msanii wa bongo fleva na bongo movie shilole aliomba kina mmoja aweze kumpa campani jukwaani
na kumpa vitu visito mpaka kijana kuishiwa nguvu na kuja kijana mwingine shilole mwenye uwezo
mkubwa wa kuchezesha sehemu za mwili wake hasa makalio aliwadatisha sana vijana hao wa dom
yote hayo yalitokea katika shamra shamra za kuzuia unyonywaji wa kazi za wasanii tanzania
ikiwa imeandaliwa na cluods media.
No comments:
Post a Comment