msanii chipukizi YOUNG KILLER kama jian lake lilivyo aliikili kweli dodoma jana baada ya kupagawisha ma elf ya
mashabiki katika uwanja wa jamuhuri jijini dodoma.
kijana huyo aliamua kuwachana live wasanii wenzake akiwemo mr blue kua akilewa tila lila basi pemba wata mla kiboga.
na suma mnazareti asijiite mnazareti kwani yeye sio Yesu mnazareti ni yesu tuh.
YOUNG KILLER alionesha kukubalika na jamii nzima kwani kila mtu alikua akimshangalia kwa umahiri wake wa mi stari na kumiliki jukwaaa
No comments:
Post a Comment