Wednesday, 29 May 2013
MSHIRIKI WA MISS REDDS DODOMA ATESA KWA LUGHA NGENI
Mshiriki wa miss redds dodoma Hapiness Watimanya mwenye umri wa miaka 19 ameonakana kuonyesha umahiri katika lugha ya kigeni ya kingereza (english) wakati wa mazoezi na kuwaacha wenzake waki pigwa na butwaa chanzo chetu cha habari kilipo jaribu kudadisi kiligundua kua wote walikua hawaelewi kwani alikua anaongea kingereza cha undani zaidi walibaki kupiga makofi na kucheka. mdada huyo ambae amewai kusoma chuo cha stratchclyde university akichukua business studies nchini scottland alikua anafanya kazi za kujitolea ukitaka kuona mbwembwe zake usikose siku ya shindano hilo club kilimani tarehe 31 mwezi wa 5 ijumaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment