Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka kwa kaka wa Marehemu Keneth Mangwea, Ni kuwa mwili wa marehmu Albert Mangwea kuwasili nchini siku ya Jumamosi Tarehe 1 june na utaratibu wa kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa Msanii huyo nguli wa Muziki wa Kizazi kipya Tanzania zitatolewa baada ya kamati Uhusika na familia kupanga..... |
No comments:
Post a Comment