Wednesday, 12 February 2014

MAMA MZAZI WA RAMBO MWENYE UMRI WA MIAKA 92 AFANYIWA OPARESHENI NA KUONEKANA KAMA BINTI MBIC

rambo 4
Mama wa star wa filamu na kipenzi cha wengi duniani muigizaji  Sylvester Stallone aka Rambo
ameonekaha hivi karibuni akiwa na muonekano tofauti na kwamba kafanya kila jambo kukimbia uzee.
Mama huyu mwenye miaka 92 amefanyiwa Upasuaji Wa Kubadili Sura sura na kuwa na muonekano wenye mvuto zaidi.


rambo 2
rambo 3
rambo 4
rambo

No comments: