Friday, 31 May 2013
Majudge watakao ongoza shindano la miss redds Dodoma “kwenye picha”
wakiongoza na chief judge geoge Tyson, Joshua oguda,
joyce kaishoze , patricia Charles and ben ulewa.
Thursday, 30 May 2013
MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR KUWASILI NCHINI TANZANIA JUMAMOSI...
Wednesday, 29 May 2013
NANDO MSHIRIKI WA TZ BBA AOMBA WANAWAKE WAZURI WAONGEZWE BBA
Nando aomba warembo zaidi
Akiongea na baba mwenye nyumba kupitia Diary Session, mtanzania Nando alitoa ombi ambalo halikutarajiwa, kimsingi aliomba wanawake waongezwe akipendekeza watoke Ruby house.
Big brother alipomuuliza kuhusu kuwepo kwa wasichana Diamond house wa kutosha, Nando alijibu, ‘Nawapenda wasichana walioko Diamond house lakini ningependa kuzungukwa na warembo zaidi hasa wale walioko Ruby house”
Nando ni kijana mtanashati kutoka Tanzania na inaonekana dhahiri anafurahia uwepo na wasichana wengi tofauti tofauti ili aweze kufanya chaguzi yakinifu. Hasemi moja kwa moja lakini kwa mtazamo, pengine mbinu yake ya kuicheza game ikategemea kwa kiwango kikubwa uwepo wa wasichana wengi mbalimbali.
Akiongea na baba mwenye nyumba kupitia Diary Session, mtanzania Nando alitoa ombi ambalo halikutarajiwa, kimsingi aliomba wanawake waongezwe akipendekeza watoke Ruby house.
Big brother alipomuuliza kuhusu kuwepo kwa wasichana Diamond house wa kutosha, Nando alijibu, ‘Nawapenda wasichana walioko Diamond house lakini ningependa kuzungukwa na warembo zaidi hasa wale walioko Ruby house”
Nando ni kijana mtanashati kutoka Tanzania na inaonekana dhahiri anafurahia uwepo na wasichana wengi tofauti tofauti ili aweze kufanya chaguzi yakinifu. Hasemi moja kwa moja lakini kwa mtazamo, pengine mbinu yake ya kuicheza game ikategemea kwa kiwango kikubwa uwepo wa wasichana wengi mbalimbali.
Katika hatua nyingine Big brother ametikisa upepo, harufu nzuri ya
mapendo inanukia mjengoni. Baada ya kuwaacha washiriki wafahamiane kwa
siku chache, wiki hii baba mwenye nyumba huyo amewataka watengeneze
zawadi ya malavi davi ambayo kila mmoja atamkabidhi ampendaye kwa siri
(secret crush) mjengoni humo siku ya Alhamis usiku.
Itakuwa burudani sana kuona nani atampa nani zawadi na wengine watajisikiaje. Bila shaka, mawivu na maumbea yatahusika kwa asilimia kubwa.
Big brother ndo hivyo tena ameshatikisa kiberiti.. Endelea kufuatilia kufahamu nini kitatokea...
** Jumba la Big Brother Africa kwa msimu huu limegawanywa kuwa nyumba mbili ambazo ni Ruby House na Diamond House. Kila nyumba ina washiriki 14. **
Itakuwa burudani sana kuona nani atampa nani zawadi na wengine watajisikiaje. Bila shaka, mawivu na maumbea yatahusika kwa asilimia kubwa.
Big brother ndo hivyo tena ameshatikisa kiberiti.. Endelea kufuatilia kufahamu nini kitatokea...
** Jumba la Big Brother Africa kwa msimu huu limegawanywa kuwa nyumba mbili ambazo ni Ruby House na Diamond House. Kila nyumba ina washiriki 14. **
SOMA HISTORIA YA MAREHEMU NGWAIR ALIYOISEMA MWENYEWE KWENYE INTERVIEW YAKE YA MWISHO
JINA LAKE HALISI NI ALBERT KENETH MANGWAIR,NI MTU WA RUVUMA MNGONI...,,,,MNGONI ,LAKINI ALIZALIWA MBEYA TAREHE 16 NOVEMBER,MWAKA 1982.YEYE NI MTOTO WA MWISHO KWAO,KWA BABA AKIWA MTOTO WA 10,KWA MAMA AKIWA MTOTO WA 6.
NGWAIR ASILI YAKE NI RUVUMA,YAANI MNGONI, ALIZALIWA MBEYA,
AKIWA MIAKA 5 WALIHAMIA MOROGORO AKASOMA SHULE YA MSINGI BUNGO HADI DARASA LA 5,BABA YAKE AKAPATA UHAMISHO AKAHAMIA DODOMA,SO AKAHAMA NA BABA YAKE AKAENDA AKAMALIZA SHULE YA MSINGI MLIMWA DODOMA.
BAAADAE MAZENGO SEC,THEN CHUO CHA UFUNDI MAZENGO.
AIBU: VIDEO YA NGONO YA WANAFUNZI WA COLLEGE MOJA ILIYOPO DODOMA YAVUJA....WALIJIREKODI WENYEWE NA KUISAMBAZA
Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali mjini Dodoma wameoza kwa matukio machafu ya ngono..
Uchunguzi wetu umebaini kuwa siyo kila mwanachuo anayepata nafasi hiyo adimu ya kujiunga na elimu ya juu anafanya kile kilichokusudiwa, badala yake wanafanya kinyume kwa kujihusisha na vitendo haramu na hatarishi vya ngono.
Katika uchunguzi wa muda mrefu, Bongojunior blog imefanikiwa kunasa matukio mbalimbali machafu yaliyopitiliza ya vitendo vya ngono ambapo picha na video ya ngono ya wanafunzi wanaosoma chuo/COLLAGE moja mjini Dodoma imenaswa laivu....
Tarehe 20 mwezi huu wa tano,Bongojunior blog ilipokea simu kutoka kwa mdau mmoja ambaye aliipasha juu ya kuwepo kwa mkanda wa ngono chuoni hapo ambao umerekodiwa na wanafunzi wa chuo/COLLAGE hiyo....
Hapa walikuwa wakitazama camera ambayo waliitegesha wenyewe
--------------
Baada ya tarifa hiyo, mtandao huu ulimteua mwandishi wetu mmoja ambaye alikabidhiwa majukumu ya kuujua ukweli ikiwa ni pamoja na kuipata video hiyo kwa gharama yoyote kama ushahidi....
Mwandishi wetu huyo alifanya kama alivyoelekezwa.Tarehe 22 may alifanikiwa kuonana na mnyetishaji huyo ambaye alimpa mkanda mzima wa tukio hilo..
Mazungumzo yao:
bongojunior: Vipi kamanda, pole na kitabu!
Mnyetishaji: Asante kaka, poleni na kazi
bongojunior: Asante sana, suala langu ni moja tu...ambalo ni kuipata hiyo video , maelezo mengine baadae.
Mnyetishaji: (anacheka): Kaka dunia imeoza...chuo/COLLAGE imegeuzwa kambi ya ngono.Watu wanabebana kama kuku, mbaya zaidi wanajirekodi live mithiri ya wacheza xxxxxxx..
bongojunior: Kwanza ilikuwaje wakajirekodi?
Mnyetishaji: Unajua sisi wanafunzi tuna ile hali ya kusifiana mbele ya wenzetu.Kwa hiyo siku ukitoka na demu, ni lazima masela wajue kama ulipiga kazi kweli au ulizingua...
Inavyoonesha ni kwamba huyu jamaa alitaka kuwathibitishia washikaji zake kwamba alimtungua huyu dem, na ndo maana akamrekodi.
bongojunior: ( kicheko kikali) Dah! Wanafunzi mnambo sana aisee...!!Kumbe na wewe ni mdau.Ilikuwaje video hii ikasambaa? wakishajirekodi hubaki kwa mwenyenayo au husambazwa kwa washikaji?
Mnyetishaji: Kaka mimi siyo mdau na ndo maana nikawapa huu mchongo ili msaidie kulikemea hili.Wakishajirekodi, video hubaki kwa mwenye nayo tu.Ukitaka kuona ni lazima uende kwa mwenyenayo.
Hii imevuja kwa sababu jamaa alijiamini na kuwapa washikaji zake wa karibu ambapo tangu siku hiyo video ilianza kusambaa kwa kasi.
bongojunior: Turudi kwenye point kaka...Ntaipataje hiyo video ili na mimi niamini???
Mnyetishaji: Video ninayo, ila ni lazima unitoe kidogo, nimechacha mwanao..!!
bongojunior: Aaah! kaka umeanza uswahili tena? haya usijali, ntakutoa Dinner.
Mnyetishaji: Asante kaka, ila msinitaje.
bongojunior : Usijali kamanda, na ndo maana sijataka hata kuuliza mengi kuhusu wewe.Kazi yangu ilikuwa ni kuupata mkanda basi.
Hatimaye mpekuzi wetu alifanikwa kuipata video hiyo ya aibu.Ni ngumu sana kuamini kama wabongo tumefikia hatua hii ya laana.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiripoti juu ya matukio machafu yanayotendwa na madenti kwa kuweka picha tu....Baadhi ya watu wamekuwa wakipinga na kudai kuwa hizo si za tanzania....
Awamu hii tutaishusha video hiyo kama ilivyo ili jamii ijionee.Ni video ndefu ( saa nzima).Tumeivunja katika vipande 6.
LAWAMA ZOTE KWA CLOUDS KUHUSU KIFO CHA NGWEAR
Mtayarishaji
wa Muziki wa Bongo Fleva Prof Ludigo alieshirikiana na P Funk Majani
kutengeneza Wimbo wa Mikasi wa Marehemu Albert Mangwear ametoa lawama
kwa Radio ya watu Clouds Fm kuwa uongozi wake ndio umekuwa chanzo
kikuu kusababisha kifo cha Msanii Mangwea aliefariki kwa kutumia
madawa ya Kulevya.
Prof
Ludigo katika ujumbe wake aliomtumia P funk akimtaka ampe Taarifa
Mmiliki wa Radio Hiyo Kusaga Kuwa hataki kusikia wimbo wa Mikasi
Ukichezwa katika Radio hiyo kwa kudai kuwa wao ndio wamemtumia vibaya
msanii huyo na kumfanya aingie kwenye matumizi ya madawa ya kulevya
kama njia moja wapo wa kupunguza mawazo aliokuwa nayo mpaka umauti
umemkuta jana.
Ludigo
amesema kuwa hakufanya jambo lolote enzi za Uhai wa msanii huyo kwa
sababu alihofia gharama za kuishi mjini kwa msanii huyo aliekuwa
akitumiwa na watu hao katika kazi mbalimbali.
Producer Mswaki Aimba kama Ngwear Kumuenzi-Sikiliza Wimbo Hapa...New Ngwear In the Making
Ripoti rasmi ya daktari: kilichosababisha kifo cha Ngwair [na tafsiri ya Kiswahili]
Ripoti rasmi ya kifo cha Albert Mangwea, ni ya kiingereza na inapatikana kwenye link ifuatayo: Official medical report on what caused Ngwair’s death. Kwa wale ambao English not richabo, mukhtasari wa ripoti hii kwa Kiswahili ni kama ifuatavyo:
Kwa mujibu wa ripoti hiyo kutoka hospitali alikopelekwa marehemu Ngwair, Dkt. Shirley Radcliffe amethibitisha kuwa kilichomuua Albert Mangwair ni sumu ya kilevi. [Ufafanuzi wangu] Kilevi au alkoholi inayolewesha watu kwenye pombe ni sumu. Ukiinywa kwa kiwango kikubwa, kinaweza kukusababishia upotevu wa fahamu, kupunguza uwezo wa kupumua, na hata kifo.
Taarifa hiyo inaendelea kwa kusema kwamba baada ya kunywa kupita kiasi, Ngwair alitumia mihadarati kwa kiwango kikubwa kuliko mwili wake unavyoweza kuhimili(drug overdose)iliyoko kwenye pombe. Dkt Radcliffe aliongeza kuwa Ngwair alipelekwa katika wodi ya watu mahututi kutokana na upungufu mkubwa wa oksijeni mwilini au “hypoxemia.”
Mmoja wa rafiki zake alikuta chupa mbili za vodka zikiwa tupu ndani ya gari, na Ngwair alikua na tatizo la kula linaloitwa bulimia kwa miezi kadhaa kabla ya kifo chake, ambapo alikua akijirusha bila kikomo bila kupumzika au kupumzika kidogo.
Sampuli ya kutoka tumboni kwake inaonyesha mchanganyiko wa kiwango kikubwa cha mihadarati aina ya cocaine, na heroine, na pia alikutwa akiwa na gramu 0.08 za bhangi kwenye damu.
Kifo chake kilisababishwa na massive heart attack (shambulizi la moyo?) na kushindwa kupumua, vilivyosababisha moyo wake usimame na akafariki baada ya sekunde kadhaa
MSHIRIKI WA MISS REDDS DODOMA ATESA KWA LUGHA NGENI
Mshiriki wa miss redds dodoma Hapiness Watimanya mwenye umri wa miaka 19 ameonakana kuonyesha umahiri katika lugha ya kigeni ya kingereza (english) wakati wa mazoezi na kuwaacha wenzake waki pigwa na butwaa chanzo chetu cha habari kilipo jaribu kudadisi kiligundua kua wote walikua hawaelewi kwani alikua anaongea kingereza cha undani zaidi walibaki kupiga makofi na kucheka. mdada huyo ambae amewai kusoma chuo cha stratchclyde university akichukua business studies nchini scottland alikua anafanya kazi za kujitolea ukitaka kuona mbwembwe zake usikose siku ya shindano hilo club kilimani tarehe 31 mwezi wa 5 ijumaa
Tuesday, 28 May 2013
RIP ALBERT MANGWEAR
Taarifa Nilizo Pata Kutoka South Africa Kutoka Kwa Hussein Original Ambaye Yupo Pretoria Amesema Ngwear Amefariki Leo Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na Msanii M To The P. Walivyokwenda Kuwagongea Asubuhi Walikuta Ngwear Amefariki Na M To The P Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa Watu Wa Karibu Wa Ngwear Huko South Africa. Wanasema Alilala Amelewa Sana.
HAYA NDIO MAANDALIZI YA UJIO WA OBAMA BONGO
Monday, 27 May 2013
HICHI NDICHO WALICHO SEMA WAHIRIKI WA BBA KUTOKA TZ
Mrembo Feza na mtanashati Nando Ndani ya jumba la Big Brother Africa
Haya, Big Brother Africa the Chase ndio hiyo tena kwenye runinga zetu, washiriki 28 kutoka nchi 14 tayari wameshaingia kuziwakilisha nchi zao. Kutoka Tanzania yupo mrembo Feza na mtanashati Nando..
Wakifunguka kwa Biggie, hivi ndivyo Feza na Nando walivyojielezea:
Feza
Haya, Big Brother Africa the Chase ndio hiyo tena kwenye runinga zetu, washiriki 28 kutoka nchi 14 tayari wameshaingia kuziwakilisha nchi zao. Kutoka Tanzania yupo mrembo Feza na mtanashati Nando..
Wakifunguka kwa Biggie, hivi ndivyo Feza na Nando walivyojielezea:
Feza
Feza (25) ni msanii lakini pia ana cheti cha IT. Anapendelea kiepe
(chips), ugali na maziwa. Feza amejiunga na BBA kwa sababu anaamini ni
muhimu kwa kazi yake kwani wengi wanaoshiriki BBA, kwa mtazamo wake,
wanafanikiwa baadaye. Mrembo huyo anasema akishinda pesa hiyo atawekeza
kiasi, atampeleka mwanae Disneyland na pengine kujinunulia nyumba.
Feza hapendi watu waongo. Anajielezea kama mcheshi, mkarimu na mpambanaji… amewaahidi watazamaji kucheza muziki, kupiga kelele na kucheka kwa sana tu.
Mrembo huyu anamtaja mama yake kama Role Model wake.
Nando
Nando (22) ni mwanafunzi. Mtanashati huyu anaelezea kwamba hajawahi kuangalia BBA kabla bali alishawishiwa na marafiki zake na anasikia poa tu kwamba bara zima litakua likimtizama masaa 24.
Nando anajielezea kama ‘kijana mwenye malengo, mcheshi na mkarimu, na anapendelea watu wenye roho safi na wasikivu. Kwa Tanzania, Nando anataja kuupenda zaidi mji wa Arusha na ulimwenguni anakupenda Brazil. Nando akishinda kitita hicho anasema atajenga ‘empire’.
Kuhusu chakula, Nando anapenda misosi aina zote, anapenda muziki na show ya TV anayopendelea ni ‘1000 ways to die’. Mwakilishi huyu wa Tanzania anapenda pia mpira wa miguu.
Tanzania, the chase for $300,000 is on.. Kura kura kura ni muhimu sana kuendelea kuwaweka watanzania hawa kwenye ma-rubies na ma-diamonds.
Feza hapendi watu waongo. Anajielezea kama mcheshi, mkarimu na mpambanaji… amewaahidi watazamaji kucheza muziki, kupiga kelele na kucheka kwa sana tu.
Mrembo huyu anamtaja mama yake kama Role Model wake.
Nando
Nando (22) ni mwanafunzi. Mtanashati huyu anaelezea kwamba hajawahi kuangalia BBA kabla bali alishawishiwa na marafiki zake na anasikia poa tu kwamba bara zima litakua likimtizama masaa 24.
Nando anajielezea kama ‘kijana mwenye malengo, mcheshi na mkarimu, na anapendelea watu wenye roho safi na wasikivu. Kwa Tanzania, Nando anataja kuupenda zaidi mji wa Arusha na ulimwenguni anakupenda Brazil. Nando akishinda kitita hicho anasema atajenga ‘empire’.
Kuhusu chakula, Nando anapenda misosi aina zote, anapenda muziki na show ya TV anayopendelea ni ‘1000 ways to die’. Mwakilishi huyu wa Tanzania anapenda pia mpira wa miguu.
Tanzania, the chase for $300,000 is on.. Kura kura kura ni muhimu sana kuendelea kuwaweka watanzania hawa kwenye ma-rubies na ma-diamonds.
Taifa Stars ndani ya suti maalum kwao zilizobuniwa na designer Sheria Ngowi
John Bocco na Erasto Nyoni. Hawa wanaonekana mambo ya fashion show zio zao na wameboreka… haha!
Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.
Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.
Wachezaji wa Taifa Stars wakionyesha suti zao mpya zilizobuniwa maalum kwa ajili yao na designer Sheria Ngowi, katika hafla ya Kilimanjaro Premium Lager kukabidhi suti hizo.
AIBU: MUME WA MTU ANASWA GESTI AKILAWITIANA NA SHOGA LIITWALO ' AUNT STEVE"
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa
jina la Ezekiel Malika 'Baba Kulwa' amenaswa gesti na mkewe akiserebuka
na shoga aitwaye Aunt Steve na kuibua mtiti mzito..
Tukio hilo lilivuta umati lilijiri Mei 20, mwaka huu kwenye gesti
moja iliyopo Mwananyamala, Dar ambapo mke wa Ezekiel
alivamia na kutembeza mkong’oto wa hasira kwa mumewe.
Mei 19, mwaka huu, saa 3:15 asubuhi, mwanamke mmoja
ambaye aliomba hifadhi ya jina lake kwa ajili ya heshima yake mtaani
alilipigia simu gazeti hili na kutoa malalamiko kwamba mumewe amekuwa na
tabia ya kulala na wanaume wenzake ambao ni mashoga.
“Jamani, mimi
naitwa… (akataja jina), naomba jina langu lisiandikwe .
Malalamiko yangu ni kwamba, mume wangu amekuwa na tabia ya kulala na
mashoga, hivi ninavyoongea ana ahadi ya kukutana na mmoja wao gesti kama
si kesho basi keshokutwa, niliona meseji kwenye simu ya mume wangu.
“Nawaomba chondechonde, mnisaidie ili hii tabia ikome. Nipo tayari
kusikia maelekezo yenu ,” alisema kwa masikitiko mwanamke
huyo.
Mratibu wa Oparesheni hii alimpa
maelekezo mwanamke huyo akimtaka kufuatilia kwenye simu ya mumewe ili
kubaini siku ya wawili hao kukutana gesti.
“Nawaahidi kwamba leo
hiihii kabla giza halijaingia nitakuwa nimejua siku yao ya kukutana,
naomba msiache kupokea simu yangu jamani.”
Saa 11:00 jioni, mwanamke huyo alipiga simu tena na kupokelewa na yuleyule mratibu wake aliyempa maelekezo.
Mwanamke: Mchana wakati mume wangu amekwenda kuoga niliipekua simu yake, wanakutana kesho kwenye gesti ya …(anaitaja jina).
“Kwa hiyo mtanisaidiaje?”
“Kwa hiyo mtanisaidiaje?”
OFM: Wewe kuwa beneti na mumeo, kesho akiondoka na wewe ondoka hata kwa
kujificha, mfuatilie hadi kwenye hiyo gesti huku ukitupa mawasiliano.
Mwanamke: Hilo halina shida, nitakodi Bajaj halafu nitawaambia.
OFM: Oke, kuwa makini, mawasiliano ni muhimu. Tutawanasa kisha wakaishie polisi.
Mwanamke: Nitashukuru sana jamani. Loo! Kweli dunia imekwisha, mwanaume
ana mke, hatosheki anatafuta wanaume wenzake, afadhali angekwenda kwa
machangudoa.”
Siku ya tukio saa 8:00 mchana, mwanamke huyo akiwa ameongozana na mashoga zake, walifika kwenye gesti hiyo na kubana sehemu ambayo wangeweza kumwona anayeingia na kutoka kisha akawasiliana na mratibu wa OFM ambaye aliwatuma wapekuzi watatu wenye kamera za kupiga picha kwa umbali wa mita 100.
Kufumba
na kufumbua, Aunt Steve aliwasili na kuzama ndani ya gesti hiyo kwa
kutumia mlango wa nyuma ili asionekane kwa vile sheria ya serikali
kuhusu gesti, wanaume hawaruhusiwi kuingia kwenye chumba kimoja.
wapekuzi wetu wakiwa tayaritayari walitega katika pembe tatu za gesti hiyo ili kunasa tukio hilo hatua kwa hatua.
Kufumba na kufumbua, Baba Kulwa alitokea na kuingia ndani ya gesti hiyo kwa kutumia mlango mkubwa wa mbele huku akiwa hajui kama arobaini yake ilikuwa imebakiza dakika chache siku hiyo.
Alifika mapokezi na kupewa chumba No. 01, akaenda uani na
kufanya jitihada kubwa za kumpitisha shoga huyo kwa mlango wa nyuma hadi
ndani.
Baada ya wote kuzama chumbani, mke
wa mwanaume huyo, mashosti zake na wapekuzi waliwaacha kwa dakika kumi
ili wafikie hatua ya kuchojoa nguo hivyo kuweza kuwanasa wakiwa watupu.
Baada ya dakika kumi, wafumaniaji wote walizama ndani na kugonga mlango wa chumba walichomo wawili hao huku shosti mmoja wa mwanamke huyo akijitambulisha yeye ni mhudumu anawaongeza taulo. Baba Kulwa bila kufahamu janja hiyo alifungua mlango kidogo na kuchomoza kichwa lakini ghafl a akinadada hao akiwemo mkewe walimvamia na kusukuma mlango, wakazama ndani.
Wawili hao walikutwa hawana nguo, ndipo msala ulipomwangukia Baba Kulwa na Aunt Steve wake, mke akipewa nguvu na wapambe wake waliwatembezea kipigo huku wakiwakejeli kwa tukio hilo la aibu.
Baada ya kuwaweka wote chini ya ulinzi, waliwatoa nje huku Baba Kulwa akiomba msamaha kwa mkewe lakini bila kukubaliwa.
“Msamaha wa nini? We si kidume cha kweli, twendeni nje tukawaanike mbele ya watu,” alisema mwanamke huyo.
Katika hali iliyoonekana ni kukosa
umakini wa kuweka kizuizi vizuri, Aunt Steve alifanikiwa kuchoropoka
kama samaki aina ya kambale na kutokomea kusikojulikana huku wanawake
hao wakimsindikiza na zomeazomea hadi wakafunga mtaa.
Subscribe to:
Posts (Atom)