Sunday, 12 May 2013

WAREMBO WENGI WAJITOKEZA KUSHIRIKI REDDS MISS DODOMA







WAREMBO WENGI WAJITOKEZA KUSHIRIKI REDDS MISS DODOMA


Warembo wengi kutokea sehem tofauti za mkoa wa dodoma wamejitokeza kushirki miss Dodoma
2013, warembo hao wakitokea sehem tofauti tofauti za Dodoma ikiwemo mavyouni.
Mwalimu akitoa maelekezo kwa baadhi ya wanafunzi
Warembo wakiweka pozi ndani ya ukumbi wa mazoezi
 
Baadhi ya warembo wakiwa katika pozi..
Warembo wakionyesha maujuzi yao katika ukumbi wa mazoezi
  
 

No comments: