
Muonekano kwa usiku kwenye geti la kutokea bandarini hapo...!! |
Sehemu ya ndani kwenye mapokezi....!! |
Sunday, 16 June 2013
HIZI NDIO PICHA ZA DADA ALIYEAMUA KUVUA NGUO HADHARANI NA KUBAKI UCHI BAADA YA KUZIDISHA POMBE HUKO MBAGALA ZAKHEIM...!!
DADA mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu walikuwa kwenye baa moja hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote na kubaki uchi wa mnyama na hivyo kusababusha hali ya taharuki katika maeneo hayo.
Chanzo chetu zha karibu kinadai ya kuwa dada huyo alifika maeneo hayo akiwa vizuri kabisa na hali hiyo ambayo ilionekana kuwa si ya kawaida ilianza pale alipoanza kuzitiririssha bia nyingi mno ambazo alikuwa akihongwa na vijana ambao alikuwa amekaa nao mezza moja..
Saturday, 15 June 2013
JOH MAKINI ALAZWA SINZA PALESTINA ANAHITAJI MAOMBI YAKO
Rapper Joh Makini, yuko hospitali huku akiomba tumuombee na kusema yuko
katika hali ya kawaida na si mbaya sana. Joh anadai malaria ni kali
sana na anaendelea na sindano na drip. Like, Comment na share yako
kumuombea ndugu yetu.
MATUSI KWA MANGWEA T.ID AMUAHIDI OMMY DIMPOZ KUMCHAPA MAKONDE KAMA MTOTO
Hawa
watoto wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi
wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu
Albert wallahi mungu
atamlaani.........mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.
"Hicho ndicho alochokiandika TID aka mnyama kwenye kupitia ukurasa wake wa facebook"
TEAM ANAcONDA YA JIDE YAFUNIKA, NYUMBANI LOUNGE YAFURIKA
Jide akikumbatiana na Profesa Jay |
Jay akipagawisha |
Jay akisema na nyomi |
Mzee Kitime akimpiga picha Komando Kalala wakati anaimba |
Komando Kalala na mkewe jukwaani |
Msanii Mango Star na nyoka |
Mango Star na nyoka |
Wasanii nguli wa Hip hop waliomsindikiza Jadyee katika shoo hiyo, Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Joseph Haule na Juma Nature na kundi lake wanaume Halisi nao walifanya mambo mazuri jukwaani kiasi cha kuiongezea utamu shoo hiyo. Kufika saa 3:00 usiku tayari Machozi Band inayomilikiwa na Jide ilikuwa jukwaani kuanza kutumbuiza kabla ya kumpisha rapa Wakazi kutoka Ukonga, baadaye bendi ya M ikiongozwa na Grace Matata kwa shoo za utangulizi. Saa 5:00 usiku, Jide akapanda jukwaani na kuibua shangwe nzito kutoka kwa mamia waliokuwa wamefurika katika eneo hilo. Jaydee alianza na wimbo wa Nilishakuwaga na Wangu, baadaye akaimba Nakuhitaji, Moto, Mambo Bado, Yeye, Malaika, Siri Yangu, Wanock Nok kisha kumalizia na Single Boy katika awamu ya kwanza. Baada ya hapo, Jide akasema ilipotimu Saa 6:00 usiku ameingia katika mwaka mpya tangu azaliwe hivyo mashabiki wakamuimbia ‘Happy Birth Day’ kisha akateremka kwenda kukumbatiana na mama yake mzazi, Martha Mbibo na kumpa zawadi ya fedha zote alizokuwa ametuzwa jukwaani. Jide alirejea jukwaani na kuimba kwa ufupi nyimbo alizowahi kurekodi na wasanii Man Ngwair na Langa Kileo ambao hivi sasa ni marehemu, kabla ya kumpisha Mh. Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu ambaye aliimba nyimbo tatu tu, lakini alisisimua mashabiki ile mbaya. Sugu alianza na Hakuna Matata akimshirikisha Mkoloni, Sugu na kumalizia na Mambo ya Fedha ambao ulimrejesha jukwaani Jide. Kutoka hapo, ikawadia zamu ya Wanaume Halisi kutoka Temeke, wakiongoza na Juma Kassim Kiroboto ‘Sir Nature’, ambao nao walifanya balaa vile vile na kuurusha umati ile mbaya.
Msanii M2 The P akizungumza jukwaani |
KR Mulla
|
Sir Nature |
Nature na Doro |
Sinta akimpiga picha Nature |
Jaydee akikusanya fedha alizotuzwa |
Anaziweka kwenye boksi kabla ya kweneda kumpa mama yake. Alyeshika boksi ni King Kiboya |
TK wa M Band... |
Maeneo kama haya Mh Sugu huwa si mkali...anajua kutabasamu |
Rapa kutoka Ukonga |
Alikuwepo...Mgaya Kingoba Mhariri wa Michezo gazeti la Habari Leo |
Kutoka kulia Baraka Msilwa, Francis Kifukwe na mkewe |
Wanaume walipoondoka akaibuka msanii mcheza ngoma za asili huku akichezea nyoka, Mango Star ambaye aliwaacha watu midomo wazi pale alipokuwa akimnyonya nyoka upande wa kichwani. Akafuatia mkongwe Komando Hamza Kelele ambaye kwanza alimpandisha mkewe, Stella John Momose Cheyo jukwaani kumtambulisha, kisha akaimba nyimbo na Tumetulia. Ikawadia zamu ya Profesa Jay, ambaye aliimba Joto Hasira pamoja la Lady Jaydee, baadaye, Teja, Yahya na Joto tena. Jaydee akateremka na kumuacha Jay amalizie shoo naye akamalizia vizuri kwa nyimbo za Hapo Vipi, Nikusaidiaje na Kamili Gado. Watu kadhaa waliofika Nyumbani Lounge kushuhudia shoo hiyo walilazimia kugeuka na kuondoka kwa sababu ukumbi ulikuwa ‘umejaa na hakuna pa kukanyaga’. Kwa ujumla shoo hiyo ilipendeza, ilikuwa bab kubwa.
Subscribe to:
Posts (Atom)