HALI YA IRENE UWOYA NI MBAYA SANA AFIKIA HATUA YA KULAZWA HOSPITALINI
Taarifa zilizosemwa na
rafiki wa karibu wa msanii Irene Uwoya ni kuwa yupo katika hali mbaya
zaidi na kufikia hatua ya kulazwa katika hospitali ya Agha Khan
akisumbuliwa na Malaria.
No comments:
Post a Comment