Langa Kileo (msanii wa Hip Hop
Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii.
alikumbwa na Malaria kali
Hali iliyopelekea kukimbizwa Hospitali ya Muhimbili jana.
Uchunguzi wa chanzo cha
kifo chake bado unaendelea.
Msanii Langa aliwahi kutamba na kikundi cha Wakilisha pamoja na
witness na sara ni miongoni mwa wasanii
wakongwe wa bongo flava nchini Tanzania
No comments:
Post a Comment