Leo Asubuhi Team ya Yanga Imekiona cha
Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro
Kwa Ajili ya Mchezo wa Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa
Walihisiwa wamebeba mzigo ikabidi upitishwe ukaguzi wa nguvu na
kusababisha safari yao kuchelewa kwa muda wa Nusu saa
No comments:
Post a Comment