Thursday, 13 June 2013

Post za mwisho za Facebook na Twitter na Video ya Mwisho ya Marehemu Langa


Hizi ndio post za mwisho za msanii marehemu Langa. Alizipost takriban masaa matano kabla ya kuaga dunia.
Langa Posts
langa

Langa2
Facebook post.

langa1
Na tweeter alipost hii

Na Hii ndio video yake ya mwisho marehemu Langa ambayo alikuwa akiipa promo kwenye tweet na facebook post yake ya mwisho.
R.I.P Langa

No comments: