Thursday, 20 February 2014

MCHEZA MIELEKA MAARUFU KAMA BIG DADDY V AFARIKI DUNIA JANA:

Big Daddy V enzi za uhai wake.
Big Daddy V akiwa kazini enzi za uhai wake.
Mwanamieleka wa WWE, Nelson Frazier maarufu kama Mabel, Viscera na Big Daddy V amefariki dunia kwa ugonjwa wa moyo jana Jumanne. Big Daddy V amefariki akiwa na umri wa miaka 43.

No comments: