Thursday, 13 February 2014

POMBE MWANA HARAMU, NJEMBA YAFANYA VITUKO HADHARANI BAADA YA POMBE KUMPANDA KICHWANI!



                          
Jamaa atoa kali na kuwaacha watu midomo wazi kwa makeke yake..! Du! hadi Dada aliona aibu maana hakutegemea tukio hilo..! Ama kweli pombe sio chai.  Kila kitu kinahitaji uzoefu, Chupa mbili tu Jamaa amechangamka kama ameogea ndimu..!
source: UDAKU

No comments: