baada ya nando na selly kuvunja amri ya 6 mjengoni swali linakuja
jeeeeee, Feza nae atavunja amri ya sita na o'neal????? maana inasemekana
yupo kwenye penzi zito na O'neal wa Botswana, kafa kaoza na haskiii
wala haoni, wanalala kitanda kimoja na kuamka wote, ma'denda' na ma hugs
kwa sana mweeee!!!! sie ye2 machooo!!!! maana kwa nando mnachekelea je
kwa feza mtachekelea ivoivooo????
No comments:
Post a Comment