Sunday, 12 May 2013

NAIBU WAZIRI ATOA NENO KUHUSU JIDE NA RUGE WA CLOUDS MEDIA

NAIBU Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Amos Makalla amejitokeza kusuluhisha mgogoro kati ya Kampuni ya Clouds na msanii Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.

LADY JAY DEEE
Clouds na Jaydee wamejikuta katika mgogoro siku za karibuni, unaohusishwa na madai ya msanii huyo kuminywa kazi zake kuchezwa katika vituo vya redio na televisheni, mali ya kampuni hiyo ya utangazaji.
Lakini jana katika taarifa yake hapa, Makalla alisema yupo tayari kukutana na pande hizo mbili kusaka..read more

No comments: